CHADEMA tuna wajibu zaidi ya Serikali kupatikana kwa Ben Saanane

Mimi sikubaliani na msemo wako wa time to react; ku react hakuleti picha nzuri sana bali ku act. Ikiwezekana kwa kuomba hata msaada wa fbi, cia au hata kgb. Haiwezekani mtu huyo huyo ashutumiwe halafu apewe jukumu la kujichunguza. Ripoti itakayotoka itakuwa imepikwa tu. Bahati mbaya haijawahi kutokea mtu aliyokoka akawa kiongozi wetu maana yeye anayohofu ya Mungu
 
Kwa mtazamo wangu, waliohusika na kupotea kwa Ben Saanane walikuwa na nafasi ya kwanza ya kufanya kitendo - action, so wali - act. Tuliotendewa kitendo tunachukua hatua juu ya kitendo tulichotendewa, so tuna re -act. Nadhani hii inatosha kuhalalisha matumizi ya prefix - re -

Kuhusiana na vyombo kama CIA, FBI na KGB sijui sana juu ya wigo wa utendaji wake ila nadhani ni kwaajili ya home related incidences or incidences of their national interest.

But I believe there are good people here who believe in our cause, people who can work this out.
Kwanza Chama kikitangaza Dau la fedha juu ya taarifa zitakazowezesha kupatikana kwa Ben .Naamini mapema tu watu watajitokeza.
 
COMRADES!
tulipopoteza haki ya kuingia ikulu 2015 tulipoteza mengi!
Muda umepita wa kutosha kutambua kuwa kati ya mengi tuliyopoteza ni pamoja na haki ya kuwa salama, kulindwa na
kuwa huru ndani ya Tanzania. Kampeni zetu ziliwagusa wale
wa upande wa pili na uungwaji mkono wetu uliwatia hofu. Idadi ya kura tulizopata ilitosha kuwa alarm kwamba 'baada ya wao kufanya kiini macho na kuweka mtu wao ' mambo yasingetuendea tu kama vile hamna kilichotokea.

NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
Haiwezekani serikali inayoshukiwa juu ya upoteaji wa Ben, hiyo hiyo tuiombe kufanya uchunguzi juu ya alipo Ben, labda na kuwajibisha 'wahusika '.

Nitawaambia jambo.
Mpaka leo huko USA, Rekodi rasmi ya mauaji ya J. F. Kennedy -'The Warren commission report ' imeshikilia msimamo wa ' The single bullet theory ' na kwamba Lee Harvey Oswald ndio muuaji wa rais J. F. Kennedy pamoja na kwamba sisi 'kafura mbute ' miaka karibia hamsini na nne toka J. F. K ameuawa tunafahamu ukweli. Ukweli kwamba aliyemuua J. F. K ni James Filles, silaha iliyotumika ni 'fire ball - ball action ',risasi ni mercury rounds - special load na hakuwa 'lone assassin' kama 'Warren commission ' inavyotaka kutuaminisha. Kulikuwa na second shooter, Charles "chuck" Nicoletti na mission ilipangwa na organized crime chini ya Sam Gincanna na bosi wake Tony Acardo, CIA
na FBI.

Nimetoa hiyo story hapo juu ili kila mtu atambue kwamba, 'the state or state apparatus can conspire to hurt people '.
Ndio serikali, kwa kutumia vyombo vyake au vyombo vyake peke yake bila baraka za serikali - kwa maslahi ya watu wengine, vinaweza kuwa na njama ya kumuumiza mtu au watu na kuficha ukweli kwa nguvu zote.

Juhudi zilizofanywa na mpelelezi wa kujitegemea marehemu Joe West, aliyeuawa katika ya kazi, ndizo zinaouwezesha ulimwengu kupata mwanga juu ya ukweli wa mauaji ya J. F. K

Ndugu zangu ndani ya Chadema, tuchukue hatua sisi wenyewe kujua ukweli juu ya alipo Ben Saanane na tuchukue
hatua 'ZAIDI ' juu ya wanaohusika na kupotea huko kwa Ben Saanane. Hii itatupa moyo wote tunaokipigania chama. Tutapigana tukijua kuna mtu anayetulinda.
THIS IS NOT TIME TO THINK, ITS TIME TO REACT.

CHADEMA itambue sasa ukweli mchungu kuwa historia huandikwa na washindi. Unaposhindwa unakosa haki ya kuandika historia yako. 2020 Mungu akitupa ushindi tusimuangushe kwa visingizio vya bei rahisi.

Aluta continua
Victoria ascerta
The struggle continues
Victory is certain
Sipingi unachokisema, lakini naona hapa umejificha kwenye ID fake. Na wenzenu nao wanachoka kulala rumande kila leo na kesi zisizoisha. Inawezekana hii kesi ikawa kubwa au ndogo kutokana atavyopatikana Ben Saanane (Kama atapatikana), acha serikali ishinikizwe kumtafuta huyu kijana au yeyote anayehusika na kupotea kwake.
 
Hii sio fake ID ni jina langu halisi.
Katika suala la Ben sioni sababu ya kuiamini serikali.
 
Sipingi unachokisema, lakini naona hapa umejificha kwenye ID fake. Na wenzenu nao wanachoka kulala rumande kila leo na kesi zisizoisha. Inawezekana hii kesi ikawa kubwa au ndogo kutokana atavyopatikana Ben Saanane (Kama atapatikana), acha serikali ishinikizwe kumtafuta huyu kijana au yeyote anayehusika na kupotea kwake.
 
Sikuelewi! wewe uliye kwenye ID fake ndio unaogopa kuandika?
Think outside the box. Maísha ni kama mazingaombwe. Jaribu kufikiria kitu gani kiko wazi lakini kimefichika. Macho yako yalivutwa kuangalia nini yakakosa umakini kwenye tendo la msingi.

Usisikilize wanachokisema, tuliza akili usikilize ambacho hakijasemwa. Vitu vingine huwa vinabakia kuwa mysteries.
 
Why should I think out of the box while the debate is inside the box?

My be, you are reading a philosophy book that you didn't understand well the concept or something.
But it seems to me, you don't have proper understanding of what you wish to express.

My answer is; the simplest explanation is the correct on.
 
If you got it figured good for you. This is not America. We mweke mpelelezi wako bila ridhaa ya serikali halafu subiri muziki wake.
 
Unaweza kuwa unanifungua macho kwenye jambo
Hivi private detectives hawaruhusiwi kwenye sheria za Tanzania?
 
COMRADES!
tulipopoteza haki ya kuingia ikulu 2015 tulipoteza mengi!
Muda umepita wa kutosha kutambua kuwa kati ya mengi tuliyopoteza ni pamoja na haki ya kuwa salama, kulindwa na
kuwa huru ndani ya Tanzania. Kampeni zetu ziliwagusa wale
wa upande wa pili na uungwaji mkono wetu uliwatia hofu. Idadi ya kura tulizopata ilitosha kuwa alarm kwamba 'baada ya wao kufanya kiini macho na kuweka mtu wao ' mambo yasingetuendea tu kama vile hamna kilichotokea.

NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
Haiwezekani serikali inayoshukiwa juu ya upoteaji wa Ben, hiyo hiyo tuiombe kufanya uchunguzi juu ya alipo Ben, labda na kuwajibisha 'wahusika '.

Nitawaambia jambo.
Mpaka leo huko USA, Rekodi rasmi ya mauaji ya J. F. Kennedy -'The Warren commission report ' imeshikilia msimamo wa ' The single bullet theory ' na kwamba Lee Harvey Oswald ndio muuaji wa rais J. F. Kennedy pamoja na kwamba sisi 'kafura mbute ' miaka karibia hamsini na nne toka J. F. K ameuawa tunafahamu ukweli. Ukweli kwamba aliyemuua J. F. K ni James Filles, silaha iliyotumika ni 'fire ball - ball action ',risasi ni mercury rounds - special load na hakuwa 'lone assassin' kama 'Warren commission ' inavyotaka kutuaminisha. Kulikuwa na second shooter, Charles "chuck" Nicoletti na mission ilipangwa na organized crime chini ya Sam Gincanna na bosi wake Tony Acardo, CIA
na FBI.

Nimetoa hiyo story hapo juu ili kila mtu atambue kwamba, 'the state or state apparatus can conspire to hurt people '.
Ndio serikali, kwa kutumia vyombo vyake au vyombo vyake peke yake bila baraka za serikali - kwa maslahi ya watu wengine, vinaweza kuwa na njama ya kumuumiza mtu au watu na kuficha ukweli kwa nguvu zote.

Juhudi zilizofanywa na mpelelezi wa kujitegemea marehemu Joe West, aliyeuawa katika ya kazi, ndizo zinaouwezesha ulimwengu kupata mwanga juu ya ukweli wa mauaji ya J. F. K

Ndugu zangu ndani ya Chadema, tuchukue hatua sisi wenyewe kujua ukweli juu ya alipo Ben Saanane na tuchukue
hatua 'ZAIDI ' juu ya wanaohusika na kupotea huko kwa Ben Saanane. Hii itatupa moyo wote tunaokipigania chama. Tutapigana tukijua kuna mtu anayetulinda.
THIS IS NOT TIME TO THINK, ITS TIME TO REACT.

CHADEMA itambue sasa ukweli mchungu kuwa historia huandikwa na washindi. Unaposhindwa unakosa haki ya kuandika historia yako. 2020 Mungu akitupa ushindi tusimuangushe kwa visingizio vya bei rahisi.

Aluta continua
Victoria ascerta
The struggle continues
Victory is certain

great post, great idea,.great mind, great vision,great strategy

yaani...great
 
wewe unamuunga mkono nani?
Mimi hiko upande ambao haki iko! Lakini pia najua mipaka yangu na bible inatu caution kuhusu kumuonyesha mtawala kwamba unajua zaidi au kugombana naye, lazima utaumia tu. Na Mungu alishatuambia atatulipia mabaya tunayofanyiwa. Ndio maana waswahili wanasema malipo ni hapa hapa duniani.

Kaza moyo mkuu!
 
Usiongozwe na mihemko kijana, yaani umeshahitimisha kuwa Serikali ndio mtuhumiwa pekee na CDM umewatoa kwenye kundi la watuhumiwa. Ben alikuwa na madhara kiasi gani hadi serikali wamteke, kwa posts za FB au!
 
C
Vipi kuhusu Tom Mboya, theory zinasemaje?
=====
Mimi mpaka kesho, nitalia na Red Brigade, hiki ni kikundi kinachotambulika kupitia Katiba ya Chadema kuwa kina husika kulinda viongozi na mali za chama hicho. Ben alikiwa kiongozi., hivyo alikuwa analindwa na kikundi hiki. Tuulize, ni nani alikuwa amekabidhiwa majukumu ya Kumlida Ben (ndani ya kikundi cha Red Brigade) kabla Ben hajatoweka?
Haswaa Red brigade na Viongozi wa Karibu take namaanisha Mwenyekiti wanapaswa kutoa ushirikia 100% juu ya alipo Huyu kijana.Uchunguzi uanzie kwao kabla ya kuendelea kwa watu wengine

Ila mm ukimya waliouonyesha mwanzoni Mwenyekiti na Katibu wa Chadema umenitia shaka sana.Hili jambo limepewa uzito wa kisiasa na kama sio harakati za Mitandaoni hatua zingekuwa bado kuchukuliwa
 
Mbona mnalazimisha sana watu wafikiri mnavyotaka nyie kwenye hii issue. Mtu akitaka hata na mwajiri wake aangaliwe hamtaki. Unawaona wote wanao think outside the box wako controlled na State.Si kweli. Watu wangependa kujua pia kwanini ichukue siku 17 kwa jamaa kutafutwa rasmi! Anaishi kivipi na nani? Kwanini Cdm wameuchuna! Je! Cdm hawawezi kuwa na motive(sababu) ya kusababisha kupotea kwake?
I can think of at least two: 1. Wamehitilafiana. 2. Yanajengwa mazingira ya kisiasa kuonyesha State inapoteza watu.
Kwahiyo endelea kuingalia hiyo State lakini msizuie mawazo huru hata kama hamuyapendi.
 
Usiongozwe na mihemko kijana, yaani umeshahitimisha kuwa Serikali ndio mtuhumiwa pekee na CDM umewatoa kwenye kundi la watuhumiwa. Ben alikuwa na madhara kiasi gani hadi serikali wamteke, kwa posts za FB au!
Ben alihoji PhD ya mheshimiwa
 
Ben alihoji PhD ya mheshimiwa
Kwa hiyo kuhoji Ph.D. ya Magu kuna athari gani, Magu amepoteza wapiga kura wangapi kwa Ben kuhoji kuhusu Ph.D. yake, Magu aache kudili na watu wenye effect aangaike na kumteka Ben ?
Kwa nini umewatoa CDM kama sehemu ya mtuhumiwa wa kupotea Ben, nyie vijana mna tatizo haswa, na kwa akili hizi upinzani usahau kuchukua nchi hii.
 
Hatima ya Chadema itategemea jinsi suala la Ben litakavyoisha.

Mbinu zimeisha mwenye macho haambiwi tazama
 
Back
Top Bottom