CHADEMA tuna wajibu zaidi ya Serikali kupatikana kwa Ben Saanane

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
COMRADES!
tulipopoteza haki ya kuingia ikulu 2015 tulipoteza mengi!
Muda umepita wa kutosha kutambua kuwa kati ya mengi tuliyopoteza ni pamoja na haki ya kuwa salama, kulindwa na
kuwa huru ndani ya Tanzania. Kampeni zetu ziliwagusa wale
wa upande wa pili na uungwaji mkono wetu uliwatia hofu. Idadi ya kura tulizopata ilitosha kuwa alarm kwamba 'baada ya wao kufanya kiini macho na kuweka mtu wao ' mambo yasingetuendea tu kama vile hamna kilichotokea.

NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
Haiwezekani serikali inayoshukiwa juu ya upoteaji wa Ben, hiyo hiyo tuiombe kufanya uchunguzi juu ya alipo Ben, labda na kuwajibisha 'wahusika '.

Nitawaambia jambo.
Mpaka leo huko USA, Rekodi rasmi ya mauaji ya J. F. Kennedy -'The Warren commission report ' imeshikilia msimamo wa ' The single bullet theory ' na kwamba Lee Harvey Oswald ndio muuaji wa rais J. F. Kennedy pamoja na kwamba sisi 'kafura mbute ' miaka karibia hamsini na nne toka J. F. K ameuawa tunafahamu ukweli. Ukweli kwamba aliyemuua J. F. K ni James Filles, silaha iliyotumika ni 'fire ball - ball action ',risasi ni mercury rounds - special load na hakuwa 'lone assassin' kama 'Warren commission ' inavyotaka kutuaminisha. Kulikuwa na second shooter, Charles "chuck" Nicoletti na mission ilipangwa na organized crime chini ya Sam Gincanna na bosi wake Tony Acardo, CIA
na FBI.

Nimetoa hiyo story hapo juu ili kila mtu atambue kwamba, 'the state or state apparatus can conspire to hurt people '.
Ndio serikali, kwa kutumia vyombo vyake au vyombo vyake peke yake bila baraka za serikali - kwa maslahi ya watu wengine, vinaweza kuwa na njama ya kumuumiza mtu au watu na kuficha ukweli kwa nguvu zote.

Juhudi zilizofanywa na mpelelezi wa kujitegemea marehemu Joe West, aliyeuawa katika ya kazi, ndizo zinaouwezesha ulimwengu kupata mwanga juu ya ukweli wa mauaji ya J. F. K

Ndugu zangu ndani ya Chadema, tuchukue hatua sisi wenyewe kujua ukweli juu ya alipo Ben Saanane na tuchukue
hatua 'ZAIDI ' juu ya wanaohusika na kupotea huko kwa Ben Saanane. Hii itatupa moyo wote tunaokipigania chama. Tutapigana tukijua kuna mtu anayetulinda.
THIS IS NOT TIME TO THINK, ITS TIME TO REACT.

CHADEMA itambue sasa ukweli mchungu kuwa historia huandikwa na washindi. Unaposhindwa unakosa haki ya kuandika historia yako. 2020 Mungu akitupa ushindi tusimuangushe kwa visingizio vya bei rahisi.

Aluta continua
Victoria ascerta
The struggle continues
Victory is certain
 
Pamputi

JF-Expert Member
Apr 22, 2016
984
1,000
Ni kama hujaeleweka vzr maana humo naona Principle of Justice, mara hbr za Kennedy J organise vzr material yko ili hata layman akuelewe
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
76,485
2,000
Chuk ndo mzizi wa ugomvi, na kuukata unahitaji busara sana.
Lengo hapa ni kumtafuta ben kwa kutumia nguvu kazi na rasilimali za chadema , umeona mwenyewe polisi wakiomba msaada ( kwa polisi jamii ) .

Tumekuwa wavumilivu kwa masiku mengi sana , kwa umoja wetu tukiamua kujua alipo hatutashindwa .

Mungu ibariki chadema .
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
15,867
2,000
Vipi kuhusu Tom Mboya, theory zinasemaje?
=====
Mimi mpaka kesho, nitalia na Red Brigade, hiki ni kikundi kinachotambulika kupitia Katiba ya Chadema kuwa kina husika kulinda viongozi na mali za chama hicho. Ben alikiwa kiongozi., hivyo alikuwa analindwa na kikundi hiki. Tuulize, ni nani alikuwa amekabidhiwa majukumu ya Kumlida Ben (ndani ya kikundi cha Red Brigade) kabla Ben hajatoweka?
 
Sio lazima chama kituambie kila kinachofanyika juu ya Ben japo ni muhimu kituhakikishie wapiganaji kuwa chama kinachukua hatua binafsi, mahususi na za makusudi za kumpata Ben na kuwajibisha wahusika.

Naamini tuko watu wengi wenye fani na uwezo tofauti tofauti ndani ya chama ambao tukihusishwa kwa pamoja, basi Ben anaweza kupatikana na kilio kikawakuta wahusika mapema sana.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
Utaanzia wapi kumtafutaaa?
Ben did not vanish in thin air.
Kuna maandishi aliyoandika yaliowaudhi watu.
Kwahiyo tutachunguza hawa watu, watu wanaowazunguka.
Tutajua walikuwa wapi siku Ben anapotea, walikuwa wanafanya nini? waliwasiliana na nani? waliongea nini?

Tukichunguza tutajua aliyemuona Ben mara ya mwisho, wapi? Alikuwa na nani na alikuwa katika hali gani?

Tumeona jitihada za baadhi ya watu, hata hapa jf hasa wa ccm wakijaribu kumuongelea Ben na kutoa theory mbalimbali. This is exactly what happens when the state or a big organization such as ccm commits a crime. THE TRY TO CONTROL WHAT PEOPLE SAY ABOUT THE CRIME.

So, hawa waandishi hawajiandikii tu, there must be a propaganda arm inayowaelekeza cha kuandika. Hivyo wao pia wanaweza kuwa msaada.

Nasema tukigeuka kuwa wapelelezi, tukafanya mambo kwa umakini, tunaweza kujua alipo Ben.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
Utaanzia wapi kumtafutaaa?
Ben did not vanish in thin air.
Kuna maandishi aliyoandika yaliowaudhi watu.
Kwahiyo tutachunguza hawa watu, watu wanaowazunguka.
Tutajua walikuwa wapi siku Ben anapotea, walikuwa wanafanya nini? waliwasiliana na nani? waliongea nini?

Tukichunguza tutajua aliyemuona Ben mara ya mwisho, wapi? Alikuwa na nani na alikuwa katika hali gani?

Tumeona jitihada za baadhi ya watu, hata hapa jf hasa wa ccm wakijaribu kumuongelea Ben na kutoa theory mbalimbali. This is exactly what happens when the state or a big organization such as ccm commits a crime. THEY TRY TO CONTROL WHAT PEOPLE SAY ABOUT THE CRIME.

So, hawa waandishi hawajiandikii tu, there must be a propaganda arm inayowaelekeza cha kuandika. Hivyo wao pia wanaweza kuwa msaada.

Nasema tukigeuka kuwa wapelelezi, tukafanya mambo kwa umakini, tunaweza kujua alipo Ben.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,748
2,000
COMRADES!
tulipopoteza haki ya kuingia ikulu 2015 tulipoteza mengi!
Muda umepita wa kutosha kutambua kuwa kati ya mengi tuliyopoteza ni pamoja na haki ya kuwa salama, kulindwa na
kuwa huru ndani ya Tanzania. Kampeni zetu ziliwagusa wale
wa upande wa pili na uungwaji mkono wetu uliwatia hofu. Idadi ya kura tulizopata ilitosha kuwa alarm kwamba 'baada ya wao kufanya kiini macho na kuweka mtu wao ' mambo yasingetuendea tu kama vile hamna kilichotokea.

NEMO JUDEX IN CAUSA SUA
Haiwezekani serikali inayoshukiwa juu ya upoteaji wa Ben, hiyo hiyo tuiombe kufanya uchunguzi juu ya alipo Ben, labda na kuwajibisha 'wahusika '.

Nitawaambia jambo.
Mpaka leo huko USA, Rekodi rasmi ya mauaji ya J. F. Kennedy -'The Warren commission report ' imeshikilia msimamo wa ' The single bullet theory ' na kwamba Lee Harvey Oswald ndio muuaji wa rais J. F. Kennedy pamoja na kwamba sisi 'kafura mbute ' miaka karibia hamsini na nne toka J. F. K ameuawa tunafahamu ukweli. Ukweli kwamba aliyemuua J. F. K ni James Filles, silaha iliyotumika ni 'fire ball - ball action ',risasi ni mercury rounds - special load na hakuwa 'lone assassin' kama 'Warren commission ' inavyotaka kutuaminisha. Kulikuwa na second shooter, Charles "chuck" Nicoletti na mission ilipangwa na organized crime chini ya Sam Gincanna na bosi wake Tony Acardo, CIA
na FBI.

Nimetoa hiyo story hapo juu ili kila mtu atambue kwamba, 'the state or state apparatus can conspire to hurt people '.
Ndio serikali, kwa kutumia vyombo vyake au vyombo vyake peke yake bila baraka za serikali - kwa maslahi ya watu wengine, vinaweza kuwa na njama ya kumuumiza mtu au watu na kuficha ukweli kwa nguvu zote.

Juhudi zilizofanywa na mpelelezi wa kujitegemea marehemu Joe West, aliyeuawa katika ya kazi, ndizo zinaouwezesha ulimwengu kupata mwanga juu ya ukweli wa mauaji ya J. F. K

Ndugu zangu ndani ya Chadema, tuchukue hatua sisi wenyewe kujua ukweli juu ya alipo Ben Saanane na tuchukue
hatua 'ZAIDI ' juu ya wanaohusika na kupotea huko kwa Ben Saanane. Hii itatupa moyo wote tunaokipigania chama. Tutapigana tukijua kuna mtu anayetulinda.
THIS IS NOT TIME TO THINK, ITS TIME TO REACT.

CHADEMA itambue sasa ukweli mchungu kuwa historia huandikwa na washindi. Unaposhindwa unakosa haki ya kuandika historia yako. 2020 Mungu akitupa ushindi tusimuangushe kwa visingizio vya bei rahisi.

Aluta continua
Victoria ascerta
The struggle continues
Victory is certain
mimi naafikiana na wewe kwa asilimia zote. binafsi sijafurahishwa kabisa na passive attitude ya Chadema kuhusu suala hili so far.

mimi nawashauri Chadema wai-engage services za private detective. wasipofanya hivyo obviously itaipa nguvu conspiracy theory inayodai Ben amefichwa mahala na Mbowe.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
mimi naafikiana na wewe kwa asilimia zote. binafsi sijafurahishwa kabisa na passive attitude ya Chadema kuhusu suala hili so far.

mimi nawashauri Chadema wai-engage services za private detective. wasipofanya hivyo obviously itaipa nguvu conspiracy theory inayodai Ben amefichwa mahala na Mbowe.
Nashukuru sana kwa mchango wako.
Private detectives wahusishwe na nnajua kutakuwa na kufungana midomo kwingi ila ushahidi ukusanywe kwa umakini kabisa ili mwisho wa siku uwekwe mikononi mwa wananchi ili wao watoe humumu. Kuna kila dalili hii picha ikaishia kama ile ya Ulimboka.

Well kama ushahidi ukienda Mahakamani , yanaweza kutokea kama ya Lema - MAAGIZO KUTOKA JUU na tukashindwa kuwajibisha taasisi. Ila nje ya mahakama tunaweza kuwajibisha individuals wanaoamini serikali inaezaendeshwa kama kikundi cha Mafia.
 
tips for investigation zipo kibao....

kwa uchache:

1. ni nani household member(s) wa Ben?
2. Ben anafanya kazi na nani kila siku?
3. watajwa hapo juu (1&2) walionana na Ben tarehe ipi kwa mara ya mwisho?
4. watajwa hapo juu waligundua lini kuwa Ben ametoweka?
5. watajwa hapo juu walitoa taarifa lini na kwa nani kuhusu kutoonekana kwa Ben?
6. ni nani aliye-publish kwenye media kwa mara ya kwanza kabisa kuhusu kutoweka kwa Ben, na lini?
7. kumbukumbu za mawasiliano ya mwisho ya simu ya Ben zinaonyesha nini?
etc, etc
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
Bob Marley – Redemption Song Lyrics
Old pirates, yes, they rob I,
Sold I to the merchant ships,
Minutes after they took I
From the bottomless pit.
But my hand was made strong
By the hand of the Almighty.
We forward in this generation
Triumphantly.
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have,
Redemption songs,
Redemption songs.
Emancipate yourself from mental slavery,
None but ourselves can free our minds.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Some say it's just a part of it,
We've got to fulfill the book.
Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have,
Redemption songs,
Redemption songs,
Redemption songs.
Emancipate yourself from mental slavery,
None but ourselves can free our mind.
Have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Some say it's just a part of it,
We've got to fulfill the book.
Won't you help to sing,
These songs of freedom?
'Cause all I ever had,
Redemption songs.
All I ever had,
Redemption songs
These songs of freedom
Songs of freedom
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,948
2,000
Nashukuru kwamba nimesoma na kuona video ya mkt. Mbowe akijibu wasiwasi wangu na nimeridhika kwa ufikiri na mwenendo wa Chama juu ya suala la Ben Saanane. Pamoja sana makamanda, ni vizuri kujuzana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom