CHADEMA tumuunge mkono Kikwete kwa mambo mazuri kwetu na kwa Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA tumuunge mkono Kikwete kwa mambo mazuri kwetu na kwa Taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimali, Feb 11, 2011.

 1. U

  Ulimali Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ni Rais mwenye upendo kwa Watanzania kwa kuwa anajua jinsi CCM ilivyooza bila kuondoka madarakani nchi haiwezi kupata maendeleo na katumia akili sana kukiuwa chama cha CCM bila watu kujua strategy zake kama ifuatayo;
  1. kuwakumbatia mafisadi ili kuamsha hasira ya Watanzania ili kuichukia CCM moja kwa moja na alitaka kimarisha chuki kwa DOWANS kulipwa karudi nyuma baada ya kuhisi CCM watashtuka.
  2. Kuhakikisha Samwel Sitta harudi kuwa Spika katika bunge hili lenye wabunge wa CHADEMA wengi wao wakiwa ni moto wa kuotea mbali ili Anna makinda aimarishe chuki kama ananyofanya sasa kwa kuonyesha upendeleo wa wazi.
  3. kakubali hoja ya katiba mpya ambayo kwa tume huru CCM byebye
   
Loading...