CHADEMA tumuamini nani kati ya hawa wageni wetu?

Kuja kwa JPM kumewavuruga sana ccm lakini pia kutabadili jinsi upinzania ulivyokuwa ukitekeleza majukumu yake. JPM anatekeleza matarajio ya upinzania kwa zaidi ya 90% japo kwa njia zinazotia mashaka hivyo wapinzania ni mapema kutangaza kukubaliana na ccm kutokana na ukweli kuwa 'ccm ni ile ile'!
 
Kwa kauli hizo, CHADEMA wanapaswa kuwaani wote lakini siyo watanzania wengjne,
 
Kuja kwa JPM kumewavuruga sana ccm lakini pia kutabadili jinsi upinzania ulivyokuwa ukitekeleza majukumu yake. JPM anatekeleza matarajio ya upinzania kwa zaidi ya 90% japo kwa njia zinazotia mashaka hivyo wapinzania ni mapema kutangaza kukubaliana na ccm kutokana na ukweli kuwa 'ccm ni ile ile'!
Tukubali tu, kwa Lowassa na Sumaye Makamanda mmebugi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom