Tehe tehe kagusa ikulu?Oyah Lumumba kazania mkutano wenu Dodoma, mambo ya uchawi CDM hayana nafasi
Tukubali tu, kwa Lowassa na Sumaye Makamanda mmebugi.Kuja kwa JPM kumewavuruga sana ccm lakini pia kutabadili jinsi upinzania ulivyokuwa ukitekeleza majukumu yake. JPM anatekeleza matarajio ya upinzania kwa zaidi ya 90% japo kwa njia zinazotia mashaka hivyo wapinzania ni mapema kutangaza kukubaliana na ccm kutokana na ukweli kuwa 'ccm ni ile ile'!
Pesa ndiyo kila kitu. Miaka 20 chama hakina uzoefu na kinapiga harakati tu mpaka kihitaji Wageni. Ni shiida.Jamaa walisha wanunua
Hahaha
Mwanaume lazima ujali yako ya wengine waachie bhaanaTehe tehe kagusa ikulu?
By Juma Duni Haji.HAHAHAHAHAHAHA CHADEMA KILA MTU NI KAMBALE
Ikulu hawawezi kujigusa wenyewe, lazima wagusweMwanaume lazima ujali yako ya wengine waachie bhaana
Waambie waende Dom, bavicha wanatishia nyauIkulu huwesi kujigusa mwenyewe, lazima uguswe
Bavicha wana hamu na wanaume, watawapata tu.Waambie waende Dom, bavicha wanatishia nyau