CHADEMA Tumpe uenyekiti Prof Safari Na ukatibu mkuu apewe Mh John Mnyika.

Utapewa Uenyekiti kwa dini yako tu, sio CDM katafuteni chama jinga huko huko kwenu, UENYEKITI WA CDM NI KWA SIFA NA VIGEZO SIO DINI HATA MKIPIGA KELELE VIPI., kwani zamu za Udini za UENYEKTI wa CCM zimesaidia matatizo ya UCHUMI Tanzania???, CDM ni chama cha UCHUMI Maaendeleo in summary, hakina agenda ya dini ya mtu. Lije jua ije mvua dini yako baki nayo.

KAMANDA ,mimi si gamba na inashangaza kila mwenye mawazo ya kukishauri Chama anaitwa ni ccm.

Binafsi sitarajii kuwa mwanaccm katika maisha yangu yote ni bora niachane na siasa ya vyama vya siasa.

Ni kweli CHADEMA haiwezi kuendeshwa na propaganda za ccm lakini propaganda hizo zina impact kwa wananchi ambao ni wepesi ama si wakomavu kisiasa hasa wale wa vijijini.

Nashauri na kuwaomba wachangiaji tujikite kuwajadili watu hao kama wana faa ama laa.

Ni mawazo yangu tu Jamani.
 
Ahsante Mkuu kwa maoni yako, ila Ben Saanane anafaa awe mwenyekiti wa BAVICHA taifa.

anafaa kubeba sumu na kuwa muuajiebu soma hii

By hugochavez Ben Saanane anavyoteseka na kivuli cha unafiki..

.(mfahamu ben vizuri hapa)Kama vijana tunaweza tukainuka na kuanza kuporomosha mashtaka na kutaja majina ya watu bila hata facts, basi kazi ipo ndugu zangu.Ufahamu wangu ni kuwa ili tufanikiwe kuwaondoa CCM madarakani lazima tufanye kazi hiyo kama timu moja, mawazo yangu ni kuwa hatutaweza kufikia hatua yoyote ikiwa tutakuwa na vijana wa namna hii.Vijana wa aina ya Ben Saanane wanaoweza kukaa, kutengeneza mgogoro, kubuni njia za kuuendesha mgogoro, kutafuta suluhu na hatimaye kwenda kuuza huo mgogoro kwa viongozi wengine huku akiamini kuwa anakinusuru chama hakika anakosea sana.

Vijana wa aina ya Saanane ambao kazi yao nikutumia muda na akili zao nyingi kuwarubuni na kuwagombanisha vijana wa chama na viongozi wa chama ni hatari pengine kuliko ukoma.Kwa kuwa mara kadhaa amekuwa akinitaja kwenye mijadala yake yote. Bila hata kuangalia namna ninavyohusika, na kwa kuwa na leo hii ameamua kunitaja na kunihusisha moja kwa moja, na kwa kuwa viongozi, vijana na wanachama wengi wa chadema wamekuwa wakinihusisha mimi kuwa karibu sana na zitto kabwe. leo nitasema kitu kwenye hili.

1. Naomba niweke wazi hapa leo, kuwa sikuwahi kumfahamu mtu anayeitwa Ben Saa nane kabla mwezi wa nne 2011.sijawahi kumsikia jina wala kumuona sura yake.(hawezi kubisha kwenye hili)

2. Ben ndiye alikuwa wa kwanza kunipigia simu, kati kati ya kipindi cha kampeni za uchaguzi wa BAVICHA - 2011 mimi nikiwa nagombea uenyekiti na yeye akiwa ni mgombea wa kimkakati(alitumwa na baadhi ya viongozi kuja kuuvuruga uchaguzi-uthibitisho upo) ambapo aliponipigia simu na kunieleza kuwa tuna haja ya kukaa kama wagombea na kuangalia namna tunaweza shiriki salama kwenye huo uchaguzi kwa madai kuwa amepata tetesi makao makuu wanamgombea wao na wanajiandaa kukata majina ya watu, jina lake na langu yakikiwemo. Nilimsikiliza na kumpuuza.

3. Baada ya hapo sijawahi kuwasiliana nae tena ben saa nane, mpaka usiku wa siku jina langu limekatwa na kamati kuu ya chama, tena aliwasiliana na mimi kupitia grayson nyakarungu, aliyekuwa swahiba wake…cha kusikitisha ni kuwa mwana mkakati ben aliwashauri mwampamba, nyakarungu na kisandu kuungana, akanishirikisha na mimi. Huku nikijua dhamira yake kuwa ni unafiki. Nikamsikiliza kwa kuwa sikuwa tena na cha kupoteza (nimeshaenguliwa tayari).Masikini ya mungu BEN akawahadaa vijana wa watu (Mwampamba na Nyakarungu) wakaenguliwa huku yeye akiwa ni wa kwanza kukiri kuwa wameamua kuongeza nguvu.

4. Unafiki wa Saanane uliendelea siku ya tatu baada ya kuisha kwa uchaguzi wa BAVICHA maana baada ya kukatwa jina langu, wanafiki wengi walifikiri ningetoa tamko la kukipinga chama ama kuhama chama, sikufanya hivyo, kwangu mimi uchaguzi ule haukuwa ligi, ilikuwa ni mechi tu ya kirafiki. Hapo mwenyekiti wa chadema wilaya ya Kibaha akaomba kukutana namimi, nikakubali, nikakutana nae ubungo plaza, tukiwa hapo tulikuwa na mwampamba na nyakarungu, aliposimuliwa saa nane kuwa tunaenda kukutana ubungo Plaza, akaandika humu jamii forums kwa kutumia ID fake yake kuwa tumekutana na mimi nina mpango wa kuhama chama.Nlimwambia Mwampamba kuwa saa nane ana kazi maalum, mwampamba hakunielewa, akanipinga sana sana sana, naamini leo atanielewa vizuri sasa.

5. Kwa kipindi chote hicho saa nane alikuwa anaitisha vikao vya kila aina, saa nane anatukana na kutoa kejeli za kila aina kwa viongozi wa kuu hasa katibu mkuu na mwenyekiti (lengo ni kutaka kluthibitisha kuwa kuna vijana wanawapinga viongozi hawa). Ninataja maeneo machache ambayo saa nane alipenda kuitishia vikao vyake, KWA JOHN FEDHA-KINONDONI, BLUE PEARL HOTEL-UBUNGO PLAZA na LUCH TIME HOTEL-UBUNGO EXTERNAL….naomba nikiri hadharani hapa, si mimi, mwampamba wala Juliana anayemsema aliyewahi kwenda kukutana na saa nane akajinunulia kinywaji wala chakula…kwa saa nane huwa tukifika tunakula, tunakunywa mpaka tunapochoka saa nane yeye hulipia-tukambatiza jina tukamwita manji. (lakini siku zote nimekuwa nikiwaambia wenzangu kuwa kaeni chonjo na huyu jamaa ana kazi maalum---leo wamejionea)

6. kati kati mwaka jana 2011 mwenyekiti wetu wa taifa freeman mbowe alikamatwa kwa kilichodaiwa kutokutii amri ya mahakama hapa napo saa nane akafanya vitu vyake, kama kawaida yake, akawakusanya vijana wake wote ambao yupo nao kwa kazi maalum akaanza kuwajaza ujinga…naomba nikiri tena hapa kuwa usipokuwa makini ni rahisi sana kuingia kwenye kumi na nane za huyu jamaa. Ni lalzima uwe makini kama mchange kumshinda na ndio maana ananichukia sana sana.Mimi nimefundishwa kuwafahamu wanafiki. Hasa ninapokuwa naongea nao uso kwa macho saa nane kwangu alikuwa mnafiki kwa hiyo sikumpa nafasi hata chembe.

7. katika kipindi chote hiko sijawahi kumsikia mwana mkakati saa nane akiwasema vizuri viongozi wa chadema. Mtu pekee aliyekuwa anamsifia alikuwa ni zitto.SAA NANE NA ZITTONimeshtushwa sana na maandishi aliyoyaandika Saanane leo, hii inatokana na ama kuchanganyikiwa au kujihami kutokana na kushushuliwa na kuonekana mwongo. Naomba nieleze vizuri hapa.

1. Ben Saanane ndiye alikuwa muitishaji mkuu wa vikao vya hotelini(makutano) akiwa na saa yake ya kurekodi aliyonunuliwa na kiongozi mmoja wa chama kwa kinachoitwa kazi ya ushushu. Yeye ndiy aliyekuwa mwenyekiti wa vikao na mwandishi wa kila kinachosemwa.

2. Ni BEN SAANANE ndiye aliyewashawishi na kuwalazimisha wenzie anaowasema leo ni wasaliti waunde kikundi. Hakuishia hapo, akakitunga mpaka na jina. Kuwa ni ‘’patriotic movement seven’’ na akakifupisha PM7.(V4C-VOICE FOR VOICELESS) Akashawishi kikundi hicho kizunguke nchi nzima kuhamasisha viongozi wa huko kufanya mageuzi ndani ya chama. Saa nane unafiki utakupeleka pabaya.

3. Ni BEN SAANANE ndiye aliyegawa majina ya kuitana miongoni mwa wana kikundi hiko, yeye akajipa jina la COBRA, mimi akanipa MDUDE (kwa kuwa nilikuwa naijua dhamira yake niliendelea kumkeli)

4. Ni BEN SAANANE ndiye aliyeshauri namna ya kuhakikisha kikundi hicho kinapata pesa, wakati mimi nilimpinga ku anzia kuanzisha hiko kikundi mpaka namna ya kukusanya kwake pesa..wakati yeye alikuwa anasisitiza kwenye njia ya kukusanya michango, tena tuwachangishe viongozi wa chama na watu wengine maarufu.

5. Akiwa mkweli atakumbuka na kukiri kuwa nilimwambia kuanzisha kikundi hicho ni sawa na kuanzisha chama ndani ya chama, aliumizwa na misimamo yangu sana

.6. Ni BEN SAANANE ndiy aliyekuwa anasisitiza tuombe kukutana na zitto kabwe ili tumuombe ufadhili wa kufadhili kikundi chetu kilichoasisiwa na SAANANE na akanipa jukumu la kuhakikisha ninamwambia na kumshawishi zitto tukutane nae tufanye nae kikao, sababu yake kubwa ni kwamba Zitto ni rafiki yangu sana na itakuwa rahisi kumpata. Hapa tulirumbana sana, mimi nilielewa dhamira yake na nikiri leo hadharani kuwa nilimshauri zitto asikubali kukutana na kikundi hiki, na niukamwambia kabisa kuwa lengo la kikundi hiki ni kuthibitisha makundi ndani ya chama.-leo yametimia.

7. Ni SAANANE aliyewaapia kujito a kwenye kikundi alichokianzisha mwenyewe kwa sababu ya kutokumpata zitto kwenye kikao, siku ambayo saa nane alipendekeza zitto tukutane naye zitto alikwenda marekani kuzindua tawi la chadema, ni saa nane ndiye aliyenilaumu sana kuwa kwa nini sikumuarifu kuwa zitto hatokuwepo, nilimjibu sio wajibu wangu kuwaambia watu kuwa zitto yupo ama hayupo.8. Ni Saanane huyu huyu mnafiki tuliyerumbana naye hasa mimi nay eye juu ya namna ya kumshirikisha zitto kwenye michango ya kikundi chake cha PM7. Naomba ninukuu mabishano yetu..mimi ‘’ kama swala ni kukusanya pesa, kwanini tumfuate Zitto kwanza na sio mtu mwengine yeyote’’?...saa nane..’’kwa sababu zitto ni kijana na ana mitazamo chanya kwa vijana wenzie na pia tunafanana nayo mitazamo hiyo sio kamakina mnyika wao status quo’’…mimi..’’kama Zitto tumemwomba tuonane naye na amesafiri bila kutujibu hauoni kuwa anatuudharau, kwanini tujipeleke kwa zitto tunayemnung’unikia kila leo?’’..saa nane.. ’’ hapana ni lazima atusaidie, zitto kwa vyovyote lazima agombee uenyekiti, na hatuwezi fanya hii kazi tukamfungulia milango bila nay eye kutoka jasho lake, ni lazima atupe pesa’’….mimi sasa kwanini tunakataa wenzetu kutumiwa halafu na sisi tunajitumikisha wenyewe kwa zitto?’’…saa nane..’’Mchange, hakuna jinsi tunaweza acha mshirikisha zitto, mwisho wa siku zitto atakuwa beneficiary kwenye huu mpango’’… …………………ukifuatilia kwa makini mazungumzo yetu ambayo kwa bahati nzuri nimeyarekodi kuanzia siku ya kwanza mpaka ya mwisho utaweza kumuelewa SAANANE kuwa alikuwa na kazi maalum.Niseme hapa kuwa wote kwa pamoja, saa nane na zitto kila mmoja ameniambia kwa mdomo wake kuwa hawajawahi kuonana uso kwa macho, zitto yeye anasema kuwa anaweza akakutana leo na saa nane barabarani na akapishana nae bila kumfahamu.Wote kwa pamoja wameniambia kuwa mawasiliano yao huwa ni kwa simu hasa SMS na mara chache kwa emails.Na moja kati ya malalamiko aliyokuwa ananipa saa nane nimpe zitto ni kuwa..

1.kwa nini hapokei simu za wapiganaji wake akiwemo yeye?...

2..kwanini anakuwa na mpiganaji kama saa nane na hataki kuonna nae….

3…kwanini hataki kukifadhili kikundi cha PM7. a.K.a V4C(VOICE FOR VOICELESS)?Kwa mtiririko wa matukio ulivyo, na kwa jinsi SAA NANE alivyoandika mashtaka yake dhidi ya zitto huku akizani anamchafua, hakika amejidharirisha sana.Mtu mmoja mpinzani mkubwa sana wa zitto amenitumia sms kwenye facebook, ananiambia JF vipi maana COMPUTER YANGU HAIFUNGUI..huyu nae ni mjinga sababu anashabikia ujinga.Kumshambulia zitto kwa mashtaka ya uwongo namna hii kuna mfanya zitto awe na nafasi ya kuonekana anasingiziwa mamba mengi sana hasa ndani ya chama.Kwa mimi ninayemfahamu Saanane nje na ndani, na ninayefahamiana na kufanya kazi na Zitto, kwa mashtaka haya ya uwongo, basi hakika nitazidi kumuamini Zitto.

Nitazidi kuamini kuwa Zitto amesingiziwa mambo mengi sana ndani na nje ya chama, ninazidi kumuamini na kumtia moyo kwamba hizi ni hatua za mwisho za watu wanaokupinga, wakishindwa kukupinga kwa facts, watakupinga kwa uwongo…saa nane amekubali kutumika vibaya kwa kisingizio cha kuwa anakilinda chama na viongozi wake.Napata mashaka kama anakielewa anachokisema, huwezi kumtenganisha zitto na uongozi wa chama. Zitto ni naibu katibu mkuu wa chama, hivyo sio rahisi kumchafua zitto ukaacha kukichafua chama.Nimemwona saa nane anajitetea kutishiwa kuuawa, saa nane, ZITTO akiwa na mimi amenusurika kuuawa kwa ajali ya gari hivi karibuni tukitokea morogoro kwenda iringa(siku ya kumbukumbu ya kifo cha mwalimu nyerere) baada ya wapinzani wake ndani ya chama kwenda kufungua nati za tairi la nyuma ili afe, kweli zitto ameaga kwao, kweli zitto hataweza kufa kwa mipango ya mungu, hatukufika mbali tuliushtukia mchezo tukarudi morogoro mjini na zitto akaendelea na retreat yao mpaka kesho yake tukarudi dar wala hakuitangaza hii sababu aliwadharau na mbinu dhaifu.

Sio rahisi kuitoa roho ya mwanadamu mwenzio, sio rahisi kumuua zitto kama mlivyojaribu mara kadhaa na timu yenu ..Nasikitika sana kama vijana sasa tunaeza kusimama kidete na kuandika uwongo na kuutetea bila hata woga kama ndugu yangu Saanane.Hasira yako ya mimi kukushtukia na kuwaambia kina Mwampamba na Juliana kuwa wewe kila siku una warekodi na kwenda kuuza habari kwa kiongozi mmoja wa juu ambaye humtumia HAWARA WAKE kutuma SMS za matusi kwa watu, isiwe sababu ya kuanza kuwachafua watu ndugu yangu.Mchafue Zitto kama unahisi una sababu ya kufanya hivyo kwa mambo ambayo una ushahidi nayo.SAANANE acha tabia ya KUBUNI MGOGORO, KUUANZISHA, KUUENDELEZA, NA KISHA KUUTUMIA KAMA CHANZO CHAKO CHA KUPATA PESA.SAA NANE, Waislam wanasema sifa za mnafiki tatu (ayatul munafiq thalasa).

1. akiongea huongea uwongo..

2..akiaminiwa hajiaminishi/hudhiaki..na ..

3..akiahidi hatimizi..
 
Kheri ya mwaka mpya mwaka 2014.

Ninaomba kupendekeza safu mpya ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu ndani ya Chama.

Napendekeza wafuatao na nyadhifa zao

1/PROFESSOR SAFARI-Napendekeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimchague kwa kura za kutosha Prof Safari kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Hii,itasaidia propaganda ya ccm na washirika wake kwamba ni chama cha wakristo itakufa kifo cha mende. Hii pia itasaidia kuua hoja ya ccm na washirika wake kwamba CHADEMA inaongozwa na mwenyekiti mwenye elimu ndogo na hivyo wanakopa usemi wa mh Msigwa kwamba akili ndogo kuongoza akili ndogo.

2/JOHN MNYIKA-Huyu ni kijana machachari, mwepesi na flexible sana. Mara zote amekuwa mwenye hoja nzito, mpanguaji wa propaganda za ccm,anayeweza kufafanua mambo kwa weledi. Pia ni kijana aliye na social capital kwa vijana, wazee,wanawake na watoto. Binafsi nimemshuhudia Mnyika akilala sakafuni na wanafunzi wa Chaso katika usiku wa kuamkia kupiga kura uchaguzi mdogo wa madiwani mwezi juni 2013 kata ya mianzini jijini Dar es salaam.

3/MARRY MSABAHA-Huyu ni mbunge wa viti maalumu kutoka Zanzibar.Napendekeza huyu apewe unaibu katibu mkuu .Hii itasaidia kuua propaganda tatu za maccm. 1/Ukanda, 2/udini na 3/ubara,4/gender balance. Huyu dada ni machachari kweli kweli na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuzipangua.

4/PHILIPO MWAKIBINGA-Ni kijana mwenye maono na uwezo mkubwa wa kufikiri, mwenye ushawishi mkubwa, ujasiri na utayari wa kujitolea. Ni kijana mwenye kupenda wapate wengine yeye akose na hilo nilithibitisha akiwa rais wa Udom kupigania wanafunzi wenzake wapate mafunzo kwa vitendo na fedha za field wakati yeye hakuwa na mkopo na hivyo asingepata pesa hizo. Napendekeza apewe uenyekiti wa BAVICHA taifa. Hii itaua propaganda ya ukanda kwani MWAKIBINGA anatokea Nyanda za juu kusini jimbo la lupa wilaya ya Chunya.

5/ZAINABU MUDHIHIRI ASHIRAF-Huyu ni dada mchapakazi mahiri sana na ameonesha uwezo mkubwa kwa chama. Amekuwa mwanzilishi wa Chaso TIA-Mbeya mjini, amemnadi mgombea wa Udiwani huko Tanga kwa weledi mkubwa sana na pia anafanya vizuri sana makao makuu na sasa yuko katika utekelezaji wa CHADEMA ni msingi. Napendekeza apewe umakamu mwenyekiti BAVICHA taifa.Hii itasaidia kuuawa propaganda ya udini na mfume dume.

6/BEN WA SAA NANE-Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa katika teknolojia ya habari na pia ni msomi mzuri katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa. Napendekeza apewe ukatibu wa BAVICHA taifa.Nashauri hivi kwa kuwa Ben saa 8 Sio msemaji sana jukwaani bali mtendaji zaidi.

8/DK SLAA-Huyu ana siri nyingi sana za chama na serikali, ana busara, uwezo mkubwa wa kufikiri nk.Napendekeza apewe uenyekiti wa Baraza la Wazee taifa.

Nafasi nyingine nitashauri siku nyingine .

Zingatia ,haya ni mawazo ama maoni yangu binafsi .Pia hao niliowataja wagombee na Demokrasia ichukue nafasi yake.Ninamaana wachaguliwe kidemokrasia na si kuteuliwa.

************* Nawasilisha ***************

Prof Safari bado nimgeni sana kwenye chama, na bado hajajulikana anamalengo gani chadema.

Sidhani kama watani wangu chadema wako tayari kukiweka rehani chama.
 
Uongozi si lelemama,unaweza kupenda mtu awe nani ktk uongozi wa chama lakini je?ana nia na utashi wa kuitaka nafasi hiyo?waache wenye nia ya kuongoza chama watajitokeza wakati ukifika.kuishi na wishful thinking!Noma.
 
KAMANDA ,mimi si gamba na inashangaza kila mwenye mawazo ya kukishauri Chama anaitwa ni ccm.

Binafsi sitarajii kuwa mwanaccm katika maisha yangu yote ni bora niachane na siasa ya vyama vya siasa.

Ni kweli CHADEMA haiwezi kuendeshwa na propaganda za ccm lakini propaganda hizo zina impact kwa wananchi ambao ni wepesi ama si wakomavu kisiasa hasa wale wa vijijini.

Nashauri na kuwaomba wachangiaji tujikite kuwajadili watu hao kama wana faa ama laa.

Ni mawazo yangu tu Jamani.

Unachosema wewe ni kuwa tushushe alama za ufaulu ili watu wengi wafaulu, sema hao wanakijiji waongezewe mikakati ya kuelimishwa.
 
Chadema imara inawahitaji Mhe. Dr. Warid Kabouru (Mwenyekiti), Mhe. David Kafulira (Makamu Mwenyekiti) na Mhe. Zuberi Zitto Kabwe (Katibu Mkuu). Hapo mambo yataenda motomoto na Maccm yatakoma
 
Kheri ya mwaka mpya mwaka 2014.

Ninaomba kupendekeza safu mpya ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu ndani ya Chama.

Napendekeza wafuatao na nyadhifa zao

1/PROFESSOR SAFARI-Napendekeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimchague kwa kura za kutosha Prof Safari kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa.

Hii,itasaidia propaganda ya ccm na washirika wake kwamba ni chama cha wakristo itakufa kifo cha mende. Hii pia itasaidia kuua hoja ya ccm na washirika wake kwamba CHADEMA inaongozwa na mwenyekiti mwenye elimu ndogo na hivyo wanakopa usemi wa mh Msigwa kwamba akili ndogo kuongoza akili ndogo.

2/JOHN MNYIKA-Huyu ni kijana machachari, mwepesi na flexible sana. Mara zote amekuwa mwenye hoja nzito, mpanguaji wa propaganda za ccm,anayeweza kufafanua mambo kwa weledi. Pia ni kijana aliye na social capital kwa vijana, wazee,wanawake na watoto. Binafsi nimemshuhudia Mnyika akilala sakafuni na wanafunzi wa Chaso katika usiku wa kuamkia kupiga kura uchaguzi mdogo wa madiwani mwezi juni 2013 kata ya mianzini jijini Dar es salaam.

3/MARRY MSABAHA-Huyu ni mbunge wa viti maalumu kutoka Zanzibar.Napendekeza huyu apewe unaibu katibu mkuu .Hii itasaidia kuua propaganda tatu za maccm. 1/Ukanda, 2/udini na 3/ubara,4/gender balance. Huyu dada ni machachari kweli kweli na ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kuzipangua.

4/PHILIPO MWAKIBINGA-Ni kijana mwenye maono na uwezo mkubwa wa kufikiri, mwenye ushawishi mkubwa, ujasiri na utayari wa kujitolea. Ni kijana mwenye kupenda wapate wengine yeye akose na hilo nilithibitisha akiwa rais wa Udom kupigania wanafunzi wenzake wapate mafunzo kwa vitendo na fedha za field wakati yeye hakuwa na mkopo na hivyo asingepata pesa hizo. Napendekeza apewe uenyekiti wa BAVICHA taifa. Hii itaua propaganda ya ukanda kwani MWAKIBINGA anatokea Nyanda za juu kusini jimbo la lupa wilaya ya Chunya.

5/ZAINABU MUDHIHIRI ASHIRAF-Huyu ni dada mchapakazi mahiri sana na ameonesha uwezo mkubwa kwa chama. Amekuwa mwanzilishi wa Chaso TIA-Mbeya mjini, amemnadi mgombea wa Udiwani huko Tanga kwa weledi mkubwa sana na pia anafanya vizuri sana makao makuu na sasa yuko katika utekelezaji wa CHADEMA ni msingi. Napendekeza apewe umakamu mwenyekiti BAVICHA taifa.Hii itasaidia kuuawa propaganda ya udini na mfume dume.

6/BEN WA SAA NANE-Huyu ni kijana mwenye uwezo mkubwa katika teknolojia ya habari na pia ni msomi mzuri katika diplomasia na ushirikiano wa kimataifa. Napendekeza apewe ukatibu wa BAVICHA taifa.Nashauri hivi kwa kuwa Ben saa 8 Sio msemaji sana jukwaani bali mtendaji zaidi.

8/DK SLAA-Huyu ana siri nyingi sana za chama na serikali, ana busara, uwezo mkubwa wa kufikiri nk.Napendekeza apewe uenyekiti wa Baraza la Wazee taifa.

Nafasi nyingine nitashauri siku nyingine .

Zingatia ,haya ni mawazo ama maoni yangu binafsi .Pia hao niliowataja wagombee na Demokrasia ichukue nafasi yake.Ninamaana wachaguliwe kidemokrasia na si kuteuliwa.

************* Nawasilisha ***************

Hapo namba 6 ! ???!?
 
Chadema imara inawahitaji Mhe. Dr. Warid Kabouru (Mwenyekiti), Mhe. David Kafulira (Makamu Mwenyekiti) na Mhe. Zuberi Zitto Kabwe (Katibu Mkuu). Hapo mambo yataenda motomoto na Maccm yatakoma

Nimecheka sana leo
 
Na hawa mtawafukuza kwa kuwa kuna memba JF kawapendekeza?
 
Mimi Hi miongoni mwa wadau wanaoshauiri kuwa na religious balance ndani ya chadema. Niliyasema haya ktk kuchangia kwa mini JK Kaunda nafasi mpya baada ya kumteua IGP. Hayaepukiki kwa wakati tulio nao sasa. La sivyo CDM itatafsiriwa Kama Christian Democratic Movement....CDM.

Name hii pia inachangiwa na yanaayoendelea ndani ya chama
 
Chadema inaoza sasa haijulikani nani awe nani.
Lakini ninaachokiona ni kama mwisho wa hiki ni huu.
People lose hope a moment ago!
 
Ninaomba kupendekeza safu mpya ya viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mkuu ndani ya Chama.

Napendekeza wafuatao na nyadhifa zao

Zingatia ,haya ni mawazo ama maoni yangu binafsi .Pia hao niliowataja wagombee na Demokrasia ichukue nafasi yake.Ninamaana wachaguliwe kidemokrasia na si kuteuliwa.

************* Nawasilisha ***************
Najaribu kufikiria kuna utofauti gani na kile ambacho Kamati Kuu ya CHADEMA ilikiiita uhaini na Usaliti. Kutokana na mwenendo wa kesi ya Dr. kitila Mkumbo Vs KK ni wazi kwamba milango yaMA wanaokubaliana na maamuzi ya KK kukubaliana na mawazo yako. Upepo wa mabadiriko hauwezi kuzuiwa, unapoanza kuvuma huna haja ya kupambana nao, ni bora kuwa kama muanzi unainama unapita, lakini ukijifanya mnazi utavunjika.
 
Buku7 mna kazi.
Mleta mada ungeanza na ukoo wenu wa Panya kisha ndiyo uendelee na mke wenu CUF then uendelee na Upinzani.
 
Ukifanikiwa kupanga safu kwenye nccr, cuf APPT, jahazi na kwa maccm nitakuona wewe ni genius.
 
Back
Top Bottom