CHADEMA tumieni njia hii kumaliza mgogoro wa ndani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,457
154,323
Tangu enzi za Mababu inasemekana Wachagga wametumia "Isale" au (Dracaena afromontana) katika kuleta suluhu na kusameheana (forgiveness) katika jamii yao.

Mmea huu unatumiwa sana katika maofisi duniani kama mapambo (ornamental).

Mmea huu una nguvu za Kimungu (Goddess/ritual powers) kwani anayekataa suluhu hufikwa na mabalaa/ mikosi.

Je, jamii nyingine tunatumia njia gani za kimila kusuluhishana?.

Kwanini mbinu hizi zisitumike kuleta muafaka (reconciliation) na mapenzi mema katika Taifa letu linalofarakana?.
 
Hatuna mgogoro ndani ya cdm ila ni vijani vitatu viliezekwa vibaya kwenye paa sasa tumevitoa mbona ata inyishe ya mafuriko ndani hapavuji si unajuwa vijani vitatu si kitu.
 
Kuna wakati makosa mengine hayahitaji suluhu,

Lakini Chadema kwao kila kosa ni jinai, hata ukijamba kwao ni kosa la jinai

Mashallah mtoto wa kiume utakuwa unapenda sana kujamba wewe....wallah na huo wajihi wako uko nyuma mi naapia ukijamba mbele yangu nakusamehe bure bila masharti na hela nakupa utakazotaka.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom