CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

Ili kuwa na legiticimacy kuibana Ccm lazima tujikosoe na kubadilika kuondoa mapungufu yetu. sawa Kamanda?
Uko sahihi hasa ukizingatia ccm ikibanwa unachukia. Sasa tugawane majukumu, ww rekebisha mapungufu ya ndani ya cdm, wengine wataendelea kuibana ccm. Hapo vipi?
 
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.

Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.

Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.

Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.

Hii ni wazi hatuwezi kuikosoa CCM.
Huo ndio 'wimbotaka' uliyowasaidia wa aina yako kupata teuzi baada ya kuchanganya na kujiliza hadharani. Jitahidi mungu mwenye jinsi kike anaweza kukupokea.
 
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.

Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.

Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.

Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.

Hii ni wazi hatuwezi kuikosoa CCM.
Lord Jesus, you are the authoritative Son of God, and your Word is Law. You bring us the Words of the Father and you are the Word of the Father. We know that you have the Words of Life, and that salvation is to be found in no other. Help us to pay careful attention to your Words and teachings, knowing from whom they come.
 
Back
Top Bottom