Elections 2010 Chadema tumeshinda biharamulo mashariki

HIMO ONE

Senior Member
Sep 6, 2010
128
7
Source channel ten sas hivi

kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up chademist
 
Heading bado inanichanganya.

Heading iko wazi "yeye kama mwanachadema anayo furaha kuu kutujulisha ya kwamba CCM wamenyolewa bila maji jimbo la b'lo mashariki" kwa hiyo meza wembe kama hutaki

Zee la Chato Nyakakarango upo!
 
Unatuchanganya. Ni hivi: Jimbo la B'mulo Mashariki (Chato) Ndo Magufuri na B'mulo Magharibi (Biharamulo) Kwetu ni Dr Mbassah(Chadema) Hatuna utani Bi'mulo!
 
mwaka huu lazma mavi yawagonge chupui awa ccm
:yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Source channel ten sas hivi

kwa taarifa zilizokamilika ni kuwa jimbo la biharamulo magharibi(chato)limechukuliwa na magufuli wa ccm,jimbo la biharamulo magharibi limechukuliwa na chadema,big up chademist

Samahani Mkuu/wakuu naomba ufafanuzi hapo kwenye RED!!
 
Back
Top Bottom