"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.
"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.