Chadema tumejiandaa vipi kulinda kura zetu?

V.P

Member
Apr 24, 2011
30
37
Katika uchaguzi wa 2010 waliojitokeza kupiga kura ni kama 1/3 ya wote wenye haki ya kupiga kura.

Utafiti wangu usio rasmi unasema kwamba watu wengi wameichoka CCM ila waliamini hata wakipigia kura chama chenye nia ya dhati na uwezo wa kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa mafisadi CCM will never give up power kwa hiyo hawakuona thamani ya kupiga kura.

Je, Chadema tumejiandaa vipi kuhakikisha kwamba dhana hii inafutwa ili wananchi wakabomboe taifa lao kupitia Chadema ? What is Chadema doing to protect ushindi wetu in 2015?
 
Ndio maana tumeanza na mafunzo kwa wenyeviti na makatibu wote bara na zanzibar.
 
Back
Top Bottom