Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,255
- 7,920
Kama watu Mwenyekiti wao ni Form six tu na anawatawala kibabe tangu 2003 basi ujuwe wanachama wake ni mazombie.Hata JPM hawa watu walumtibua, cdm walisema serikal ya JK haina ndege, haifai,, JPM kaingia kanunua ndege,
Wakasema JK kamfunga babu seya kwa kubambika,, JPM kaingia akamtoa bob seya gerezani,
Chadema wakasema, PAP na Ruge wamechukua hela ya umma kwenye masalfeti,,, bila hata ushahidi, wakalalamuka JK anafuga mafisadi,,, JPM kaingia kafungua mahakama ya mafisadi,, kawaweka ndani singa na Ruge japo hakuna mahakama hapa duniani ingepata kifungu cha kisheria kuwafunga, wakasota mahabusu hadi wakakongoroka,
Matajiri, wahujumu uchumi wakatapishwa fedha,,
Chadema wakamgeuka JPM,, wakaanza kusema hajui englishi, eti PHD yake haikidhi,, Jpm akaona kumbe hawa hawana shukrani,, akagoma kukutana nao, akawabania kwelikweli na akawambia katiba mpya si kipaumbele chake,,
In short chadema hawana think tank na wanadiplomasia
Wenye akili walikihama Chama hiki kama Zitto Kabwe na Silinde