CHADEMA tujitathmini upya kama hii mbinu ya kuwazulia kashfa ya vyeti wabaya wetu itatuvusha 2020

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameanzisha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa vile Mwenyekiti wetu ni mmoja wa watuhumiwa, tumeshirikiana na akina Mange Kimambi na Josephat Gwajima kumzushia kashfa ya kutumia jina lisilo lake na vyeti kujiendeleza kitaaluma. Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha madai hayo na sisi tuliozua kashfa hiyo tunamlazimisha Makonda awasilishe vyeti ilhali tulisema tunavyo.

Wakili Godfrey Songa baada ya kufungua kesi Mahakamani ili uchaguzi wa TLS usimamishwe hadi hapo kanuni za kuendesha uchaguzi wa chombo hicho zitakapotungwa na Bunge tumetumia mbinu ile ile ya Makonda. Copy and Paste. Eti Wasonga majina yake ni Elia William na baba yake ni Mjaluo Raia wa Kenya! Ridiculous.

Wasiwasi wangu, je hii mbinu tunayotumia itatusaidia vipi kutuvusha salama 2020? Mahasimu wetu CCM wamejipanga kweli. Tena si mchezo. Wanafanyia Service chombo chao kwa kumwaga Oil Chafu na kuweka mpya. Cha ajabu sisi tunachukua Oil iliyomwagwa na CCM tunaweka kwenye engine yetu eti tutegemee tuwe na ushindani sawa. Kukosa akili. Mbaya zaidi tunamtumia dereva yule yule aliyeshindwa kukimbia hata mita 100 apambane na mtu aliyezunguka nchi nzima kwa gari. Kichekesho
Huo upuuzi kawapelekea Loumoumber. Watu wenye akili zao wanajua kinachoendelea. Kwa mtaji huo haupo tofauti sana na PhD holders wa Leo kama Prof Bwana yule
 
Halafu haupo tofauti pia na mtu mmoja anayejiita sijui lizard bobu nimesahau kidogo
 
Hii nchi ina watu waajabu yaani mtu amewadanganya marais halafu unamtetea?. Inawezekana nawe ni Bashite.
 
Siasa zinaingiaje kwenye vita vya madawa ya kulevya kughushi vyeti? Mtu anayehusika na chochote kati ya hivyo kwa ushahidi mubashara ashughlikiwe kwa mujibu wa sheria. Matusi mitandaoni hayatusaidii. Makosa yote haya sio ya kufumbiwa macho. Daktari naye huugua jamani!
 
Hivi masuala ya vyeti vinavumishwa na chadema au mitandaoni? Naelewa na uandishi Kama huu wa kuelekeza tuhuma dhidi ya tuhuma.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameanzisha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa vile Mwenyekiti wetu ni mmoja wa watuhumiwa, tumeshirikiana na akina Mange Kimambi na Josephat Gwajima kumzushia kashfa ya kutumia jina lisilo lake na vyeti kujiendeleza kitaaluma. Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha madai hayo na sisi tuliozua kashfa hiyo tunamlazimisha Makonda awasilishe vyeti ilhali tulisema tunavyo.

Wakili Godfrey Songa baada ya kufungua kesi Mahakamani ili uchaguzi wa TLS usimamishwe hadi hapo kanuni za kuendesha uchaguzi wa chombo hicho zitakapotungwa na Bunge tumetumia mbinu ile ile ya Makonda. Copy and Paste. Eti Wasonga majina yake ni Elia William na baba yake ni Mjaluo Raia wa Kenya! Ridiculous.

Wasiwasi wangu, je hii mbinu tunayotumia itatusaidia vipi kutuvusha salama 2020? Mahasimu wetu CCM wamejipanga kweli. Tena si mchezo. Wanafanyia Service chombo chao kwa kumwaga Oil Chafu na kuweka mpya. Cha ajabu sisi tunachukua Oil iliyomwagwa na CCM tunaweka kwenye engine yetu eti tutegemee tuwe na ushindani sawa. Kukosa akili. Mbaya zaidi tunamtumia dereva yule yule aliyeshindwa kukimbia hata mita 100 apambane na mtu aliyezunguka nchi nzima kwa gari. Kichekesho
Ina maana anavyo vyeti halali vya kwake? Mimi nataka wote waumbuane. Yaani natamani waruhusu mgombea binafsi kwenye katiba na sisi tusio na vyama tutumikie wananchi. Watu wanaishi kwa kuvunja sheria, inawezekanaje? Ningevunja Mimi na kwa vile sina alleged authority ya kutaja watu wa madawa ya kulevya basi ningeadhibiwa vilivyo.

Kila kitu ni kupiga madili. Sasa watu watavuna walichopanda. Huwezi kupanda udanganyifu tena wa kwako binafsi, uje uvune sifa na maslahi mazuri.

Naunga mkono vita dhidi ya madawa ya kulevya na natumaini commission ya Sianga itafanya kazi yake. Pia namuunga mkono Rais katika vita dhidi ya wafanyakazi mafisadi wa vyeti.
 
Nimepoteza muda wangu bure kusoma upuuzi, Mimi nilidhani anakuja na vyeti kumbe blabla!!? Mtabadili Id kila siku lakini mwambieni bwana yenu alete vyeti. Tusiohusika na mavyama yenu wala hayatuhusu, tunataka vyeti tu.
 
Kada wa CCM kazini shame on you ukweli unaujua kutumika kuna kuangaisha.. najiulizaga mnalipwa sh. ngapi?
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameanzisha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Kwa vile Mwenyekiti wetu ni mmoja wa watuhumiwa, tumeshirikiana na akina Mange Kimambi na Josephat Gwajima kumzushia kashfa ya kutumia jina lisilo lake na vyeti kujiendeleza kitaaluma. Mpaka sasa hakuna aliyethibitisha madai hayo na sisi tuliozua kashfa hiyo tunamlazimisha Makonda awasilishe vyeti ilhali tulisema tunavyo.

Wakili Godfrey Songa baada ya kufungua kesi Mahakamani ili uchaguzi wa TLS usimamishwe hadi hapo kanuni za kuendesha uchaguzi wa chombo hicho zitakapotungwa na Bunge tumetumia mbinu ile ile ya Makonda. Copy and Paste. Eti Wasonga majina yake ni Elia William na baba yake ni Mjaluo Raia wa Kenya! Ridiculous.

Wasiwasi wangu, je hii mbinu tunayotumia itatusaidia vipi kutuvusha salama 2020? Mahasimu wetu CCM wamejipanga kweli. Tena si mchezo. Wanafanyia Service chombo chao kwa kumwaga Oil Chafu na kuweka mpya. Cha ajabu sisi tunachukua Oil iliyomwagwa na CCM tunaweka kwenye engine yetu eti tutegemee tuwe na ushindani sawa. Kukosa akili. Mbaya zaidi tunamtumia dereva yule yule aliyeshindwa kukimbia hata mita 100 apambane na mtu aliyezunguka nchi nzima kwa gari. Kichekesho
Kwani hiyo ni ajenda ya CHADEMA? Emb acha kujifanya mwanachadema wakati ID zako za awali tunazifahamu.
1. Ishu ya vyeti kaianzisha mwenyekiti wako wa ccm taifa bila kujua itamhusu na wateule wake hasa wa kanda ya nyonyo. Mwigulu aliamua kuanzisha thread kujieleza hapa, hata Bashite anafahamu

2. Ingekuwa ya CHADEMA mishahara isingesimama, watumishi wangepandishwa madaraja na vyeo, uhamisho ungeendelea, ajira zingeendelea maana CDM haina serikali.

3. Acha propaganda za kitoto, badala yake mwambie Daudi arudi na alete vyeti halisi siyo hizi blablaaa, na akitengeneza ataisoma namba maana ukweli upo.

4. Endelea kutumia ID zako za zamani CHADEMA hakuna mbumbu....
 
Back
Top Bottom