CHADEMA tujadili waraka

Bhangi ya Malawi mbaya sana, inawaharibu sana vijana wa Lumumba, hii posti umeleta baada ya kuvuta.
 
huyo aliyefunga mjadala alitaka kuwa rais wa nchi.

You can imagine nchi ingeendeshwa vipi iwapo ingetokea bahati mbaya akapitishwa.

Mungu aliwaongoza vyema watanzania wasichague muovu kuwa rais.

ina sikitisha sana huyo hawezi kuwa rais kabisa ni dikteta sana.

Anashindwa kujua kuwa sisi wenyewe wananchi ndio tutaamua kuufunga au kuto ufunga mjadala. Angekuwa rais tusinge mjadili kabisa.
 
Ndugu zangu huo waraka ni wa kupikwa jiulizeni kwanini watu hawa walipanga uhaini kwa kuandika waraka badala ya kujadiliana bila kuandika chochote, kwanini Mwigamba kakiri haraka haraka kuhusu waraka, kwanini aliyekutwa na waraka ni Mwigamba na siyo Zitto Kabwe au Kitila Mkumbo, aliye pora laptop ya Mwigamba na kukuta waraka alijuaje kuwa ndani ya laptop hiyo kuna waraka hadi kufikiri kuipora na kwanini baada ya kupora laptop ikarudishwa
 
Mjadala juu ya Zitto na kundi lake umeshafungwa, mnachokiita waraka/ripoti ni FEKI,

Mashitaka halisi ni 11 tu, na leo wamebakiwa na siku 8 tu za kujibu,

Mwambieni Zitto awaambie mashitaka aliyokabidhiwa kwa barua, lakini sharti awaambie baada ya kujibu tuhuma hizo kwa cc ya chadema na si vinginevyo.

Maji ya kimwagika hayazoleki hata uwe kama Hung Lee bingwa wa kukausha maji ulimi bila kuyameza wala kuyamwaga tena,

mimi najiuliza mtu mwenye akili timamu anawenzaje kusema mbowe amesema ajenda imefungwa ajibu hoja za PAC kwanza
 
Hii ni sauti ya Tumaini Makene.naleo umepewa ruhusa ya kujibu? Hivi tumani yuko likizo au amefutwa kazi?

Naomba kujua kama mkopo wa dr slaa kama ulirudishwa na riba.

Ni lini ofisi za chama hasa makao makuu zitajengwa?

Hivi chadema kama ina ruhusu mwanachama wake kumrushia matofali mwanachama mwingine itakwepaje kashifa za kumwagia watu tindikali?

hivi kwanini chadema mnataka kutonywa hili kukaguliwa?

Hile report report ya siri ambayo ilikuwa ina mhusu zitto ilikanwa na chadema lakini jana kamanda wa lema bw Mungi alisema hile report ni ya kweli na chadema wameikana kwa mkakati mahususi ni kweli.

Cc CHAMVIGA Ritz THE BIG SHOW sixgates.

Nje ya Mada....
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu huo waraka ni wa kupikwa jiulizeni kwanini watu hawa walipanga uhaini kwa kuandika waraka badala ya kujadiliana bila kuandika chochote, kwanini Mwigamba kakiri haraka haraka kuhusu waraka, kwanini aliyekutwa na waraka ni Mwigamba na siyo Zitto Kabwe au Kitila Mkumbo, aliye pora laptop ya Mwigamba na kukuta waraka alijuaje kuwa ndani ya laptop hiyo kuna waraka hadi kufikiri kuipora na kwanini baada ya kupora laptop ikarudishwa

weka hapa waraka halisi
 
chadema ni chama chenye mipango mizuri makaratasini ila kinaendeshwa na wahuni wachache wenye malengo yao binafsi.
 
unapaswa kujua chama ni taasisi hivyo kila taaisi ina katiba yake na katiba ndiyo ina sheria ya kuiongoza chama hivyo kila anayekiuka lazima sheria zifuatwe bila kujali ni nani na yeyote anayekiuka katiba kwa makusuti ni msaliti taasisi aiwezi kuendeshwa kwa mawazo ya mtu bali ni katiba, kanuni, miongozo na miiko na siyo akili ya mtu
 
Ndugu umesoma nilichoposti? nimeuliza juu ya vitu specific ambavyo 'waraka' umeibua kama uchakachuzi wa vipengele vya katiba, ubadhirifu wa fedha za chama n.k, hii sio hoja juu ya 'uhaini' au 'usaliti' nauliza juu ya hizi facts ambazo 'waraka' umezitoa.
 
Mjadala juu ya Zitto na kundi lake umeshafungwa, mnachokiita waraka/ripoti ni FEKI,

Mashitaka halisi ni 11 tu, na leo wamebakiwa na siku 8 tu za kujibu,

Mwambieni Zitto awaambie mashitaka aliyokabidhiwa kwa barua, lakini sharti awaambie baada ya kujibu tuhuma hizo kwa cc ya chadema na si vinginevyo.

Maji ya kimwagika hayazoleki hata uwe kama Hung Lee bingwa wa kukausha maji ulimi bila kuyameza wala kuyamwaga tena,

Kama nilivyohofia, tayari mmeshageuza mjadala. Maswali yangu ni katika mambo specific kama uchakachuzi wa vipengele vya katiba, ubadhirifu wa fedha na mengineyo na si 'uhaini' wa zitto wala kesi nyingine. Kwa majibu yako, je nichukulie kuwa hivi tuhuma za waraka huu unaoita feki ni FACTS? kama sio basi naomba majibu.
 
Hii ni sauti ya Tumaini Makene.naleo umepewa ruhusa ya kujibu? Hivi tumani yuko likizo au amefutwa kazi?

Naomba kujua kama mkopo wa dr slaa kama ulirudishwa na riba.

Ni lini ofisi za chama hasa makao makuu zitajengwa?

Hivi chadema kama ina ruhusu mwanachama wake kumrushia matofali mwanachama mwingine itakwepaje kashifa za kumwagia watu tindikali?

hivi kwanini chadema mnataka kutonywa hili kukaguliwa?

Hile report report ya siri ambayo ilikuwa ina mhusu zitto ilikanwa na chadema lakini jana kamanda wa lema bw Mungi alisema hile report ni ya kweli na chadema wameikana kwa mkakati mahususi ni kweli.

Cc CHAMVIGA Ritz THE BIG SHOW sixgates.

Mkuu,

Hao ni vijana matapeli waliojipa kazi kwa lazima huku wakidhani ya kwamba watathaminiwa,

MIMI HUWA NAWAPUUZA,HAWAJITAMBUI NA HAWATAKUJA KUJITAMBUA
 
KAMA Dr.W.Slaa imemshinda kazi ya mungu,

KWA MASIKITIKO MAKUBWA KABISA NATHUBUTU KUSEMA KWAMBA HAWEZ KUFANYA UADILIFU KWENYE KAZI ZA WALIMWENGU,NANI ANABISHA ANYOSHE JUU KIDOLE??SLAA NAOMBA LIKE POST HII...

:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom