CHADEMA tuishukuru serikali kwa kuokoa maisha ya Tundu Lissu

Dr Ulimboka alipotekwa akateswa nusu kufa alitupwa porini pembeni mwa barabara akiwa hajiwezi.

Kuna wasamalia wakamuona akiwa hoi huko porini na kuwataarifu akina Kijo Bisimba, Waliomfuata wakamuokota wakamuhifadhi vizuri wakampeleka Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya Tiba.

Kwa vyovyote vile, wale waliomuokota na kumhifadhi na kisha mumpeleka Muhimbili ni watu muhimu sana na wenye mchango mkubwa sana katika process nzima iliyookoa UHAI wa Dr Ulimboka.

Itakuwa ajabu sana ikiwa Dr Ulimboka anaweza kutoa shukrani kwa Muhimbili na madaktari waliomtibu kuwa eti ndio pekee wanaostahili kuchukua credit ya kuokoa maisha yake na kuwasahau watu Muhimu kama akina Kijo Bisimba na wasamalia wema waliomuokota na kumhifadhina kisha kumsafirisha kwa hao wanaoonekana ndio "WAPONYAJI"

Swala la Mh Tundu Lissu halina tofauti kubwa na la Dr Ulimboka.

Lissu alipigwa risasi kadhaa, akawa hoi bin taabani, alibleed sana na kwa kweli isingekuwa juhudi za madaktari wa Dodoma General Hospital wakiongozwa na Bingwa Dr Ulisubisya Mpoki ambaye ndiye Katibu Mkuu wa wizara ya AFYA, CHADEMA tungelipeleka maiti NAIROBI.

Tundu Lissu tusingelikuwa naye akitupa kiki za kisiasa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari leo hii.

Kitaaluma inapotokea hali yoyote inayotishia kutoweka kwa UHAI jambo la msingi na muhimu ni kuoffer emmegency care inayomuondolea mgonjwa hatari ya kutoweka UHAI wake.

Hili lilifanywa vema na serikali ya Dr John Pombe Magufuli.

Hapo ndipo UTAALAMU wa hali ya JUU kabisa kama wa akina Dr Ulisubisya Mpoki (Katibu Mkuu - Wizara ya Afya) unapohitajika na ndipo hasa palipo na kiini cha mgonjwa kupona au kupoteza UHAI wake.

Namaanisha Tiba iliyotolewa na serikali hii ya Dr John Pombe Magufuli ndiyo iliyodetermine Outcome inayotupa kiki mtaani leo.

CHADEMA tuache UNAFIKI. Ndani ya CHADEMA kuna Madaktari akiwemo Katibu mkuu wa chama chetu.

Tumwambie Mwenyekiti wetu, tuwaambie akina Lema na akina Msigwa Uhalisia wa nani hasa aliyeokoa UHAI wa Mh Tundu LISSU.

Je Ni Madakatari wa NAIROBI au ni MADAKATARI wa serikali ya Mh MAGUFULI?

Katika Taaluma huwa kuna msemo kuwa anayemuona mgonjwa kwa mara ya kwanza ndiye determinant kwa asilimia kubwa ya outcome ya tiba.
Nasubiri neno la shukrani la MhTundu Lissu mwenyewe kama naye ataishia kuwashukuru akina Mange Kimambi, Wema na madaktari wa NAIROBI, au ataikumbuka na serikali ya Magufuli iliyodetermine uwepo wake leo hii.
Mh!!
 
Sijaelewa mleta maada anamanisha kipi kwa aliyeelewa anisaidie mimi kuelewa
 
Naam usisahahu pia serekali ya Magufuli ndo yenye wasio julikana walio taka kumpora uhai.
 
Suala ni nani kaokoa maisha ya Lissu au nani alitaka kukatisha maisha yake?

Madaktari waliomhudumia walikuwa wanatimiza wajibu wao,si hisani! Ni wenye mawazo na fikra finyu tu wanaoweza kuchukulia hilo kama hisani au huruma ya serikali.

Itoshe kusema kuwa Magufuli ni masikini sawa na masikini wengine ambaye anategemea kodi ya watanzania ili aendeshe maisha. Na ndo maana ameanza juhudi za kubadili katiba kupitia vikaragosi vyake ili aendelee "kutusua!" Kutibiwa mkewe Muhimbili ni kipimo tosha cha umaskini wake.Angempeleka nje aone mziki wake.
 
Madaktari wa Dodoma wamefanya kazi kubwa sana, na viongozi wa CHADEMA wametumia nafasi mara kwa mara kuwashukuru. tatizo ni hiyo Serikali inayowaajiri, ndiyo imetuangusha. wakati Tundu Lissu tunaambiwa asilimia 95 ya damu aliyonayo sasa hivi ni damu aliyoongezwa, Serikali ya Magufuli imepiga marufuku kuchangia Damu. licha ya kwamba Tundu Lissu anaendelea kuhitaji Damu, asingehitaji Damu yote ambayo ingetolewa nchi nzima. na huko Kenya ni wakenya na wengine ndio wanaomchangia Damu. kwa hiyo serikali hii ina maana gani kupiga marufuku watz kuchangia Damu?

Serikali inapiga marufuku kumuombea Lissu. eti wanasema kuna makanisa na misikiti. Jamani maombi ya jumla hayakuanza leo. huwa tuna makongamano ya maombi, yanayojumuisha watu mbalimbali wa dini mbalimbali. Mbona Rais anapoapishwa anaombewa pale kiwanjani, mbona haendi msikitini akaombewe?

Kwa hiyo madaktari hatuna tatizo nao, tunawapongeza. Serikali ya magu ina tuhuma kibao za kujibu
 
Kama ntakuwa cko sahihi, naomba kukosolewa, ila kwa hotuba ya Mbowe jana alitambua mchango mkubwa wa Madaktari wa Dodoma Kwa kazi nzuri ya kuokoa maisha Ya Lissu kabla hajasafirishwa kwenda Nairobi. Cjui mwenzetu ulisikia kuwa walitambuliwa kina Mange tu? Nadhani utakuwa na tatizo la Comprehension yaani Listening and Understanding au unaendekeza unazi kwenye Mambo Sensitive.
Mkuu umemjibu vibaya sanasijui amesoma shule ipi
 
Serikali ndio mshukiwa number moja wa shambulizi la kikatili dhidi ya Mh Lissu, rejea kauli tata za Mh kipara utapata jibu kuwa nani mhusika mkuu wa shambulio hilo
 
Kama ntakuwa cko sahihi, naomba kukosolewa, ila kwa hotuba ya Mbowe jana alitambua mchango mkubwa wa Madaktari wa Dodoma Kwa kazi nzuri ya kuokoa maisha Ya Lissu kabla hajasafirishwa kwenda Nairobi. Cjui mwenzetu ulisikia kuwa walitambuliwa kina Mange tu? Nadhani utakuwa na tatizo la Comprehension yaani Listening and Understanding au unaendekeza unazi kwenye Mambo Sensitive.
Ila hawafahamu majina hata mmoja isipokuwa wa Kenya ndo anawafahamu kwa majina. Kwa Tanzania anawafahamu Mange na Wema.
 
Lissu hata asingehudumiwa na madaktari wa Tanzania Angepona tuu uhai wa Lissu Uko Uko mikononi mwa Mungu Pekee... Risasi moja inatosha kutoa uhai wa mtu sembuse nane? Matendo mema ya Lissu kupigania haki kumemuokoa na kifo.... Tenda mema na Mungu atakulinda

Tumuombee tu Lissu Mkuu. Ila kwenye kupigania haki sijui haki ya akina nani?
 
Boss Chintu Mbona umemsahau MUNGU Boss?, mbona nafasi ya MUNGU haujaitaja?

Ukweli usiopingika, ni MUNGU tu ndio aliyemponya Mh. Lissu, na si Mwanadamu au Kiumbe chochote. Wewe risasi 38 na bado unapumua, halafu unatuambia ni Binadamu ndio aliyeokoa uhai wake?

Haya matukio yawe fundisho, onyo na wake up call kwetu.

Baada ya MUNGU ndio unaweza na tunaweza kuwashukuru Madaktari, Jamhuri, Serikali kwa kazi nzuri.

Dr Ulimboka alipotekwa akateswa nusu kufa alitupwa porini pembeni mwa barabara akiwa hajiwezi.

Kuna wasamalia wakamuona akiwa hoi huko porini na kuwataarifu akina Kijo Bisimba, Waliomfuata wakamuokota wakamuhifadhi vizuri wakampeleka Hospitali ya Muhimbili kwa ajili ya Tiba.

Kwa vyovyote vile, wale waliomuokota na kumhifadhi na kisha mumpeleka Muhimbili ni watu muhimu sana na wenye mchango mkubwa sana katika process nzima iliyookoa UHAI wa Dr Ulimboka.

Itakuwa ajabu sana ikiwa Dr Ulimboka anaweza kutoa shukrani kwa Muhimbili na madaktari waliomtibu kuwa eti ndio pekee wanaostahili kuchukua credit ya kuokoa maisha yake na kuwasahau watu Muhimu kama akina Kijo Bisimba na wasamalia wema waliomuokota na kumhifadhina kisha kumsafirisha kwa hao wanaoonekana ndio "WAPONYAJI"

Swala la Mh Tundu Lissu halina tofauti kubwa na la Dr Ulimboka.

Lissu alipigwa risasi kadhaa, akawa hoi bin taabani, alibleed sana na kwa kweli isingekuwa juhudi za madaktari wa Dodoma General Hospital wakiongozwa na Bingwa Dr Ulisubisya Mpoki ambaye ndiye Katibu Mkuu wa wizara ya AFYA, CHADEMA tungelipeleka maiti NAIROBI.

Tundu Lissu tusingelikuwa naye akitupa kiki za kisiasa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari leo hii.

Kitaaluma inapotokea hali yoyote inayotishia kutoweka kwa UHAI jambo la msingi na muhimu ni kuoffer emmegency care inayomuondolea mgonjwa hatari ya kutoweka UHAI wake.

Hili lilifanywa vema na serikali ya Dr John Pombe Magufuli.

Hapo ndipo UTAALAMU wa hali ya JUU kabisa kama wa akina Dr Ulisubisya Mpoki (Katibu Mkuu - Wizara ya Afya) unapohitajika na ndipo hasa palipo na kiini cha mgonjwa kupona au kupoteza UHAI wake.

Namaanisha Tiba iliyotolewa na serikali hii ya Dr John Pombe Magufuli ndiyo iliyodetermine Outcome inayotupa kiki mtaani leo.

CHADEMA tuache UNAFIKI. Ndani ya CHADEMA kuna Madaktari akiwemo Katibu mkuu wa chama chetu.

Tumwambie Mwenyekiti wetu, tuwaambie akina Lema na akina Msigwa Uhalisia wa nani hasa aliyeokoa UHAI wa Mh Tundu LISSU.

Je Ni Madakatari wa NAIROBI au ni MADAKATARI wa serikali ya Mh MAGUFULI?

Katika Taaluma huwa kuna msemo kuwa anayemuona mgonjwa kwa mara ya kwanza ndiye determinant kwa asilimia kubwa ya outcome ya tiba.
Nasubiri neno la shukrani la MhTundu Lissu mwenyewe kama naye ataishia kuwashukuru akina Mange Kimambi, Wema na madaktari wa NAIROBI, au ataikumbuka na serikali ya Magufuli iliyodetermine uwepo wake leo hii.
 
Chintu hapo Lumumba wamekupa kazi ya kujifanya wewe kuwa ni mwana CHADEMA hapa JF? Mbona kama unafanya kamchezo ka Mbuni kufukia kichwa chini wakati mwilil mzima unaonekana?
 
Kama ntakuwa cko sahihi, naomba kukosolewa, ila kwa hotuba ya Mbowe jana alitambua mchango mkubwa wa Madaktari wa Dodoma Kwa kazi nzuri ya kuokoa maisha Ya Lissu kabla hajasafirishwa kwenda Nairobi. Cjui mwenzetu ulisikia kuwa walitambuliwa kina Mange tu? Nadhani utakuwa na tatizo la Comprehension yaani Listening and Understanding au unaendekeza unazi kwenye Mambo Sensitive.
naona alitaka amtaje mkuu wa serikali
 
Chintu hapo Lumumba wamekupa kazi ya kujifanya wewe kuwa ni mwana CHADEMA hapa JF? Mbona kama unafanya kamchezo ka Mbuni kufukia kichwa chini wakati mwilil mzima unaonekana?
Mkuu mimi ni mwanaCHADEMA haswa! ingawa huwa sikubaliani na baadhi ya mambo ambayo chama changu kinafanya.
Sijawahi kuwa CCM ingawa namuunga sana mkono Magufuli kwa hatua anazozichukua kurejesha makiasili za watanzanuia pamoja na uwajibikaji serikalini. Sikumpenda Kikweye kwa sababu alikuwa DHAIFU katika mambo serious. Magufuli ndiye hasa ambaye CHADEMA ile original ilikuwa unamuhitaji.
Anayo mapungufu lakini ni bora saana kulikp yule mgawa fedha Makanisani na Misikitini uchaguzi unapokaribia.
 
Kuanza kutibiwa na madaktari wa serikali hakuondoi wala kufuta ukweli kwamba ni serikali hiyo hiyo ndo ilitaka kumuondolea uhai wake...!
Nina uhakika wapangaji wa huo uharamia walitamani hata kuwasiliana na mahospitali yote ya dodoma na hata dsm ili tu wakishatekeleza unyama wao huo basi hata angefikishwa hospitali yoyote madaktari wazuge tu au kudelay matibabu kinamna tu ili Lissu apoteze uhai lakini pengine waliona kushirikisha watu wengi namna hiyo siri ingeweza kuvuja!!
Wakabaki na option ya kumimina risasi za kutosha ili kuhakikisha kuwa hatatoka kwenye gari akiwa bado anapumua...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom