CHADEMA tudumishe Resilience yetu

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.

Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.

UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
 
Hili swala sio la CHADEMA tu, ni swala la vyama vyote vya upinzani (hata wale waliojiuza pamoja n vyama vyao kama machangudoa - CUF) pamoja na raia wapenda demokrasia wapinge vikali huu uchaguzi na utawala.
 
Watu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Maagizo yote ya kukinukisha yaliyotolewa wakati wa kampeni na mgombea wa upinzani yamepuuzwa. Nini kipya cha kufavya wasiyapuuze sasa?? Imetoka hiyo.
 
Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Una lolote kapuku kipepeo.. wenye hela zao wako neutral wanakula maisha taratibu.

Mimi if I can't fight them I join... This is my principle. Ndo maan nimerelax.

Shida zimekujaa Hadi kwenye kile kitundu "chakubania nya" unasema eti umekuja kupigania nchi.. are you Winnie Mandela?
 
Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.

tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.

UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
Makamanda mtaani mnaingia saa ngapi??
 
Maagizo yote ya kukinukisha yaliyotolewa wakati wa kampeni na mgombea wa upinzani yamepuuzwa. Nini kipya cha kufavya wasiyapuuze sasa?? Imetoka hiyo.
Huyo jamaa muongo kishenzi. Eti anasubiri tamko la viongozi... Tamko gani?
 
Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Hapa ndipo mnaposhindwa! Hamna hekima, busara, wala Adabu. Pia mmeishakuwa brainwashed! Ninyi ni vimeo kwa Uwepo wa Tanzania imara, inayopiga hatua za kimaendeleo katika nyanja zote! Ninyi ni mamluki, bahati nzuri Tanzania ni kubwa sana!
 
Back
Top Bottom