CHADEMA tuache ujinga, tuunge mkono juhudi. Mimi naanza rasimi maana nimekuwa impressed na huu muitikio katika hivi vituo vya Ukonga

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Nimesmsikiliza Mbowe na baada ya kumsiliza, nimegundua watu kweli wanaunga mkono juhudi na hii ni kwa mujibu wa form za matokeo ambazo Mbowe alizisoma mbele ya waandishi.

Sasa hebu tutiririke hapa chini kwa kuangalia vitu hivi ya Ukonga ambavyo mawakala wa upinzani walimudu kubaki vituoni.

Kituo namba QTB 2
Waliojiandikisha:433
Waliopiga kura: 25
CCM................. : 12
CHADEMA....... :13

Kiwanja cha shule QTB 5
Waliojiandikisha: 433
Waliopiga kura :23
CCM.................... 11
CHADEMA...........12

Viwanja vya wazi EFATHA
kituoa A2
Waliojiandikisha........... 453
Waliopiga kura.............. 54
CCM...............................18
CHADEMA.....................33

Kituo QTB 6
Waliojiandikisha: 435
Waliopiga kura.... 24
CCM.....................13
CHADEMA...........11

Matokei ya kituo ambacho mawakala wa CHADEMA waliondolewa:

EFATHA A1
Waliojiandikisha.....431
Waliopiga kura........ 309
CCM..........................301
CHADEMA.................07

Kwa mwendo huu, hata mimi lazima niunge mkono juhudi maana hivi ni vituo vichahe tu miongoni mwa vingi vilivyotolewa kama mfano.
 
Ni vizuri umetoa vichache ila ni bora zaid kama ungetoa angalau taarifa ya vituo vyote ili iwe rahisi kujudge tujue ukweli au uongo upo wap,ila kiukweli taarifa za kuambiwa au kusikia tu huwa sizikubali bora nikashuhudia mwenyewe maana Kila MTU anatetea upande wake aonekane yupo sahihi
 
Duuh hii inatioa picha ya kuwa jamaa alipigwa haswa ndio maana wakatengeneza hesabu zao
 
hivo vituo ambavyo mawakala. wa upinzani hawakuwepo ndipo uvccm. waliko piga kura vituoni huku mawakala wa upinzani wakitimuliwa mbali. uchaguzi wa ukonga na monduli ulikuwa uchafuzi na sio uchaguzi.
 
Sala

Salary niwekee hiyo clip niisikilize. M4C grp haijaja
 
Ni vizuri umetoa vichache ila ni bora zaid kama ungetoa angalau taarifa ya vituo vyote ili iwe rahisi kujudge tujue ukweli au uongo upo wap,ila kiukweli taarifa za kuambiwa au kusikia tu huwa sizikubali bora nikashuhudia mwenyewe maana Kila MTU anatetea upande wake aonekane yupo sahihi
Mbowe alisoma vichache nafikiri ni kutoka na swala la muda.
 
Unga ww
Screenshot_2018-09-20-12-08-13.jpg
Screenshot_2018-09-20-11-15-45.jpg
Screenshot_2018-09-20-10-50-32.jpg
 
Kwanini Chadema haijaenda mahakamani kupinga matokeo?
Haya malumbano ya mitandaoni hayatusaidii kitu.
mimi raia wa kawaida hata ukiniletea ushahidi wote wa jinsi mlivyoibiwa kura siwezi kubadili chochote. Lakini ushahidi huuhuu ukiupeleka mahakamani pamoja na malalamiko husika, haki itatendeka.
Kwanini hamuendi mahakamani?
 
Chaguzi za kuifurahisha ccm,heri tuunge mkono tu kila mwezi angalau tukirudia chaguzi hadi 2025 itasaidia sana kurudisha hela mitaani
 
Watu wanaogopa kufutwa Kazi siku mpinzani akitangazwa mshindi kuanzia Rc,RPC, ocd,wakurugenzi,wasimamizi wa uchaguzi ndo itakuwa mwisho wao kukalia ofisi,wakishangaa shangaa watapewa kichwa cha uhujumu uchumi,wakose dhamana wakae ndani Miaka kumi kwanza ndo kesi ije isikilizwe.
 
hivo vituo ambavyo mawakala. wa upinzani hawakuwepo ndipo uvccm. waliko piga kura vituoni huku mawakala wa upinzani wakitimuliwa mbali. uchaguzi wa ukonga na monduli ulikuwa uchafuzi na sio uchaguzi.
Yaani mpaka monduli wameshinda?kwa mzee lowasa.
hapana kwa kweli.hawaibi Bali wana kwangua.
 
Back
Top Bottom