CHADEMA toeni tamko la kuwaunga mkono ACACIA

Kati ya CCM iliyowapa mikataba na Acacia waliosign na kusimamia mikataba nani anamatatizo?

Sikia ndugu yangu nikwambie, usukumani wana desturi ya kufuga watu kwaajili ya shughuli za shamba . Hawa hawawezi kumsema bosi wao vibaya hata iweje .
Sisi wageni tunawaitaga kina Nkwingwa !

Sasa kuwa makini, hapa lami hamna Nkwingwa !! Tuheshimiane
Hahaha nkwingwa Kama nimekuelewa vire
 
Labda tamko liwe kuwa: ccm ndio iliyotuingiza ktk madeni haya, mali zote za ccm zikiwepo majengo yooote na ya jumuiya zake yapigwe mnada ili kufidia kulipa madeni yote yaliyosababishwa na wao kwa wizi, kuvunja mikataba kienyeji ambayo wao ndio waliingia kifisadi.
 
Namshukuru ndugu PolePole katibu mwenezi wa CCM kwa kuwa mzalendo,mweledi na sharp katika cheo chake.

Kitendo cha CCM Kupitia PolePole kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais katika kupambana na udanganyifu na wizi wa hata kile kiduchu tuliochokubaliana na wawekezaji katika sekta nyingi na hasa madini.

Hii inampa nguvu zaidi Mh Rais kuendelea kujitoa muhanga yeye binafsi na hadhi yake kisiasa.

Mpaka sasa walimuunga mkono Rais ni wengi sana...

Kwa umuhimu wa pekee ni wafuatao(ingawa sitoweza kuwamaliza wote) :

1-Viongozi wa Kidini wa madhehebu yote makubwa

2-Viongozi waanzilishi wa vyama vya upinzani(ukiondoa chadema) na wapiga kelele wa awali kabisa kuhusu uwekezaji wa kwenye madini..hapa yupo Mrema(mzee wa bonge la dhahabu)Lipumba na Cheyo.

3-Vikosi vyote vya ulinzi na usalama

4-Wabunge wa bunge la JMT wakiongozwa na spika.

5-Wanaharakati mbalimbali wa mitandaoni wakiwemo wasomi wanaotumia vichwa sio matumbo.

6-Wananchi waliochoshwa kwa udanganyifu uliokuwa unafanywa.Tukumbuke ni wananchi wazalendo ndio kwa mara ya kwanza waliogundua kuwa ule mchanga ruliokubaliana kimkataba unaondoka na mzigo wa kutosha!!

Kwa ufupi nimejaribu kuanisha makundi mbalimbali kwa umuhimu wa kipekee ...

Unapoungwa mkono na makundi yote hayo basi ni wazi ushindi lazima uwepo....yaani hii sio tofauti na vita ya kagera.

Sasa nikirudi kwenye hoja ya msingi...niseme kwa ufupi tu...sijasikia tamko la Chadema linaloainisha msimamo wao juu ya ripoti tajwa na sakata husika.

Sijaona andiko la Makene...

Sijamsikia Mashinji na wala sijasikia press conference kama zile tulizozoea..mfano operesheni kata fukua.

Ingawa kwa maoni ya mwanasheria wa Chadema inaelekea wameamua kuchukua upande wa mwekezaji.

Yaani wameamua kumuamini na kuamini taarifa za mwekezaji na wamejitoa vilivyo kumpigania.

Kwangu mimi sioni shida na tuwakaribishe kwa mapambano!

Mwisho wa Siku ni serikali ya JMT na Wananchi wanyonge ndio watakaoshinda.

Ushauri:

Chadema ije na tamko rasmi la kuwaunga mkono acacia ili tuweke hansard sawa!!Tusibwabwaje kwa kujificha kwenye tweets.

George Bush aliwahi kutamka hivi...

Our enemies are innovative and resourceful, and so are we. They never stop thinking about new ways to harm our country and our people, and neither do we.
Acacia yapunguza wafanyakazi tena
 
Wasaliti wanaendelea kutambuliwa...tuweke hansard sawa
Anatumbua wajinga na anaowaonea mkwepa ushuru wa dar es salaam amguse atoe siri yake ya mipango miovu ya utekaji na ufyatuaji risasi.
 
Wacha umbwiga wako.
 
Hivyo vikosi vya ulinzi na usalama ongezea usalama wa taifa ni wanafiki na wasaliti wakubwa wa Taifa hili. Mungu anisamehe kwa ajili ya wapiganaji wote ila hawa General na wakurugenzi wa idara nyeti hawajui kiapo chao kina maana gani mbele ya wanasiasa wengi wao wamedanganyika na maslahi na pension za uzeeni, kiukweli wamelisaliti Taifa, wamewasaliti wananchi...
 
Sasa umepewa nafasi ya kuamua unasimama upande gani? Hakuna vuguvugu, you are either with Magufuli OR against Magufuli kwenye hili la mchanga.
Mkuu, ni nani huyo mwenye haki ya 'kuwapa' watu nafasi ya kuamua wako upande gani?!
Wakati ccm akiwemo magufuli wanashupaza shingo kuingia mikataba hiyo ya kifisadi kuiibia nchi hii walitoa hiyo nafasi kwa wengine kuonyesha wako upande gani?
Pamoja na kuonywa na kupingwa sana magufuli na ccm wote walishupaza shingo zao huku wakifakamia 10% za hao akina acacia.... Hawakujali kama wengine wana maoni gani kuhusu upumbavu waliokuwa wanafanya, sasa limewageuka mnaibuka kuwa watu wawaeleze misimamo yao!
Hivi hata aibu ya kawaida ya kibinadamu mmekosa?! Ni lini mlijali maoni ya wanaowakosoa?!
 
Jina lake ni JINGALAO,jinga kwelikweli.Litakua pumbavu lao si mda mrefu ujao.
 
wekeni tamko la kuunga mkono acacia. tuache kuibiaibia....chagueni upande na sio undumilakuili
Mikataba upitishe wewe tena kwa kishindo tena bila kujali maoni na kelele zilizopigwa alafu leo uje hapa kuambia watu wachague upande,mpumbavu. Katafute wapumbavu wenzio uwaeleze hayo. Mnawazaje lakini. Mawazo ya watu wafu.
 
Kati ya CCM iliyowapa mikataba na Acacia waliosign na kusimamia mikataba nani anamatatizo?

Sikia ndugu yangu nikwambie, usukumani wana desturi ya kufuga watu kwaajili ya shughuli za shamba . Hawa hawawezi kumsema bosi wao vibaya hata iweje .
Sisi wageni tunawaitaga kina Nkwingwa !

Sasa kuwa makini, hapa lami hamna Nkwingwa !! Tuheshimiane
ukiwa unataka kuongea uwe unakumbuka kwanza kumeza dozi yako
 
Back
Top Bottom