CHADEMA Toeni Tamko kwa Ripoti hii tume ya kuchunguza Mchanga

6a2e7d689599208db079a968e8b6039b.jpg
Tundu gave his comments as TLS President.
 
Unadhani truely rais ameijua report ya tume Leo?
Chama makini kama Chadema kinahitaji kujiridhisha na ukweli kabla ya kuongea chochote.
Wewe unasema tunaibiwa kwasababu rais amesema , ila kwa tuliofuatilia issue ya sukari tunajua aina ya rais tuliyenae.
The president has proved many times to be unreliable source of information, so no need of hurried conclusions !
Nataka nijiridhishe jinsi kamati ile ilivyoweza kupima mchanga ule na kukuta vitu vilivyotajwa kwa haraka kiasi hiki .
 
Binafsi naona ni premature kutoa pongezi kwa tume!!

Hivi kama kweli hayo makontainer 277 yana dhahabu ya 1.2 Trillion!!? Kama ni kweli basi ina maana makotainer yanayosafirishwa kwa mwaka yana thamani gani? Kuna mtaalamu moja humu alidai tunasafirisha makotainer kama 40,000 kwa mwaka.

Sasa najaribu kuimajine 40,000 /277 = 144
Pesa kwa ujumla 144 x 1.2 Trillion = 172.8 Trillion
Hapo hujajumlisha pesa ya migodini ambayo inapaswa kuwa kubwa kuliko hiyo ya mchanga!!
Nitasikitika sana ikija gundulika vinginevyo , itakuwa aibu sana .
 
Back
Top Bottom