Elections 2010 Chadema temeke chaliiii!!!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na political manipulation!!!

Asante
 
ile imani kwamba chadema ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge dsm imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa ccm! Ama kweli temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

hudanganyiki nini na kigamboni ilishauzwa.
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Yaani mkuu toka jana ndiyo unaibuka saa tano asubuhi leo! Too late
 
Si tatizo kwani vichwa tulivyo vipeleka bungeni safari hiii sio vya kulala kama vya ccm( yule aliyeimba dodoma kumekucha,rosti,babu-ni kulala tu dom)

mapinduziiiii daimaaa
 
Nani alikuambia kuwa chadema itashinda kila jimbo? Tumia akili yako sawasawa!
 
Yaani mkuu toka jana ndiyo unaibuka saa tano asubuhi leo! Too late

Na ndio maana JK atashinda kwavile mnashinda JF kulalamika wakati waungwana wanaendesha mikakati ya ushindi kitaa!!!
 
Ni kweli kabisa... tulitegemea hivyo, kwani ccm inashina majimbo yote yenye watu wasio na elimu au maskini kwani hawajui rights zao

Kigamboni ndio wanatia huruma zaidi kwani hata ardhi yao imeuzwa
 
Kama CCM wameshinda hayo majimbo tunawapongeza.................tusitangulize neno uchakachuaji.........
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Ndio maana mtaendelea kuwa majimbo maskini kuliko yote DSM
 
Ajabu kubwa ni kuwa siku zote majimbo masikini CCM inashinda kwa kushindo. Kwa nini?
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

vibaragashia na misuli ni vichache sana nchi hii
 
Nilidhani mijini watu ndo wameamka kumbe sio!
Au ndo uchakachuaji huo
 
CCM:rip: mtaji wao ni wazee, wajinga wasioweza kufanya maamuzi na mapoyoyo washobokea JEZI NA cape,mwana utakuwa mmoja wao,ur so lame. grow up,changes is u fool.:yield:
 
Hiyo haitutishi. Ndo maana Temeke ina rasilimali nyingi lakini ni kati ya manispaa maskini katika jiji la DSM. Hii haishangazi kabisa kuona matokeo hayo.
 
yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Hamdanganyiki umefirahi kushinda ccm au umeumia? Kama umefurahia ushindi wa mafisadi basi ingekuwa Somalia we ushanyongwa!
 
Ile imani kwamba CHADEMA ingezoa viti vya kumwaga vya ubunge DSM imeanza kupotea baada ya habari kuzagaa kwamba, wilayani temeke(majimbo ya kigamboni na temeke) yamerudi mikononi mwa CCM! Ama kweli Temeke hatudanganyiki na manipulative politics!!!

Wilaya yenu inaongoza kwa umaskini na ujinga katika jiji la Dar ndiomaana mmekumbatia ccm.
 
Back
Top Bottom