CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

Mmeanza kumchokoza mama wa watu, mtakiona cha moto. Enzi za mwendazake mliufyata mkia kama mbwa koko, Leo ndio mwaibukia kaskazini.
 
nilsema hicho chama ni cha kaskazini ni cha wachaga so hatuwezi kuwa na vyama vyenye element za kidini.namsihi mkuu wa mkoa bw kafulila usikubali kujalibiwa na hao watu ili wakuharibie kitumbua chako.ni style ile ile waliomfanyia Lengai.mwangalie sana huyo mwenyekiti wa cdm hao watu wana ajenda zilizojificha.wanataka kuharibu amani ya nchi hivyo kabla hawajafanya hivyo hakikisha unadeal nao kisawasa bila kupepesa macho.
Hizo zama zimeshapita...Amka usingizini, Hii ni awamu ya 6 na rais wa Tanzania anaitwa Samia Suluhu na yeye si muumini wa hizo siasa unazohubiri hapa.
 
Mama na timu yake mpya anawatosha.
Mama hawezi kunywa damu za watu!! Mama ana hofu ya Mungu na anafuata maadili ya kazi yake na kuheshimu kiapo chake, Katiba na Sheria za nchi ambazo zinazoruhusu mfumo wa kukosoana uwepo kati ya anayeongoza nchi na aliye pembeni ili kusukuma gurudumu la maendeleo.

Cha msingi we kamwamshe aje kuwadhibiti - kwanza wanakwenda kule wao ni wabunge wa maeneo hayo? wanakwenda kuchochea wananchi wasifanye kazi ili wakae wanawazikiiza wao muda wa kazi.
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Mpumbavu mwili mzima
 
Kunywa maji mjane, ulimwamini mtukufu mfu, kaiua CHADEMA.
LAH HAULLA kafa yeye 😂😂
CHADEMA mwendo Mdundo✌🏽
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Wewe ndo mtoa dola? Hovyo kabisa!
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Na kwa nini iwe Mtwara na isiwe Arusha? Acha ujinga..acha mawazo ya kibaguzi
 
Kilimanjaro na Manyara mkae tayari, the game is about to start, Mama waamshe wanao waambie Makamanda wameingia Mjini tayari kukiwasha, hii haifi ina tabia ya kusinyaa tu ikimwagiliwa kidogo inakuwa mbuyu.

View attachment 1789245View attachment 1789246View attachment 1789247View attachment 1789248
Mbowe utadanganya sana Jamhuri ya JF, sisi Jimboni kwako Hai tunaomba uchaguzi urudiwe na uje kugombea.

Matokeo ya Uchaguzi yatasema mambo mengi ambayo hutoweza kuyaficha tena, na kutoa uthibitisho pasi na shaka .
 
Demokrasia imerudi Kitaa..
westbrookswag.png
 
Tangu kuzuka kwa Corona nchini China mwaka 2019, mataifa mengi duniani yaliamua kuja na mbinu za kupambana na Corona kwa kufungia watu ndani(lockdown) kuvaa barakoa, social distance na mengine mengi ikiwemo Chanjo.

Tanzania tuliamua kuishi na Corona kwa kukataa kujifungia (lockdown) na shughuli ziliendelea kama kawaida na watu wakisafiri huku na huko, hata watalii kipindi cha Corona walikuwa wengi sana Tanzania.

Baada ya miaka miwili kupita tangu Corona izuke mataifa yaliyoongoza kwa vifo ni Marekani, China, India Brazil etc hayo mataifa ni tajiri yana mitungi ya oxygen mingi ,wana barakoa, na walijifungia.

Tanzania chini ya hayati rais Magufuli tuliamua kutumia njia za asili kama kunywa juice ya Tangawizi na malimao, kupiga nyungu na kumtanguliza Mungu mbele etc na matokeo yake impact ya Corona ni ndogo sana na tuliweza kuingia uchumi wa kati.

Cha kusikitisha baada ya miaka 2 ya Corona kupita ,tume iloyoundwa na rais Samia Suluhu licha ya hiyo kamati kujaa maprofesa wa afya inataka kutuaminisha kwamba watanzania si lolote si chochote na tunatakiwa tujifunze kwa waliofanya lockdown huko nchi za nje.!!!
Lakini ukweli ni kwamba ukipima impact ya Corona Tanzania inaonyesha tumefanikiwa sana na tulitakiwa tujivunie haya mafanikio hadharani na kuitaka dunia ije ijifunze Tanzania mbinu tulizotumia.

Hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Pamoja na ushahidi wote uliotuzunguka ukionyesha tumefaulu vita ya Corona bado maprofesa wetu wanataka tufanye kama walivyofanya India, Marekani, Rwanda?

Na Chadema nao wanashqngilia?
Nyumbu hushangilia kila janga usishangae hao pingapinga Fc.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
nilsema hicho chama ni cha kaskazini ni cha wachaga so hatuwezi kuwa na vyama vyenye element za kidini.namsihi mkuu wa mkoa bw kafulila usikubali kujalibiwa na hao watu ili wakuharibie kitumbua chako.ni style ile ile waliomfanyia Lengai.mwangalie sana huyo mwenyekiti wa cdm hao watu wana ajenda zilizojificha.wanataka kuharibu amani ya nchi hivyo kabla hawajafanya hivyo hakikisha unadeal nao kisawasa bila kupepesa macho.
Inakuwaje tena mnaogopa chama kilichokufa?
 
Back
Top Bottom