Chadema-tanzania inawahitaji---fanyeni hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema-tanzania inawahitaji---fanyeni hivi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 2, 2012.

?

Je Watanzania tunaihitaji CDM iunde serikali 2015?

Poll closed May 2, 2012.
 1. yes

  97.5%
 2. no

  2.5%
 3. I dont knw

  0 vote(s)
  0.0%
 4. Other Party than CDM

  0 vote(s)
  0.0%
 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Kwanza nitoe salamu za pongezi kwa Watanzania wote wanaokiamini chama,pili kwa wapiga kura na tatu kwa elimu ya urai na uwazi kwa raia wa Tanzania kupitia CDM....Kipekee pia kwa ushindi mlioupata hapo Arumeru Mashariki na maeneo mbalimbali kwa nafasi ya Udiwani katika uchaguzi mdogo uliofanyika jama hapa Tanzania.

  Kwa Uongozi wote wa CHADEMA Taifa na mikoani hamna budi kuhakikisha ya kwamba mnatekeleza wajibu wenu ktka kutoa elimu ya uraia kwa wananchi na muoneshe wazi ya kua ninyi ni chama mbadala ktka kuliongoza Taifa hili changa---japo kweli lingekua ktka hatua nzuri za kimaendelo iwapo viongozi kutoka chama kinachounda serikali kingewajibika ipasavyoo

  Naomba tukubaliane na changamoto zinazojitokeza na nisingependa kuona viongozi wa CDM wanakua mfano wa ghasia maeneo mbalimbali ya Tanzania...tuendelee kuchambua habari na kujibu hoja kwa mifano iliyohai zaidi..Dr. Slaa anafahamu hili zaidi.

  Pia Ninapongeza jitihada zenu sana kwani huku Vijijini hata wazee wanaanza kuwapenda na wanaachana na proapaganda za kiCCM zenye kuwaogopesha juu ya hatari za kuchagua vyama vya upinzani.

  Ningependa kuwaomba hakikisheni yakuwa madiwani na viongozi wa Vijiji wanapata elimu elekezi kila mara na hii ni kutoakana na wengi pia kuonekana kuwa na elimu ambayo bado haiendani na kasi ya uelewa wa mambo kwa sasa--yaani std 7 na fm 4.......Pia tujitahidi kuweka mkazo ktka kuhamasisha wananchi kujitolea ktka shughuli za kimaendeleo na hususani maeneo ambayo chama kimepewa dhamana..lazima tuangalie vipaumbele vya kimaendeleo mbali na vile vinavyoongozwa na sera za CCM Kitaifa na kijimbo.

  Tuhakikishe kuwa tunawaunganisha wananchi wetu ktk shughuli za kimaendeleo kama siasa mbadala ndani ya Tanzania...Tofauti za kisera na kisiasa ziondolewe kabisa wakati wautekelezaji...nafahamu fika ya kwamba WaCCM hawatakubali kuona mema yanafanyika ktk maeneo ambayo CDM wanatawala...ili tu kuvuruga ushawishi wa kimaendeloeo ndani ya mipaka ya kiutawala.
  Nawaombeni sana muhakikishe pia mnatekeleza ahadi zenu kwa wananchi na pia mara kwa mara mnasikiliza kero zao na ninaamini mnafursa kubwa sana ya kuwapata wadhamini wa kimaendeleo ndani ya maendeleo yenu ktk kutimiza ahadi......hakikisheni umaarufu unakua in a vertical fomula with progress in horizontal standards.  HEKO NYINGI KWENU WATANZANIA,WANACHADEMA NA WAPENDA MAENDELEO WOTE
   
 2. z

  zehldy New Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mageuzi muhimu kuliko mawazo mgando! sasa mbuyu unaweza kukumbatiwa, kuuzunguka tumemaliza kazi
   
 3. k

  kaudagaa Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nice advice, i see the light nowdays.
   
 4. pefla

  pefla Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  Ningependa CDM ichukue nchi mwaka 2015
   
 5. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimeshindwa ku-vote. Swali lipo too biased. Nafikiri kwa kuwa JF inatembelewa na watu wa vyama vyote, ingekuwa ni jambo la busara kuuliza

  Je unapenda chama gani kiunde serikali 2015?

  1. CCM
  2. CDM
  3. CUF
  4. ...
  5..... etc.

  Hiyo ingekuza demeokrasia zaidi katika thread. Kwani 2015 hatutakuwa na CDM vs Other parts. Ni ushauri tu
   
 6. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Swali haliko biased, umeulizwa na umepewa option zingine pale na kuna option inasema other than cdm kama hutaki chadema hiyo ni choice yako wataka nini kingine? ulitaka uone ccm ili ufurahi
   
 7. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  post nawe thread yako ya kuuliza kama watu wangependa kuonana gambaz mnaendelea kutunyonya oune responce kama hii imekuboa na c lazima uvote
   
 8. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Ushauri wako umepokelewa, kwa sasa swali hili pia mbali na kutoa multiple choices options ni wazi kuwa kwa sasa CHADEMA kimekua gumzo sana hata huku ughaibuni...na kama mtanzania nimeona ni nyema tuanze na CHADEMA na pia kutokana na comment za wengi kuhusu chadema, uongozi wake na mwamko wa watanzania kuhusu siasa za kesho.

  Aksante sana
   
 9. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  nadhani jamaa yuko sahihi ni ww mwenyewe kuchagua acha kuleta hoja zisizo na msingi au ww ni CCM B
   
Loading...