CHADEMA Tanga na Mbeya wapinga Zitto kuvuliwa uongozi. Mapigano yaibuka

acha ujinga ww, acha kabisa kutumika, pevuka akili., kasome tena ule mkakati wa ushindi ndio urudi hapa

Watafukuzwa na hamtakuwa na cha kuwasaidia zaidi ya vijikelele mitandaoni.cdm ni taasisi na haiwezi kuyumbishwa na wapumbafu wachache.
 
Ningumu kuwalazimisha watu wote wawe wafuasi wa dr slaa na mbowe.
 
........................................................................................................................................

“Ni kweli kumetokea vurugu kubwa ofisini kwetu wakati kikao cha kamati ya utendaji kikihitaji kuwahoji vijana wanaoendesha vikao vya siri kutaka kukihujumu chama kutokana na uamuzi wa Kamati Kuu kumvua Zitto madaraka, tumepata taarifa hizi kwa njia zetu za kiintelijensia kuwa vijana hawa wapo kwenye kundi la Zitto,” alisema Mwambigija.

Hata hivyo, Mwambigija alipotakiwa na gazeti hili kuonyesha uthibitisho juu ya tuhuma dhidi ya vijana hao, alisema kuwa ushahidi bado ni siri kwa vile wametumia njia zao za kiintelijensia kubaini mtandao wa vijana hao.
......................................................................


Mhhh! ............ Serikali ya CCM ilipokuwa inazuia maandamano na shughuli nyingi za kisiasa za CDM kama vile; "Operation sangara na M4C" kwa sababu za kiintelenjensia tulikuwa tunalaani vakali tabia hii. Lakin sasa na sisi tumeiga tabia hii ya kutumia intelijensia kuwabana mahasimu wetu kisiasa ndani ya chama ambao tunawaita wasaliti, wahaini nk. Chonde chonde CDM, tunakoelekea kila cku tutakuwa na vikao Agenda kubwa ni kuwahoji wanachama/viongozi kutokana na intelijensia ambayo inaundwa na kikundi cha watu wachache wenye mamlaka kuwagandamiza wahasimu wao kisiasa ndani ya chama.

Ni Ushauri tu.
 
mtoa mada naona mzee wa upako anakutumia vixuri hadi unadiriki kuandika pumba hizi huku ukijua kabisa kuwa ni upuuzi na kwa taarifa yako sasa hao wanaoonea wenzao na kuwapa kesi za kipuzi time will tel maana wao ndio kambi rasmi ya zitokitila na kwa code ni MKW7 tunawajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom