CHADEMA Tanga na Mbeya wapinga Zitto kuvuliwa uongozi. Mapigano yaibuka

Hao ni WAHUNI tu. Wanachama wa Chadema busara zimejaa kumkichwa!
Kweli kabisa hao "Hao ni WAHUNI tu" kama waleta vurugu wa bungeni walianza uhuni bungeni wakawafundishia wafuasi wao na sasa wa-apply uhni huo ndani ya vikao vya chama Pupilzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz. matajiju:bolt::suspicious:
 
Itachukua miaka kadhaa kupata chama mbadala wa CCM, yawezekana hicho chama hakijazaliwa bado. Marando anaweza kuwa shuhuda mzuri sana namna mgogoro wa nccr ulivyoanza na sote ni mashuhuda wa hali ya sasa ya nccr kisiasa.

Kuongoza chama kunahitaji busara ya hali ya juu sana, vinginevyo mtajikuta mnakibomoa chama kwa mikono yenu wenyewe.
 
Kujiunga na Chadema ni hiyari na kuondoka ni hiyari, maamuzi ya CC ni maamuzi ya kuheshimiwa na yeyote anayetaka kuwa Chadema

Vinginevyo, ni bora kuachana na siasa kuliko kuleta usumbufu kwa wanasiasa wakati taratibu zinajulikana

acha ujinga ww, acha kabisa kutumika, pevuka akili., kasome tena ule mkakati wa ushindi ndio urudi hapa
 
Itachukua miaka kadhaa kupata chama mbadala wa CCM, yawezekana hicho chama hakijazaliwa bado. Marando anaweza kuwa shuhuda mzuri sana namna mgogoro wa nccr ulivyoanza na sote ni mashuhuda wa hali ya sasa ya nccr kisiasa.

Kuongoza chama kunahitaji busara ya hali ya juu sana, vinginevyo mtajikuta mnakibomoa chama kwa mikono yenu wenyewe.

chadema ni marehemu kwa sasa
 
Hie

Kuwa na kitu chenye MVUTO ,awe binadama,uwe mti mvuto utaoneka kama binadamu hana magonjwa ,au kwa upande wa Mti utaonekana na mvuto kama hakuna mdudu anayeupekecha ule mti, sasa kama mbele ya nyumba yako umeotesha Mchungwa unazaa vizuri ,unarangi nzuri green inayopendeza halafu ktk pita pita yako ukaona kuna mdudu kashoboa yuko ndani .Je utaukata mti wote mvuto upotee au utauchonga ule mti umtoe yule Mdudu? kazi kwenu
 
Kweli kabisa hao "Hao ni WAHUNI tu" kama waleta vurugu wa bungeni walianza uhuni bungeni wakawafundishia wafuasi wao na sasa wa-apply uhni huo ndani ya vikao vya chama Pupilzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz. matajiju:bolt::suspicious:

We mheshimiwa anawapa wapigakura wake picha alizo kuwa anashikishwa ukuta..APO UNATARAJIA MAENDELEO Au ULIBERALI
 
Ni wazi kwamba Chadema ni chama muhimu kwa wakati tuliopo, lakini pia tukubali kwamba Zitto ni mtu muhimu sana kwa ustawi na uongozi ndani ya wa Chadema. Wasiotaka kuamini hili wana matatizo katika oblangata zao. Kwa sisi tuliokuwa watu wazima wakati wa kupanda na kuanguka kwa NCCR tuna mifano ya dhahiri juu ya hili. Suluhu ya kudumu ni Zitto ndani ya chama si nje ya chama kama wengi wanavyotumia ushabiki.
Swadakta, nakuunga kwa ulichonena mkuu.
 
Kweli kabisa hao "Hao ni WAHUNI tu" kama waleta vurugu wa bungeni walianza uhuni bungeni wakawafundishia wafuasi wao na sasa wa-apply uhni huo ndani ya vikao vya chama Pupilzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz. matajiju:bolt::suspicious:
Duuh, uhuni eeh ulianzia bungeni vilee..
 
ndio matatizo yenu nyie vijana wa chadema uwa ampendi kushauriwa mko na jazba sana kama wavuta bangi,nimetoa ushauri mzuri tu usiogemea upande wowote,kusema chadema wasipokuwa makini watapoteza mvuto kama nccr na cuf ndio unaita uoni hafifu? wewe siyo mzima kwa style hiyo msahau kushika nchi.mnatanguliza jazba na ampendi ushauri,mimi sina chama chochote bali utoa ushauri tu.
Ushauri wako hauna mashiko whether tunavuta bangi au la, uchangiaji wako haukubeba uzalendo ndani yake na maadili haswa yanavyotaka,muombe mungu akupe uwezo wa kuona hata haya yanayoonekana.Mimi si kijana kama unavyozani.
 
Ni wazi kwamba Chadema ni chama muhimu kwa wakati tuliopo, lakini pia tukubali kwamba Zitto ni mtu muhimu sana kwa ustawi na uongozi ndani ya wa Chadema. Wasiotaka kuamini hili wana matatizo katika oblangata zao. Kwa sisi tuliokuwa watu wazima wakati wa kupanda na kuanguka kwa NCCR tuna mifano ya dhahiri juu ya hili. Suluhu ya kudumu ni Zitto ndani ya chama si nje ya chama kama wengi wanavyotumia ushabiki.
Umuhimu gani huo wa kuto kufuata misingi na katiba ya chama?Wana chadema achaneni na propaganda za CCM,wafuasi wachadema kuweni wafuasi wa misingi ya chama na si mtu.Zito ataondoka na Chadema itaendelea kuwepo kwa sababu Zito siyo chadema.Mtasubiri sana kuizika Chadema mpaka mtachoka badala yake kaburi lake mtaizika CCM.
 
HIVI KUMBE kuna wengine wanakuwa wafuasi wa mtu , badala ya chama ? Je na wewe mleta uzi huu ni MFUASI WA NANI ?
 
chadema wasipokuwa makini watapoteza mvuto kama nccr na cuf.

ipoteze au imeshapoteza?ndugu yangu zitto ametumia hekima sana kutoa tamko lile na kama kina mbowe wangekuwa timamu wangempongeza zitto,kwa sababu kama zitto angetoa kauli ya kujibu mapigo watu walishajipanga kufanya matukio ambayo hiyo kamati kuu isingeamini kuyaona wala kuyasikia.lakini kwa tamko lile zitto amewa-disapoint sana wafuasi wake na hiyo ndio nafuu yao kamati kuu lakini nakuapia ngoja wavuliwe uanachama ndipo utaona yatokanayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom