Kufuatia wanachama na wapenzi wa Chadema na Ukawa nchini kuwa na shauku ya kujua nani atavaa viatu vya katibu mkuu wa Chadema taifa. Wanachama wa chama hicho mkoani Tanga wameamua kufunga safari kuelekea Tanga kumlaki katibu mkuu huyo.
Safari itaanza saa kumi na mbili kamili asubuhi, kutokea Korogwe mjini ambako wanachama wote wanaosafiri kutoka wilaya mbali mbali za mkoa huo wameshawasili jioni hii.
Wamefanikiwa kukodi mabasi mawili ya Hajees na msafara utaongozwa na mbunge wa viti maalum Yosepher Komba pamoja na viongozi wa ngazi ya mkoa.