Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.
Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.
My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Kwani SSH, Mulamula, au Sirro wanasema je?