CHADEMA: Taarifa Kwa vyombo vya Habari

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20171026-WA0051.jpg
 
Chadema mtulie kwanza hamna haja ya kupika kwenye jikoni moja na mpishi mkuu, kaeni bafuni jiko lina mwenyewe.
 
Maelezo meeengi mwisho tunaambiwa chama kimeagiza wanasheria wafungue Habea Corpus!
Chadema hakuna tena matamko ya kutetemesha na kufikirisha nchi,kila tamko ni la kulialia na mambo ya polisi kama sinema ya kihindi haikosi polisi kwenye maudhui.
Ukitaka kuona chadema ni chama cha kisanii angalia mtu wao akidakwa na polisi,hivi kuna wananchi wangapi wapo polisi zaidi ya wiki bila ya kupelekwa mahakamani,mbona chadema wanaojidai wana uchungu hawawatolei matamko na kuelekeza wanasheria wao wachukue hatua
 
Wa ajabu kweli wewe!
 
Bensoniiiiiiiiii
Teh:D Teh:D Teh:D
Alifikiri aliyo yazungumza siku ile ni madogo sana...basi wangeishia kumpuuza!
 
Back
Top Bottom