CHADEMA: Taarifa Kwa vyombo vya Habari

Zamani uzi kama huu, ulikuwa unapepea kama kishada! Masaa mawili tu, unaukuta page ya 7. Siku hizi naona mpaka sasa baada ya masaa 12 bado unachechemea page 3.
=====
Viongozi wa vyama vya siasa wajiepushe kutoa kauli ama kufanya vitendo vinavyolenga kukwamisha utendaji wa serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wake. Wanasiasa hawa walenge kuhimiza wananchi kutii sheria za nchi na kutumia furusa zilizopo katika mwenendo wetu wa kuingia katika uchumi wa viwanda.
 
Back
Top Bottom