CHADEMA: Taarifa Kwa vyombo vya Habari

Maelezo meeengi mwisho tunaambiwa chama kimeagiza wanasheria wafungue Habea Corpus!
Chadema hakuna tena matamko ya kutetemesha na kufikirisha nchi,kila tamko ni la kulialia na mambo ya polisi kama sinema ya kihindi haikosi polisi kwenye maudhui.
Ukitaka kuona chadema ni chama cha kisanii angalia mtu wao akidakwa na polisi,hivi kuna wananchi wangapi wapo polisi zaidi ya wiki bila ya kupelekwa mahakamani,mbona chadema wanaojidai wana uchungu hawawatolei matamko na kuelekeza wanasheria wao wachukue hatua
Ww ni jitu fulan jinga usiyejielewa,yani mtu unakua kipofu wa fikra na macho???mwweh
 
Maelezo meeengi mwisho tunaambiwa chama kimeagiza wanasheria wafungue Habea Corpus!
Chadema hakuna tena matamko ya kutetemesha na kufikirisha nchi,kila tamko ni la kulialia na mambo ya polisi kama sinema ya kihindi haikosi polisi kwenye maudhui.
Ukitaka kuona chadema ni chama cha kisanii angalia mtu wao akidakwa na polisi,hivi kuna wananchi wangapi wapo polisi zaidi ya wiki bila ya kupelekwa mahakamani,mbona chadema wanaojidai wana uchungu hawawatolei matamko na kuelekeza wanasheria wao wachukue hatua
Una elimu gani wewe? Au ni wale wale nguruwe?
 
Mtihani wa Siasa. Kidato cha Sita. 20, May 1992.

Sehemu ya Pili. Chagua maswali mawili, swali la tatu ni lazima.

1. Demokrasia maana yake vyama vingi, jadili (20mks)

2. Taja na elezea dalili 5 za Serikali isiojiamini (20mks)

3. Gagadua kuhusu udikteta uchwara, dalili na athari zake katika jamii. (40 mks)
 
Nadhan kuna haja hii nchi kila mtu amiliki bastola au bunduk
 
Yeye kazi yake ni kutenda dhambi kwa kutesa wenzie,na kubaki kusema niombeeni
 
Nchi imekuwa ya mwenyewe sasa wsnachotaka kufanya ndo wanafanya,iko siku Simba atachukua kombe cjui yanga atakaa wap
 
Pamoja na kutokujua nn maana kubwa ya hili neno lako lkn bado hamjajipanga juu ya kupambana na haya yanayotokea hapa nchini maonevu na mengine mambo yasiyofaa nendeni mkajifunze kenya na msipoangalia kwa uoga wenu mnakwenda kupotea kabisa haiwezekani kulalamika tu bila vitendo mkasani kunamsaada.
 
Back
Top Bottom