CHADEMA: Taarifa Kwa vyombo vya Habari

L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Messages
9,974
Likes
8,645
Points
280
L

laki si pesa.

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2015
9,974 8,645 280
Tumaini Makene naona anamuiga Msigwa...........bandiko lake lote anamcopy Msigwa
 
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2011
Messages
3,466
Likes
1,089
Points
280
All TRUTH

All TRUTH

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2011
3,466 1,089 280
Haya Sasa safari Ndo inaendelea
 
Raphael wa Ureno

Raphael wa Ureno

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Messages
6,330
Likes
10,397
Points
280
Raphael wa Ureno

Raphael wa Ureno

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2016
6,330 10,397 280
Chadema mtulie kwanza hamna haja ya kupika kwenye jikoni moja na mpishi mkuu, kaeni bafuni jiko lina mwenyewe.
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,794
Likes
25,149
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,794 25,149 280
Kamanda wa kanda maalumu ya Dar alisema hataki kusikia maagizo kutoka juu leo imekuwaje tena?
 
MWEMBESI ONE

MWEMBESI ONE

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Messages
701
Likes
1,035
Points
180
Age
26
MWEMBESI ONE

MWEMBESI ONE

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2015
701 1,035 180
Kwanini wasimkamate kubwa la kununua watu mnyeti kama wao ni wanaume?
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
18,774
Likes
11,134
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
18,774 11,134 280
Maelezo meeengi mwisho tunaambiwa chama kimeagiza wanasheria wafungue Habea Corpus!
Chadema hakuna tena matamko ya kutetemesha na kufikirisha nchi,kila tamko ni la kulialia na mambo ya polisi kama sinema ya kihindi haikosi polisi kwenye maudhui.
Ukitaka kuona chadema ni chama cha kisanii angalia mtu wao akidakwa na polisi,hivi kuna wananchi wangapi wapo polisi zaidi ya wiki bila ya kupelekwa mahakamani,mbona chadema wanaojidai wana uchungu hawawatolei matamko na kuelekeza wanasheria wao wachukue hatua
 
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
3,394
Likes
3,958
Points
280
K

kiogwe

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
3,394 3,958 280
Wanamshikilia labda amezuia viwanda kujengwa
 
Ghiti Milimo

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Messages
958
Likes
675
Points
180
Ghiti Milimo

Ghiti Milimo

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2011
958 675 180
Maelezo meeengi mwisho tunaambiwa chama kimeagiza wanasheria wafungue Habea Corpus!
Chadema hakuna tena matamko ya kutetemesha na kufikirisha nchi,kila tamko ni la kulialia na mambo ya polisi kama sinema ya kihindi haikosi polisi kwenye maudhui.
Ukitaka kuona chadema ni chama cha kisanii angalia mtu wao akidakwa na polisi,hivi kuna wananchi wangapi wapo polisi zaidi ya wiki bila ya kupelekwa mahakamani,mbona chadema wanaojidai wana uchungu hawawatolei matamko na kuelekeza wanasheria wao wachukue hatua
Wa ajabu kweli wewe!
 
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
5,144
Likes
3,966
Points
280
tramadol

tramadol

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
5,144 3,966 280
Hakuna aliyekwenda Polisi na kuelezwa kwanini Polisi wanamshikilia.
 
Forum statistics

Threads 1,212,900
Members 461,819
Posts 28,459,027