CCM wangetamani CHADEMA isishiriki uchaguzi, lakini wanaumia kuona jamaa nao wamekomaa tu.
Hawaelewi jamaa wanataka nini, licha ya kufahamu figisu zote wanazowafanyia wangetegemea CHADEMA wangesusa, lakini CHADEMA wapo tu, wanataka wauone mwisho, hata wanapopigwa na kuumizwa, CHADEMA wapo tu.
CCM hapo mmekutana na kiboko yenu, kwa wingi wenu, mkijumuisha vyombo vya dola, tume ya uchaguzi, tamisemi hadi rais lakini CHADEMA wanawatoa kamasi.
Wamebaki na turufu moja tu, KUIFUTA CHADEMA, na hili ndilo ccm wanalitengeneza lakini wanashangaa halitimii.
Wamempa mamlaka msajili ya kukifuta chama chochote lakini hawaelewi kwanini hafanyi hivyo kwa CHADEMA sitoshangaa naye tukiambiwa anastaafu kesho, na ateuliwe yule hakimu maarufu.