CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
Mlisema haya kabla ya 2020 hiyo decline haijaja,

mlisema CDM itakufa kafa yeye na na watu waKe

Tutadai katiba usiku na mchana.
Hayo mambo ya ratings peleka lumumba

Mbona chadema haina wabunge lakini ni tishio kwa mahsramia wa ccm
 
Alichokifanya ni wasted energy: Alioverate sana courage ya wabongo.
Unaoverrate kwa miezi zaidi ya 3! come again .

Angekuwepo unadhani Twitter , vyombo vya habari na wanahabari nguli waliokua wakimkosoa angewapa uhuru!??

Simply the vicious tyrant was heartless ,uncivilized and dwindle minded individual ! Take it to the bank
 
Hayo yanaweza kua yametokea kweli basi unadhani watu wapo sympathetic kwa CHADEMA, The common man does not kama naloongea ni la uongo naomba ukapitie comments youtube,facebook and instagram. All I am advising is chadema waone they need to measure and track mbinu zao wanachofanya now it is not helping at all.
huna hoja yoyote
 
hayo yote mmefanyiana wenyewe kwa wenyewe unafikiri hatujui ujingaa mnafanyaga kila mtu akitaka uenyekiti halafu unaleta ushenzi wako wa kutaka huruma hapa mpumbafuuuu
kwamba Lissu alipouliwa dodoma na wale watu wa mwendazake alikuwa anautaka uenyekiti wa chadema , au Ben saanane alipohoji elimu ya jiwe na kupotezwa ilikuwa uenyekiti wa chadema ? ccm ina vijana wajinga sana !
 
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
Pumbavu tupu
 
Chadema ni sawa na mtu alie katika hatua za mwisho za kufa. Ni lazima atape tape kujaribu kuokoa nafsi (roho) yake, lkn mwisho wa yote anakufa. Nashauri mwaka 2025 chadema wasisimamishe mgombea kwa upande wa uraisi, maana raisi Samia anatutosha na kutufaa watanzania kwa miaka zaidi ya 10 ijayo.
Stupid, ruhusu mikutano uone kuwa Chadema ni moyo wa watanzania
 
Mlisema haya kabla ya 2020 hiyo decline haijaja,

mlisema CDM itakufa kafa yeye na na watu waKe

Tutadai katiba usiku na mchana.
Hayo mambo ya ratings peleka lumumba

Mbona chadema haina wabunge lakini ni tishio kwa mahsramia wa ccm
Mimi wala sikusema hivo! Nimesema leo na amini kwamba kwa mwendo huu chama kinakufa. Mpo emotional sana kuliko kuwa logical
 
Unaoverrate kwa miezi zaidi ya 3! come again .

Angekuwepo unadhani Twitter , vyombo vya habari na wanahabari nguli waliokua wakimkosoa angewapa uhuru!??

Simply the vicious tyrant was heartless ,uncivilized and dwindle minded individual ! Take it to the bank
Kuna mobilization kubwa zaidi ya Ya Mange? That should tell you something.
 
Mimi niliipenda sana CHADEMA, lakini sasa hivi naiona ya ovyo sana.

Eti hata Mdude anadiliki kusema wembe aliomnyolea Magufuli ndo huo huo atamnyolea Rais Samia. Hivi wana akili hawa?
 
Chadema ni sawa na mtu alie katika hatua za mwisho za kufa. Ni lazima atape tape kujaribu kuokoa nafsi (roho) yake, lkn mwisho wa yote anakufa. Nashauri mwaka 2025 chadema wasisimamishe mgombea kwa upande wa uraisi, maana raisi Samia anatutosha na kutufaa watanzania kwa miaka zaidi ya 10 ijayo.
Huwa mna confidence sana ila ikifika suala la tume huru mnakua wakali sana. Weird
 
Mara chama ni mtaani sio mitandaoni sahvi tena mnadai mtandaoni ndio kila kitu??? Mbona Hamna msimamo.

Mie niliwapuuza toka mseme CHADEMA ipo mtandaoni na mjini tu ila clip kma hzi hampendi kuziona.

Wapuuzi Hawa vibaraka wanajaribu kutwist, pressure ya kudai katiba mpya
 
Unata
hayo yote mmefanyiana wenyewe kwa wenyewe unafikiri hatujui ujingaa mnafanyaga kila mtu akitaka uenyekiti halafu unaleta ushenzi wako wa kutaka huruma hapa mpumbafuuuu
Unataka kusema mdude alijifunga mwenyewe na kujiwekea madawa mwenyewe? Mbona ametoka sasa!
 
Chadema ni kama maji usipo yanywa utayaoga usipoyaoga utafulia usipofulia utapikia usipopikia utamwagilia mbogamboga.

Chadema walisema watu wamebambikiwa kesi badae ccm wakabisha kwamba chadema wanatetea mafisadi Leo ccm wamewatoa wote waliowaita mafisadi.

Nani mpumbavu na nani ana mihemko na nani ni matako?
 
Mara chama ni mtaani sio mitandaoni sahvi tena mnadai mtandaoni ndio kila kitu??? Mbona Hamna msimamo.

Mie niliwapuuza toka mseme CHADEMA ipo mtandaoni na mjini tu ila clip kma hzi hampendi kuziona.

Miaka mitano ijayo ccm haitakuwepo mitandaoni wala mitaani.

Kundi kubwa lililoajiriwa 2005 mpaka 2020 ni pro upinzani na ndiyo wengi watakuwa top executives kwenye mashirika mengi ya umma rasmi CHADEMA itakuwa sehemu ya system by default.

Mpaka kufika 2025 kizazi alichotengeneza Nyereree na Mzee Mwinyi hakitakuwa tena kwenye utumishi wa umma rasmi tutakuwa na kizazi kilichosukuma gari la Mrema mwaka 1995 kwenye top positions za utumishi.

ccm kwa kukosa ushawishi kwa wananchi rasmi itapoteza nguvu kwenye mfumo wa utumishi will likely fall.

2015 walihitaji bao la mkono kubaki ikulu.

2020 walihitaji bunduki, mapanga, na mabomu kubaki ikulu

2025 watahitaji nini meli iko hatarini kuzama

Washike wapi 2025 hata presidential candidate mwenye uwezo wa ushawishi hawana tena.
 
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.

Ukienda kutazama post zenye matamko ya viongozi wenu katika media outlets kila mtu anawapinga na wengi wanadhani labda hamna nia njema na Taifa ili. Na sasa inaonekana dhairi mkiwa na mtu mstarabu basi mnaanza dharau (Bila kujali ni nini unamini, Tanzania si kama USA utakubali tu mwenywkiti, na mwalimu mkuu ni watu tunaowaogopa na tunaamini wanapaswa kuheshimiwa challenging the status quo sio utamaduni wa wabongo acheni kua idealistic (Mh. Mbowe should know this better than anyone)). Watanzania si watu kama wa mataifa mengine hamna idadi kubwa ya watu wanaotaka power reshuffle, na hawafwati trends za kisiasa za watu wa mataifa mengine.

Kama mnataka kupima ratings zenu vizuri basi tazameni watu wanasemaje. Mpo kwenye decline moja kubwa sana especially kwa online community (namnajua impacts zake rights).

Mwisho: Whoever leads strategy should resign and I doubt kama hata mna idara hii. You need a team to execute this na sio maadhimio ya chama, CCM does this subconsciously but nyie mpo scattered all over the place, politics at some time ni less quantitative, sawa mnaweza kua na active members but do they believe in the movement, how many traitors have you had?
Hebu fanya hata tupicha tuone. MATAGA so mlisema mtandaoni sio chochote?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom