CHADEMA: Slaa deserves more!

MtazamoWangu

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
313
7
Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama katika nafasi nzuri, ameongeza idadi ya wabunge na kukipa heshima kubwa chama kupitia mvuto na uwezo wake katika medani za siasa hapa nchini....kwa hiyo ana-deserve more share of the achievements....
kuna pia habari kwamba hata kwenye baadhi ya kampeni alikuwa akienda bila viongozi wa kitaifa na kuwanadi wagombea wa chadema pamoja na kujiombea kura.....i hope busara itatumika...
 
Mimi nilifikiri nimesikia peke yangu:rip::rip:chadema
 
Nimejaribu kutafuta mahali ulipo mzozo, lakini sijapaona
 
Jambo dogo sana hili, wala si la kulishikia banGo kama NEWS!
Najua kuna baadhi ya watu watafurahia sana kuzuke ishu kama hii, lakini napenda kuwafahamisha tu kuwa CHADEMA ina wazee, na hakunakitakachoharibika!
 
Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama katika nafasi nzuri, ameongeza idadi ya wabunge na kukipa heshima kubwa chama kupitia mvuto na uwezo wake katika medani za siasa hapa nchini....kwa hiyo ana-deserve more share of the achievements....
kuna pia habari kwamba hata kwenye baadhi ya kampeni alikuwa akienda bila viongozi wa kitaifa na kuwanadi wagombea wa chadema pamoja na kujiombea kura.....i hope busara itatumika...

View attachment 16494
 
Mzozo upo ccm tayari chenge amemrushia sitta tuhuma nzito. Mwaka huu lazima wauane.... chadema shwariiiiiiii kama maji ya mtungini.
 
Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama katika nafasi nzuri, ameongeza idadi ya wabunge na kukipa heshima kubwa chama kupitia mvuto na uwezo wake katika medani za siasa hapa nchini....kwa hiyo ana-deserve more share of the achievements....
kuna pia habari kwamba hata kwenye baadhi ya kampeni alikuwa akienda bila viongozi wa kitaifa na kuwanadi wagombea wa chadema pamoja na kujiombea kura.....i hope busara itatumika...
Kunavita kuu ya kutafuta wachawi Ndani ya CCM. Hi ni kutona na Mafanikio makubwa ya Chadema ktk uchaguzi uliopita. Kwa hiyo Mzozo huo uko CCM. Umesikia SOMBETI Arusha ? CCM mtashikana uchawi na mwisho wenu kwenye uchaguzi wa ndani ya chama 2012.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom