MtazamoWangu
JF-Expert Member
- Apr 25, 2009
- 313
- 7
Kuna tetesi kwamba mafanikio waliyopata chadema mwaka huu kwenye uchaguzi ni juhudi binafsi na mvuto aliokuwa nao aliyekuwa mgombea wa uraisi kupitia chama chao...inasemekana amekiweka chama katika nafasi nzuri, ameongeza idadi ya wabunge na kukipa heshima kubwa chama kupitia mvuto na uwezo wake katika medani za siasa hapa nchini....kwa hiyo ana-deserve more share of the achievements....
kuna pia habari kwamba hata kwenye baadhi ya kampeni alikuwa akienda bila viongozi wa kitaifa na kuwanadi wagombea wa chadema pamoja na kujiombea kura.....i hope busara itatumika...
kuna pia habari kwamba hata kwenye baadhi ya kampeni alikuwa akienda bila viongozi wa kitaifa na kuwanadi wagombea wa chadema pamoja na kujiombea kura.....i hope busara itatumika...