CHADEMA siyo taasisi, Mwenyekiti yupo ndani kila kitu kimesimama

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,885
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.

Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.

Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
 
Mwenyekiti wa CDM kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.

Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CDM ikiwepo. Inaonekana mambo yote CDM yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.

Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Sasa tuambie ndugu Red Giant , kama sio taasisi mngetumia maguvu yote, rasilimali zote kuihujumu hiyo mnayoiitaa sii taasisi, dhaifu, na Sasa mmehamishia nguvu Kwa miamba iliyopo ndani ya taasisi inayowanyima usingizi.
 
  • Thanks
Reactions: PNC

Tungetumia nguvu mimi na nani?
 
CCM sasa hivi matatizo ya wananchi wanamuachia Mungu!WTF!!!

Mungu alishamaliza kazi yake baada ya kutoa vitendea kazi vyote kama vile kuwapa wanadamu akili,mazingira na kadhalika.

Rais wa nchi kutoka CCM pia amekiri kuwa urais ni janga na limemshinda.Ni wakati sasa CCM kukabidhi nchi kwa wenye nchi.
4321image12.png
 
  • Thanks
Reactions: PNC
huezi kuamini eti hawa ndiyo vijana wa CCM wako kwenye foleni ya kusubiri uteuzi 🤣 🤣 🤣
 
  • Thanks
Reactions: PNC
CCM sasa hivi matatizo ya wananchi wanamuachia Mungu!WTF!!!

Mungu alishamaliza kazi yake baada ya kutoa vitendea kazi vyote kama vile kuwapa wanadamu akili,mazingira na kadhalika.

Rais wa nchi kutoka CCM pia amekiri kuwa urais ni janga na limemshinda.Ni wakati sasa CCM kukabidhi nchi kwa wenye nchi.
View attachment 2023241
huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi? kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu? yaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabu
 
huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi?
Aisee!!Sasa hivi JF mnafanya ni ulingo wenu wa kufanya maonyesho ya ujinga wenu?Unaelewa hata ni kwa nini Marais walikutana katika mkutano wa mazingira wa COP 26 ikiwa ni pamoja na Rais Samia?

Kinacholeta mvua ni utunzaji sahihi wa mazingira na viongozi wa nchi wapo asilimia mia moja responsible katika hilo.

Lengo kuu la Marais wa dunia kukutana katika mkutano wa mazingira wa juzi wa COP 26 ni kulinda mazingira ili tupate faida kadhaa ikiwa ni pamoja na mvua kunyesha kwa wakati.

Tanzania juzi tu hapa imekata miti million mbili katika mbuga ya selous.Sasa katika mazingira kama haya unategemea mvua zinyeshe kwa kudra za mwenyezi Mungu?!

Rais ana wajibu wa kuleta mvua kwa kusimamia sheria zinazotunza mazingira na kwa kutengeneza sera nzuri zinazohusu mazingira lakini pia Rais anaweza kuleta ukame katika nchi kama atapuuza ishu za mazingira kama vile Magufuli alivyokata miti million mbili katika Mbuga ya selous.Unakata miti million mbili halafu unategemea Mungu akupe mvua za miujiza?
kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu?
Mungu anaheshimiwa kwa kutumia akili alizokupa vizuri katika kukabidhi changamoto za maisha.Huwezi kukata miti kisha ukasubiri Mungu akuletee mvua.Au huwezi kuacha kulima ukategemea kuwa ukifunga na kusali sana basi Mungu atakuletea chakula.

Mtume anasema haya kwenye quran: “Mwamini Mungu, lakini mfunge vizuri Ngamia wako”
yaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabu
Kwa ulichoandika takataka ni wewe.Period,end of the story.Done
 
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.

Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.

Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Unaweza kwenda Gulioni wakati una msiba nyumbani kwako??? Acheni unafiki. Unafiki wenu huo ndiyo uliomponza Jiwe.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.

Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.

Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.
Kabisaaaa,kimekufa ile wanaita natural death.Chadema kwishney
 
huo ni upumbavu unaousema sasa mvua analeta rais wa nchi? kumwachia mungu ndiye mwenye mamlaka ya kuinyeshea mvua nchi au kuacha yaani hata Mungu humuheshimu? yaani wewe ni takataka kabisa kajifunze adabu
Mbona Kuna aliyekuwa alipongezwa na mazuzu pindi iliponyesha mvua 🤔.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA kabla ya kutupwa ndani alikuwa anafanya mambo chama kinasikika. Katiba mpya, tume huru, haki ya mikutano nk.

Toka awekwe ndani kila kitu ni kama kimesimama. Kama kesi ikiendelea hadi 2025, au 2023 mwwka aliosema atajiuzulu au akihukumiwa sioni CHADEMA ikiwepo. Inaonekana mambo yote CHADEMA yalimtegemea Mwenyekiti Mbowe.

Hata hii kesi(kama ina ukweli wowote) kwa chama ambacho ni taasisi haikupaswa kumuangukia mwenyekiti. Inabidi hiki chama kibadilike, kisitegemee mtu mmoja kukiendesha.

Na CCM ni kundi la maharamia tu kwa nguvu za polisi wenu, kwani bila hao ni laini kupita uji na ingeshasepa zamani sana.
Woga mkubwa ni Katiba mpya na Tume Huru.
Tunasherehekea miaka sitini kwa aibu kubwa, bila hata maji ya kuoga bora sherehe hii ingekanseliwa tu. AIBU ILIOJE!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom