CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani, hakiko Serikalini iwe ya Muungano au Zanzibar

CHADEMA sio chama kikuu cha upinzani hakiko serikalini iwe ya muungano au ya Zanzibar

Tanzania ina nchi mbili Tanzania bara na Zanzibar.

CHADEMA hakipo serikalini popote hata bungeni wanasema hakuna wabunge Chadema wenyewe

Sasa kama bungeni unasema wabunge huna Serikali ya Umoja wa kitaifa Zanzibar humo hizo kelele za kusema wewe chama kikuu cha upinzani wapi labda?

At least AcT wazalendo waweza sema kuwa chama kikuu cha upinzani sababu wametoa makamu wa Raisi Zanzibar

Nashauri Serikali iwe inawasiliana na chama kikuu cha upinzani cha ACT wazalendo

Tanganyika iliyopewa jina la Tanzania bado haiko huru, Hao Chadema ni wapigania uhuru ambao uliporwa Na genge la majambaziy likiongozwa Na Laanatullahi Nyerere
 
Back
Top Bottom