Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,272
Mapumbavu ya Lumumba, ni kawaida yao, bila kuitaja CHADEMA au Mbowe hawaendi haja!Sorry but this post is of the lowest thinking capacity to the maxmum point!.. CHADEMA ni taasisi iliyoandikishwa kisheria kama chama cha siasa
Kina wana chama kuanzia ngazi ya shina
Kina rasilimali watu
Kina rasilimali vitu
Kina Uongozi kamili kuanzia ngazi ya shina
Kina matawi ndani na nje ya nchi
Kina vitengo vyote muhimu kama chama kikuu cha upinzani
Kina wasomi wakutosha
CHADEMA ni taasisi kubwa na imara inayoheshimika na kutambulikana ndani na nje ya nchi
Kukiita CHADEMA ni kikundi cha watu wachache ni mawazo finyu yaliyopitiliza