Chadema should consider Tundu Lissu for UTR presidency

Incredible

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,031
1,603
Chadema should consider nominating Tundu Lissu for the United Republic of Tanzania (URT) presidency in 2020. He is still young and capable for the task.

Some people may argue that why not Lowassa. Yes, many love Lowassa, but folks let us see the reality. He is caught up with age and health challenges. Love is blind, so folks do not want to accept facts.

Other folks may argue that why a lawyer?, the answer is simple, Lissu is a lawyer like 25 USA presidents who were lawyers.

Lets take a look at American presidents who served their country as legal professionals before they were Commander in Chief. Here are the 25 United States Presidents who passed the bar before they were sworn in.

25. Barack Obama
Law School: Harvard | President: 2008 – 2016

24. Bill Clinton
Law School: Yale | President: 1993 – 2001

23. Gerald Ford
Law School: Yale | President: 1974 – 1977

22. Richard Nixon
Law School: Duke University | President: 1969 – 1974

21. Franklin D. Roosevelt
Law School: Columbia | President: 1933 – 1945

20. Calvin Coolidge
Legal Training: Post College Apprenticeship | President: 1923 – 1929

19. Woodrow Wilson
Law School: University of Virginia | President: 1913 – 1921

18. William Howard Taft
Legal Training: Post College Apprenticeship | President: 1909 – 1913

17. William McKinley
Legal Training: Post College Apprenticeship | President: 1897 – 1901

16. Benjamin Harrison
Legal Training: Post College Apprenticeship | President: 1889 – 1893

15. Grover Cleveland
Legal Training: Clerkship | President: 1885 – 1889 and 1893 – 1897

14. Chester Arthur
Legal Training: Post College Apprenticeship | President: 1881 – 1885

up to

1. John Adams
Law School: Harvard | President: 1797 – 1801

Sizonje has proved to be a big failure. Let's prepare a person to replace him in 2020
 
Lissu vs Magufuli,,, I can't wait for 2020...

Jamaa atambana angle zote, kuanzia ufisadi mzee atatuhumiwa maana inasemekana anamtumia Makonda kukusanya hela kwa wahindi na waarabu. Ikija kwenye pushup mzee akipiga tano jukwaani Lissu anapiga kumi. Mzee akiongelea Tanzania ya viwanda Lissu anamjibu kuwa hakuna viwanda kuna VI)WONDER haaa haaaaa. Go Lissu go, wenye mahaba na Babu yenu yule muunganisheni na akina Madabidi na Sofia muanzishe CCM B. Watu bado tuna machungu Babu kaporwa ushindi mchana kweupe anatuambiwa tutulie, ili na 2020 atutulize mara ya pili wakati ajira hakuna na uchumi umekufa??
 
Poor reasoning guys..... The fact that Lissu is a lawyer, and that he is an elect of a law society cannot qualify for URT presidency. Please Incredible and Detective J dont confuse politics and learned professions, administration and politics.
would you have known previous TLS presidents I'm sure yo could have realized that Lissu is nothing to brag off.
 
Naona vipofu mmeona mwezi. Uchaguzi TLS huwa upo mara kwa mara si mwaka huu tu, tena huwa una mashiko kuzudi wa mwaka huu, sasa malimbukeni wamedandia treni. Acheni TLS ibaki TLS, siasa zibaki nje kwa wasiosoma
 
Lissu atamshinda kwa mbali sana Magufuli ila sijui kama sheria ya mita 100 , jeshi na mahakama vitakavyotumika
atamshinda kwa lipi? je Lissu ana nini cha kujivunia katika uzoefu wa uongozi? Naona mmeanza ushabiki wenu za kinyumbu, mnatiririka tu bila kujua hata mnakoelekea
 
MSIDANGANYIKE ENYI VIUMBE ZAIFU
 
Attachments

  • usidanganyike.mp4
    429.1 KB · Views: 22
Poor reasoning guys..... The fact that Lissu is a lawyer, and that he is an elect of a law society cannot qualify for URT presidency. Please Incredible and Detective J dont confuse politics and learned professions, administration and politics.
would you have known previous TLS presidents I'm sure yo could have realized that Lissu is nothing to brag off.
This is why a common man neither knew nor cared the presence or absence of the bar. With TL, TLS is going to be on the map and stay relevant to the common man. So TL's win is a big deal because, unlike past presidents, he is not a dwarf.
 
Poor reasoning guys..... The fact that Lissu is a lawyer, and that he is an elect of a law society cannot qualify for URT presidency. Please Incredible and Detective J dont confuse politics and learned professions, administration and politics.
would you have known previous TLS presidents I'm sure yo could have realized that Lissu is nothing to brag off.

Nothing to brag off? ni kweli, Muambie Mwakyembe hayo maneno maana ndio ametuaminisha kuwa he is everything to brag off
 
ili tz ipate maendeleo lazima utawala wa haki na sheria uongoze nchi na lissu ndio mtu pekee atakaeweza kuleta system za utawala za kisasa
Lissu ataweza kwa sababu tu kachaguliwa kuwa raisi wa TLS? acha kuishi kwa matukio. Uwezo wa lissu umeonekana jana tu?
 
Wakuu,
Uchaguzi wa TLS mwaka huu bila shaka umeifanya TLS kujulikana zaidi, Pia Tundu Lissu amejipatia umaarufu mkubwa sana. Mitandao yote ya kijamii, wananchi wa hali zote walikuwa wanamdiscuss Lissu.
Wengi wao wanampongeza, wanamuona kama ndiye aliyepaswa kuwa raisi wa nchi.
Hili linatakiwa litafsiriwe kwa umakini na uongozi uliopo, haswa ukizingatia uchaguzi ujao wa 2020.

Hadi sasa nimethibitisha:
1. TLS inajulikana walau kwa wananchi wengi sasa kuliko hapo kabla.
2. Tundu Lissu ni wakili msomi anayeongoza kwa kukamatwa kwa tuhuma za uchochezi.
3. Kwa kuwa wanasheria wasomi 1411 wamempigia kura Tundu Lissu kuwa Rais wa TLS hapana shaka kwamba TLS ni watuhumiwa wa [HASHTAG]#wachochezi[/HASHTAG].

HITIMISHO
Watuhumiwa si wahalifu kwa hiyo wasifanywe kama ni wakosaji hata pale itakapothibishwa pasipokuwa na shaka yoyote juu yao.

Hongera #Tundu_Lissu!
1489892838583.jpg
 
Naona vipofu mmeona mwezi. Uchaguzi TLS huwa upo mara kwa mara si mwaka huu tu, tena huwa una mashiko kuzudi wa mwaka huu, sasa malimbukeni wamedandia treni. Acheni TLS ibaki TLS, siasa zibaki nje kwa wasiosoma
Mbulumundu, 2020 sio mbali sanduku la kura litaongea. Kuna vijana waliokosa ajira tumaini lao Lissu, kuna wahindi wanaolazimishwa kutoa hela kwa Mzee kupitia kwa Bashite nao tumaina lao Lissu, kuna wanaYanga wote mwenyekiti wao kaporwa uraia tumaini lao Lissu. Pia Lissu sio wa kaskazini. Lissu is ticking all the boxes
 
HAHAAA. Lisu umemfahamu leo? kwa nini hamukumsimamisha 2015? hao vijana wasio na ajira wataajiriwa na lisu kufanya kazi katika mashamba yake? Ana kweli CDM chama cha mamluki
 
mwenyewe kachagua kuwa raisi wa tls na hajachagua bado kugombea nafasi ya raisi wa united republic of tz. Ni vizuri kumuacha akaamua yeye mwenyewe.
 
Lissu ataweza kwa sababu tu kachaguliwa kuwa raisi wa TLS? acha kuishi kwa matukio. Uwezo wa lissu umeonekana jana tu?
fuata nnachosema na uhalisi wake,tz haiwezi kuendelea na mifumo ya uongozi ya kizamani,kama tunataka kuondoka hapa lazima aongoze mtu anaejali haki na utawala wa sheria
na hii sio kwa sababu ya kushinda uraisi wa tls lissu amejitolea kuwapigania wanyonge kwa vitendo sio mwanasiasa porojo
 
Mlishindwa toka 2015. Je, ni kiongozi gani TZ hajali utawala wa haki na sheria? Je lissu kajitolea vipi kuwapigania wanyonge? Ndugu kumbuka kwaba wapo wengo waliopita TLS.. Pia mchunguze huyo mtu unaemsifia alivyo mropokaji na asiezingatia mda na mahala pa kuzungumza, kwa kifupi mtu wako ni mtu wa show of sana... anapenda, an anaishi kwa kick tu.
 
Back
Top Bottom