CHADEMA shinda uchaguzi kwa mbinu hii

More Tiz

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
2,232
1,195
Mwaka 2004 uchaguzi wa serukali za mitaa katika kata ya Vingunguti CUF ilishinda kwa kutimia mbini hii.
1. Tulihamasishana vijana, yaani kila kijana alihakikisha ana vijana wenzie watano atakaowashawishi na kuhakikisha wanapiga kura.
2. Kulinda kura mpaka matokeo yangazwe. Nakumbuka tulikaa siku 3 kiembe samaki sokoni tukilinda kura na CCM walioshindwa waligoma hata kusaini mpaka alipotoa amri Makamba enzi hizo akiwa mkuu wa mkoa.
3. Kumuweka kitimoto mgombea. Mgombea wetu wa CUF alikuwa ni mchoma mahindi hivyo CCM walikuja na hoja zao kwa kumpa achague mawili. Mosi akubali hongo ya milioni 12 na akubali matokeo yapinduliwe na akigoma Watamuuwa. Vijana tulilichukua hilo nasi tukamwambia sisi tutakulinda na kama utachukua hizo fedha tambua kuwa sisi tutakuuwa kwa mawe wewe na mawakala walioko humo ndani. Hivyo utachagua tukulinde sisi au uchukue fedha ambazo ni uhalisia hautotumia hata shilingi moja. Alikubali tumlinde, nasi tukalibeba jukumu na ulinzi ulianzia kwenye eneo husika kuwa asiyehusika haruhusiwi kuingia ofisini ziliko kura, chakula na maji yake na mawakala tulikinunua sisi yaani hata mke wake hatukumruhusu kumletea tukihof watamuwekea sumu, then akitaka kwenda chooni tulikagua kwanza eneo na kulizunguka kwa ulinzi. Nasi pia tulitika kwa zamu kwenda kutafuta chakula.
3) FFU zilifika gari 5 katika kituo chetu ili kututisha lakini sisi tuliendelea kuwa watulivu huku tukijua nini tunakifanya.
4) hatukuruhusu sura zisizojulikana kupiga kura, kwa ajili ya kuzuia mamluki.
5) baada ya kutangazwa mshindi mgombea wetu tuliendelea kumlinda kwa siku 7 huku tukichangishana fedha ya yeye kujikimu asijedhuriwa na wapenda madaraka.
6) mbinu hii tuliungana kata nzima ili kuwa na vituo vingi ili kuongeza nguvu kwamba wakichakachua sehemu moja tunaitana na kumalizana eneo la tukio na si kupelekana polisi.
KWA UFUPI HIZO NDIZO MBINU ZILIZOTUMIKA KUNYAKUA USHINDI WA CUF KATA YA VINGUNGUTI.
HIVYO NADHANI NI JAMBO LA BUSARA WANACHADEMA KUSHIRIKIANA NA KUHAKIKISHA WAGOMBEA WETU HAWARUBUNIWI IKIWEZEKANA HATA KULALA NAO KTK MAKUNDI NA KUSHINDA NAO.
KAZI KWENU MAKAMANDA - MIMI KTK KIJIJI CHANGU NA VITONGOJI VYAKE NINAUHAKIKA TUNASHINDA KWANI TULISHAJIPANGA KITAMBO NA HAHONGWI MGOMBEA YEYOTE.
PAMOJA DAIMA
Karibu Mohamed mtoi, makene,mpk,
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,032
2,000

Tatizo rasilimali watu itapatikana? Kwa mfano mwaka huo cuf walijikita msikiti wa mnyamani.na wauza mishikikaki ya vijiti,mbatata za urojo samaki na juice ya miwa buguruni yote walipatikana
 
More Tiz

JF-Expert Member
Mar 28, 2013
2,232
1,195
Tatizo rasilimali watu itapatikana? Kwa mfano mwaka huo cuf walijikita msikiti wa mnyamani.na wauza mishikikaki ya vijiti,mbatata za urojo samaki na juice ya miwa buguruni yote walipatikana
Rasilimali watu ipo. Kikubwa ni kuhamasishana. Kama nilivyoeleza juu ya vijana watano watano hiyo ndio ilikuwa mbinu kubwa kuhakikisha kila mmoja amepiga kura.
Huwezi amini ktk kitongoji changu vijana walikuwa wamekata tamaa kwani kijiji kizima kiko chini ya CCM. ILA kwa miezi miwili tu nimefanikiwa na sasa huwezi kuongelea CCM hazarani. Hadi wamama waliopewa vitenge nimewapitia nyumba kwa nyumba na kuhakiksha hawapotezi kura zao.
 
naxon

JF-Expert Member
Dec 6, 2014
423
250
Kamanda nakuunga mkono ila naomba isiwe kwa CHADEMA tu bali kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA.
 
NTWA MWIKEMO

JF-Expert Member
Oct 7, 2014
669
500
Tatizo rasilimali watu itapatikana? Kwa mfano mwaka huo cuf walijikita msikiti wa mnyamani.na wauza mishikikaki ya vijiti,mbatata za urojo samaki na juice ya miwa buguruni yote walipatikana
mbinu nzuri ni kama ile iliyozoeleka ya kupaa na chopa ili kuwaonesha wapiga kura kuwa chama kina hela nyingi kuliko chama tawala, kuwamaliza wengnie kwa mbinu kama zile za kawaida , kumtukuta mfalme kila mkutano , na kuzivaa nguo za chama tawala na kufanya fujo mitaani kama ilivyozoeleka , kujigeuza ma-g-d and so on /.
;;;;;;;;;;;;;; ingine moko kuwa na matangazo ya matumaiini kama anavyofanya msaidizi wa mfalme ....... angalau ipatikane hata mitaa 2 nchi nzima ........................... all the best:cheer2::flypig::lock1: mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ne gwa mfijinja mwitongo , imindu ghimo linga ukyala aghibhwe leka itolo bhandu mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .
 
mululu

JF-Expert Member
Nov 7, 2014
742
500
mbinu nzur sana, ngoja niwashirikishe wanakijj wenzang hapa make n dhahiri hapa kijjn kwang utawala wa ccm unaenda kufutika rasimi trh 14
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom