CHADEMA shikilieni hapohapo tunawaelewa

Hayo yanamsaidia nini mtu wa kijijini ambaye hawezi nunua hata tochi..hayo yatakusaidia labda wewe mwenye smart phone kuku keep busy na jamii forums kuchat.
Mimi wa kijijini mshahara unasaidia sana wewe wa mjini kama hakusadii ubarikiwe. Halafu nyie mnaojifanya wa mjini kutuona wa vijijini hatuelewi kitu ni upungufu wa kufikiri.
 
Mimi mama angu wa kijijini anaitegemea hiyo nyongeza ya mshahara kutoka kwangu
Hayo yanamsaidia nini mtu wa kijijini ambaye hawezi nunua hata tochi..hayo yatakusaidia labda wewe mwenye smart phone kuku keep busy na jamii forums kuchat.
 
Hoja ya VITAMBULISHO VYA MJASILIA MALI ni muhimu sana imewakera watu wote nchi nzima isipokuwa Makonda, ktk halmashaur yangu maafisa wote tumepangiwa zamu kuvigawa, kuna makundi tumeamua kuwafanyia unyambisi wananchi ZOA kila kitu utakachomkuta nacho wakiuliza mbona tunafanya ukatili tunawaambia iulizeni serikali yaani wilaya nzima tumechafua hali ya hewa hivyo HOJA YA VITAMBULISHO WASIIACHE ikiwezekana waanze kuinadi sasa hivi wakati huo sisi huku halmashauri tunasomba kila kitu tunatupia kwenye Karandinga
 
Dreamliner inamsaidia nini mtindiga?

Nimekutukania nanihiliyuu ywako!!
 
Hoja ya VITAMBULISHO VYA MJASILIA MALI ni muhimu sana imewakera watu wote nchi nzima isipokuwa Makonda, ktk halmashaur yangu maafisa wote tumepangiwa zamu kuvigawa, kuna makundi tumeamua kuwafanyia unyambisi wananchi ZOA kila kitu utakachomkuta nacho wakiuliza mbona tunafanya ukatili tunawaambia iulizeni serikali yaani wilaya nzima tumechafua hali ya hewa hivyo HOJA YA VITAMBULISHO WASIIACHE ikiwezekana waanze kuinadi sasa hivi wakati huo sisi huku halmashauri tunasomba kila kitu tunatupia kwenye Karandinga
Kinyambilisi!!
Lazima wananchi watie akili.
 
mahu shikilia hapo hapo ili iwe rahkisi watanzani kwa umojla wao wakuelewe Get well soon Tanzania
 
Hayo yanamsaidia nini mtu wa kijijini ambaye hawezi nunua hata tochi..hayo yatakusaidia labda wewe mwenye smart phone kuku keep busy na jamii forums kuchat.
Hii ni sampuli ya watu wajinga.

ikiwa hujui interaction ya mishahara ya watumishi na maisha ya watu vijijini kwani huko vijijini hakuna watumishi?.
 
Kwa sasa habari ya mjini ni mambo manne ambayo yanawapa credit

1. Ufisadi wa serikali ya awamu ya 5 kupitia ripoti ya CAG

2. Nyongeza ya mishahara kisheria

3. Katiba mpya

4. Utawala bora

Huku mtaani tunawaelewa na watumishi wameanza kuwapanga wapiga kura taratibu. .
Ninyi kila siku muwabane mawaziri hivyohivyo na clips za majibu yao kwaa maswali yenu muwe mnatupatia na sisi tunawafikishia wananchi.

Mungu aendelee kuwaongoza.
Chadema imekuwa mteteze wa wananchi kwa miaka yote. Kama chama tutaendelea kupambana na wtawla hawa wa hovyo.
 
Ila wizi wa trillions, kudhulumu Wakulima wa korosho, kusema uongo, kukataa CAG Assad asifanye ukaguzi, kuwazuia IMF wasichapishe ripiti kuhusiana na hali mbaya ya uchumi, udikteta, kudharau Bunge, mahakama na katiba hivi vyote VINAWASAIDIA SANA watu wa vijijini na kuwaletea maendeleo ya kweli.
hahahahah ukiwa Mwanaccm lazima bichwa lako ujaze maji.
 
Back
Top Bottom