CHADEMA sasa wameamua kuyafanya hadharani yale yasiyojulikana, wanawavua nguo wafuasi wa CCM

Itakua wameamua kufanya kama wenzao wa CHAMA CHA MAPINDUZI ambao bilashaka clip yao ilikua inazunguka humu.
 
Umeona hii tu kwani hujaona clip nyingine kijana mdogo amepigwa na kuvuliwa t shirt ya chadema?
Hapa ndipo tulipofikia
Ya Rwanda Burundi yanatunyemelea
Cccm mmetengeneza hii hali
Mtaani kutawaka moto
 
Baada ya ile clip ya majuzi ya mwanachadema kupewa kisago kwa kosa la kutembea mtaani akiwa amevaa fulana ya chadema,mwana ccm naye amepewa kisago na wanachadema kwa kosa hilohilo
lile la ccm lilinyamaziwa kimya ila inatarajiwa kwa matumaini makubwa ya kwamba wanachadema wanaaonekana kwenye clip hii watachukuliwa hatua kali za kisheria na ikibidi msajili atoe tamko kali la kutaka kuifuta chadema
Tupo vizuri sana ndugu zangu,tutembee kifua mbele,maendeleo hayana chama jamani.
 
Ya muda Sana hii tangu enz ya uchaguz uliopita not now
 
Utamsikia mzee wa nyoka ya shaba ikilalama muda sio mrefu

Chadema hakuwa mtanzania ila huyu wakijani ndio mtanzania.....what a double standard!!!!!!!
 
Mnajitoa ufahamu kwa wanasiasa wasio kuwa na misimamo,kila siku wanabadilisha kauli.
 
Ila haka ka video ni ya muda kidogo, si ya mwaka huu wala mwaka jana
Kama hii video ni ya zamani hawa wa juzi wanaweza kudai kwamba walikuwa wakilipa kisasi kwa kile alichofanyiwa mwenzao kipindi hicho cha nyuma japo kitendo kiovu hakiwezi kuhalalisha kitendo kingine kiovu cha awali.
 
Yes kabisaa mwakani kwenye kampeni sipati picha maadui wa nchi watakavyotutingisha watakavyo,imagine bomu lilipuke katika kampeni za chama fulani kama siyo kuanza kunyoosheana vidole maana kwa miaka 4 awamu ya tano imekuwa ikisambaza chuki za kutisha kwa wapinzani,kwa sasa ni rahisi sana adui wa nje ya nchi kuchonganisha
Duh tumefikia hapo kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom