CHADEMA sasa wageuka maripota na wapiga picha kampeni serikali za mitaa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni, baada ya kususa na kununia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wafuasi na viongozi wa CHADEMA sasa wamegeuka kuwa maripota wa matukio yanayojiri kwenye kampeni za uchaguzi zilizozinduliwa hapo jana.

Hii inadhihirisha kwamba maamuzi ya kususia na kununia uchaguzi ni ya kada wa CCM aliyepewa jukumu la kuingoza CHADEMA ndugu Mbowe na si ya wafuasi wa CHADEMA.

Ajizi nyumba ya njaa, ningeshauri tu wafuasi wa CHADEMA ili msiumie nafsi zenu ni bora mgesusia na kampeni yaani kila mkiangalia kampeni mnazidi kuathirika kisaikolojia.Kwanini hamkujifunza kwa Seif aliposusia uchaguzi Zanzibar, amepata faida gani zaidi ya kuwaathiri kisaikolojia wafuasi wake?

Nimalize kwa kusema, ''majuto mjukuu''.
 
Aumie nani tumewaachia mzoga wenu mfakamie, oneni sasa hata wanachama wenu wamewasusa mpaka mnaviangukia vitoto vidogo si utaahira huo. Na katika hili ningekuona una akili kama ungekaa kimya kuliko huu utoto unaofanya kutetea upumbavu.
Kususa maana yake, ni kutojihusisha na jambo lolote linalohusu ulichokisusa. Ajabu, waliosusa sasa ndio wanaohusika zaidi ya walioridhia.
 
Unashangaa nin Chadema kuripoti vituko vya huko mtaani? Mbona wew unaripoti mambo yanafanywa na Chadema je na wew umekuwa ripota wa mambo ya Chadema? Unaongea utafikiria hauna Degree4 bwana hapo Lumumba. Mpelekee Mwakyembe batu benye ma Degree nne aone hiyo Video yenu mnayo cheza na vitoto ktk Kampeni.
 
Ndugu zangu,

Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni, baada ya kususa na kununia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wafuasi na viongozi wa CHADEMA sasa wamegeuka kuwa maripota wa matukio yanayojiri kwenye kampeni za uchaguzi zilizozinduliwa hapo jana.

Hii inadhihirisha kwamba maamuzi ya kususia na kununia uchaguzi ni ya kada wa CCM aliyepewa jukumu la kuingoza CHADEMA ndugu Mbowe na si ya wafuasi wa CHADEMA.

Ajizi nyumba ya njaa, ningeshauri tu wafuasi wa CHADEMA ili msiumie nafsi zenu ni bora mgesusia na kampeni yaani kila mkiangalia kampeni mnazidi kuathirika kisaikolojia.Kwanini hamkujifunza kwa Seif aliposusia uchaguzi Zanzibar, amepata faida gani zaidi ya kuwaathiri kisaikolojia wafuasi wake?

Nimalize kwa kusema, ''majuto mjukuu''.
Mkuu Kaka Mkubwa Wakudadavua, naunga mkono hoja!.
P
 
Haa haaa mnaogopa picha/video zenu wenyewe?! Kweli CCM mmekwama.
Kosa la CHADEA liko wapi ?!
Si ndio vizuri mnafanyiwa kampeni ,na wala uhitaji kuona aibu, ndio kuunga juhudi huko wapongeze👏🏽👏🏽👏🏽.
Na ndio ushidi wa kishindo huo. Tembea kifua mbele.

Lete basi picha na mavideo ya kuunga mkono midege ya Magufuli wanazo onesha CHADEMA. Mi sijaziona Shekhe..😂😂😂
 
Ndugu zangu,

Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni, baada ya kususa na kununia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wafuasi na viongozi wa CHADEMA sasa wamegeuka kuwa maripota wa matukio yanayojiri kwenye kampeni za uchaguzi zilizozinduliwa hapo jana.

Hii inadhihirisha kwamba maamuzi ya kususia na kununia uchaguzi ni ya kada wa CCM aliyepewa jukumu la kuingoza CHADEMA ndugu Mbowe na si ya wafuasi wa CHADEMA.

Ajizi nyumba ya njaa, ningeshauri tu wafuasi wa CHADEMA ili msiumie nafsi zenu ni bora mgesusia na kampeni yaani kila mkiangalia kampeni mnazidi kuathirika kisaikolojia.Kwanini hamkujifunza kwa Seif aliposusia uchaguzi Zanzibar, amepata faida gani zaidi ya kuwaathiri kisaikolojia wafuasi wake?

Nimalize kwa kusema, ''majuto mjukuu''.
Mkuu, yaani wako kama katoto kalikozira kula na kakaanza kulia. Wenzake kila wakimeza kenyewe kanaongeza sauti ya kilio!!! Ahahahahahahaha!!
 
Kususa maana yake, ni kutojihusisha na jambo lolote linalohusu ulichokisusa. Ajabu, waliosusa sasa ndio wanaohusika zaidi ya walioridhia.
Tunachofanya ni kuwa prove wrong mabosi wenu waliotoa maagizo ya kuvuruga mchakato wa uchaguzi kwa nia ya kuibeba CCM,matokeo yake hata wanaccm wenyewe wamesusa. Kubalini kuwa kitendo cha kipumbavu cha kuvuruga mchakato wa uchaguzi kimekula kwenu. Mumesuswa, aibu kubwa imewakuta, hadi kuwaangukia vitoto vidogo!!!!!!
 
Ndugu zangu,

Ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni, baada ya kususa na kununia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wafuasi na viongozi wa CHADEMA sasa wamegeuka kuwa maripota wa matukio yanayojiri kwenye kampeni za uchaguzi zilizozinduliwa hapo jana.

Hii inadhihirisha kwamba maamuzi ya kususia na kununia uchaguzi ni ya kada wa CCM aliyepewa jukumu la kuingoza CHADEMA ndugu Mbowe na si ya wafuasi wa CHADEMA.

Ajizi nyumba ya njaa, ningeshauri tu wafuasi wa CHADEMA ili msiumie nafsi zenu ni bora mgesusia na kampeni yaani kila mkiangalia kampeni mnazidi kuathirika kisaikolojia.Kwanini hamkujifunza kwa Seif aliposusia uchaguzi Zanzibar, amepata faida gani zaidi ya kuwaathiri kisaikolojia wafuasi wake?

Nimalize kwa kusema, ''majuto mjukuu''.
Sasa wewe mbona unaonyesha ujonga wako hadharani? Mbona ya jiwe kuzunguka huku na kule na mapicha na TV hushangai unashangaa sisi kupewa ripoti ya vichekesho vya "kampeni uchwara' za CCM? Kwa vile zimekaa kivichekesho basi zinaletwa na Chadema lakini zingekuwa za kuvutia basi ingekuwa za wanaccm?
Tulia ulee hicho kitoto chako wewe!
 
Tunachofanya ni kuwa prove wrong mabosi wenu waliotoa maagizo ya kuvuruga mchakato wa uchaguzi kwa nia ya kuibeba CCM,matokeo yake hata wanaccm wenyewe wamesusa. Kubalini kuwa kitendo cha kipumbavu cha kuvuruga mchakato wa uchaguzi kimekula kwenu. Mumesuswa, aibu kubwa imewakuta, hadi kuwaangukia vitoto vidogo!!!!!!
dah yaani unatamani mbowe awaamuru mrudi lakini ndio hivyo tena.
 
Haa haaa mnaogopa picha/video zenu wenyewe?! Kweli FISIEMU mmekwama.
Kosa la CHADEA liko wapi ?!
Si ndio vizuri mnafanyiwa kampeni ,na wala uhitaji kuona aibu, ndio kuunga juhudi huko wapongeze👏🏽👏🏽👏🏽.
Na ndio ushidi wa kishindo huo. Tembea kifua mbele.

Lete basi picha na mavideo ya kuunga mkono midege ya Magufuli wanazo onesha CHADEMA. Mi sijaziona Shekhe..😂😂😂
mmesusa lakini vijicho kodo....tulieni acheni kuweweseka.Kada Mbowe kawaamuru msuse na ninyi mkasusa kweli.
 
Back
Top Bottom