CHADEMA, sasa twende na mfumo wa 1 by 3; tumechoka sasa

Lengo ni nini hasa? Kujilaza mahabusu kwa ajili ya chadema?

I mean lazima kuwepo na higher goal worthy of sacrifice. Watu tupo tayari hata kufa kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya dini na hata kwa ajili ya mke na watoto. But come on, mtu ujitese kwa ajili ya mbowe? chadema? F****!

Haya Slaa alishawahi kuvunjwa hadi mkono kwa ajili ya mbowe, alipata nini?
Huwezi kuelewa ww
 
Huu ni utopolo wa kiwango cha juu, uwekwe ndani tena? bora upambane ukiwa machakani kuliko kukubali kuwekwa ndani.......
 
Nilihisi ataconclude na style ya Hamza!
Hii mbona mkate tu kwa police
 
Usilete vitisho eti nisijibu, hii inathibitisha mnafadhili UGAIDI, UHAINI, UTEKAJI, MAUAJI na UKWEPAJI KODI.

Mkazo: Wewe ni mharifu na uharifu huo utakunasa siku sio nyingi, endelea kutishia

Leta tena majibu yako ya kibangi
Sikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,

Nami nasema , mungu akawe mwanga na aingilie Kati vita hivi, nakufuta popote ulipo, anzia unyayo wako mpaka juu, nakufuta KWa ndugu , jamaa, mpaka familia YAKO , mpaka ukitubu, milango yote ikupayo jeuri, naifunga mpaka utakapo tubu, na kujenga nyumba ya ibada lingana na dhehebu unaamini,

Nasema , na imekua,
 
Alafu nakuonya Mara MOJA sema CHADEMA magaidi na wafadhili UGAIDI, ACHA Mara MOJA ,sio ombi nasema Kama Mungu anitakavyo ,ukiendelea nitaenda hatua ya pili kunywa maji Kama sehem ya mfungo tuone nani ataanza okota makopo , we vipi, Tz ni taifa letu wote hakuna mwenye hati miliki,

Hacha Mara MOJA nisema tena ,nyie mna KILA kitu sie tunae Mungu wa kiwango cha juu Sana ,sio wachungaji, hatuna makanisa ila najua naonge nini katika hili
Sikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,

Nami nasema , mungu akawe mwanga na aingilie Kati vita hivi, nakufuta popote ulipo, anzia unyayo wako mpaka juu, nakufuta KWa ndugu , jamaa, mpaka familia YAKO , mpaka ukitubu, milango yote ikupayo jeuri, naifunga mpaka utakapo tubu, na kujenga nyumba ya ibada lingana na dhehebu unaamini,

Nasema , na imekua,
 
Hisia za nini si ulete , vielelezo Mkuu, hoja hujibiwa KWa hoja pitia vielelezo na si vinginevyo
Ni kweli hatupaswi kuandika kwa hisia...nimejaribu kuangalia vielelezo sijaona hata kimoja, au umeviweka kwenye thread number ngapi? kama ulikuwa unamaanisha zile hoja zako kwenye thread number 1, nimezijibu kwa hoja hiyo moja kuwa mikakati yenu huwa haitekelezeki..mfano mwingine ni mpango wa kugomea kufanya miamala ya simu ili kukwamisha zoezi la Tozo, au pia kauli ya Mwenyekiti ilikuwa ni lazima Watanzania wachanjue chanjo ya Corona..mimi nilifikiri chanjo ikiletwa wana CDM ndio watakuwa wa kwanza kuchanja lakini ajabu serikali imetangaza kuwa waliochanja hadi sasa ni 325,000 tu...kwani Chadema hamko zaidi ya hii idadi? maana hii inajumlisha wana CCM na Chadema baadhi, au chadema wote wamechanja?
 
Sasa angalau twaweza ongea mkuu

Binafsi nilikuja na wazo la 1by 3 kwamba mmoja wetu akikamatwa kisa ya katiba mpya basi twende watatu tulale alipo mwenzetu , ila wamwachie mwenzetu ,au tufungwe wote,hii sio kosa kuomba ufungwe tena kwa hiari YAKO mwenyewe, ila tusisingiziwe ujambazi, au UGAIDI, kisa tumeenda wenyewe, na nirishaushi mpango uwe wazi Dunia ijue na wenye nchi wajue

Pili, Sasa KWa hoja Iyo ya kwanza hapo juu ulitaka vielezo gani mkuu, kwamba katiba mpya KWa Sasa sio takwa la nchi na wananchi, na je watu wetu hawakamatwi ovyo kisa makongamano ya katiba? ni swala la kuafikiana tu, hii sio ya chama chochote bali ni KWa faida ya mataifa yote mawili ,ZANZIBAR NA TANGANYIKA, Je hapa Kuna sababu gani tumia police na kuwachosha bure? Kudhalilisha taifa KWa ujinga tu,

Sikia MUNGU anasema KWa Hili la katiba CCM mwakwsha bure ,katiba inakuja na hakuna wa kuzuia,asema BWANA, msijidanganye, na haitaenda msadia SSH Rais ,anajidanganya,na anadanganywa bali inaweza mjenga Sana tena Sana akijiongeza ,I speek with confidence,

Huyu mama nyie wapambe mmemharibia Sana , nae anaona sawa ila ipo siku atakumbuka ,kwani tumeona mangapi kiroho na kutokea? Huwezi jua maana unaamini nguvu kwako ndo KILA kitu, maana unayo mamlaka ebo!!

Sasa nasimama katika nafasi yangu Kama 47 mbatizaji ,na niwashauri , mpangalo au wapangalo haliwezi kuwa, mungu amekataa, mie si mchungaji, Sina kanisa na siku mungu akinipa KIBALI Basi litaitwa kanisa la mbatizaji 47 , japo Sina KIBALI hicho KWa sasa

Unazuiaje watu wanaoangaika tafuta mkataba wa nchi Kama KATIBA YA NCHI alafu ujione upo sawa , siongei mengi but yapo mengi nayaona kiroho , twende tu
 
Sikia nafikili wajifanya hu juu, ya KILA kitu ameumba mungu, kufa kupo, Kama mungu alishatamka nitakufa KWa ajili ya haki tena pitia binadam mwenye nyama Kama wewe ipo hivyo , so nitapitia kwako KWa kuniua Kama daraja tu, lakini Kama sio mpango wa mungu kufa pitia kifo Cha namna hiyo wakesha bure,

Nami nasema , mungu akawe mwanga na aingilie Kati vita hivi, nakufuta popote ulipo, anzia unyayo wako mpaka juu, nakufuta KWa ndugu , jamaa, mpaka familia YAKO , mpaka ukitubu, milango yote ikupayo jeuri, naifunga mpaka utakapo tubu, na kujenga nyumba ya ibada lingana na dhehebu unaamini,

Nasema , na imekua,
Kiswahili chenyewe sio cha Tanzania lakini pia inaonesha ni kama umechanganyikiwa akili, hivyo vitisho peleka uchira labda vitafanya kazi
 
Thanks ,Sasa nakuonya ,so what intelligence, haijalishi we nani,but hii ni fani tu ,Kama uonavyo mwanasheria, dr n.k ,acheni ujinga wa kujitukuza , by the way nimekufuta, imetosha tekeleza nilio kwambia full stop

Hoja mie si mtazania , ni ya kijinga, sie ni wabantu,Sasa we wajuaje hu MTANZANIA? unamjua Babu mzaa Babu,mzaa Babu YAKO ,na mzaa baba YAKO ? Wapi ametokea au jimwambafii, na kudemka,

Sikia tukisema twautafuta ukabila hakuna MTANZANIA hasa kizazi Cha Sasa ana hati miliki, ni majivuno tu kisa upo pale ulipo,but wote wakimbinzi,

Nimekufuta , na ILISHAKUA ,wakati mwatumia mamlaka ,sie twamtumia yule akufanyae dam YAKO izunguke mwili wako mzima, ukiwa umelala au la ,
 
Watu wanataka mkataba huru ambayo ni Katiba mpya ,Jambo ni jema Sana KWa chama chochote kiwapo madarakani ,mnawakamata na kuwapa KESI za ajabu alafu upo tu Kama mtu wa kutoka Rwanda , kesho wanao wanaishi vipi ? au wafikili utaishi milele
 
Nani atakusikiliza wewe?
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie
 
Kama akili ndio hii,taifa lina hasara kubwa sana
Haya ni matokeo ya chanjo! Kizazi cha wanao chanja kitakuwa na watoto sampuli hii! Eti akifungwa mmoja waende wafungwe watatu! Akipigwa rungu moja na askari mwezake anaomba apigwe rungu tatu!
 
Sasa angalau twaweza ongea mkuu

Binafsi nilikuja na wazo la 1by 3 kwamba mmoja wetu akikamatwa kisa ya katiba mpya basi twende watatu tulale alipo mwenzetu , ila wamwachie mwenzetu ,au tufungwe wote,hii sio kosa kuomba ufungwe tena kwa hiari YAKO mwenyewe, ila tusisingiziwe ujambazi, au UGAIDI, kisa tumeenda wenyewe, na nirishaushi mpango uwe wazi Dunia ijue na wenye nchi wajue

Pili, Sasa KWa hoja Iyo ya kwanza hapo juu ulitaka vielezo gani mkuu, kwamba katiba mpya KWa Sasa sio takwa la nchi na wananchi, na je watu wetu hawakamatwi ovyo kisa makongamano ya katiba? ni swala la kuafikiana tu, hii sio ya chama chochote bali ni KWa faida ya mataifa yote mawili ,ZANZIBAR NA TANGANYIKA, Je hapa Kuna sababu gani tumia police na kuwachosha bure? Kudhalilisha taifa KWa ujinga tu,

Sikia MUNGU anasema KWa Hili la katiba CCM mwakwsha bure ,katiba inakuja na hakuna wa kuzuia,asema BWANA, msijidanganye, na haitaenda msadia SSH Rais ,anajidanganya,na anadanganywa bali inaweza mjenga Sana tena Sana akijiongeza ,I speek with confidence,

Huyu mama nyie wapambe mmemharibia Sana , nae anaona sawa ila ipo siku atakumbuka ,kwani tumeona mangapi kiroho na kutokea? Huwezi jua maana unaamini nguvu kwako ndo KILA kitu, maana unayo mamlaka ebo!!

Sasa nasimama katika nafasi yangu Kama 47 mbatizaji ,na niwashauri , mpangalo au wapangalo haliwezi kuwa, mungu amekataa, mie si mchungaji, Sina kanisa na siku mungu akinipa KIBALI Basi litaitwa kanisa la mbatizaji 47 , japo Sina KIBALI hicho KWa sasa

Unazuiaje watu wanaoangaika tafuta mkataba wa nchi Kama KATIBA YA NCHI alafu ujione upo sawa , siongei mengi but yapo mengi nayaona kiroho , twende tu
Mkuu kimsingi mimi sikatai kuwa una hoja juu ya matakwa ya Katiba mpya, nilichokuwa natamani unielewe ni kuwa Wananchi " wanachama na mashabiki wa chadema" wamekuwa wagumu sana kufanyia kazi mapendekezo yanaytolewa na viongozi wao, ndio msingi wa kusema mawazo yenu huwa hayatekelezeki. Ukisoma michango ya wanachadema na wananci wengine kule Twitter
 
Mkuu Safi sana hiyo, tatizo kubwa la WATZ ni watu wa ovyo sana, utaishia kukebehiwa.

Hawana magereza ya kututia sote hawa
 
Naenda moja kwa moja kwenye wazo langu , na niombee viongozi wangu Chama mlipokee, Kama linafaa

CHADEMA tujue mpaka mda huu, hatupambani na ccm bali dola,ipo wazi

Sasa tumechoka na vyombo vya dola kukandamiza HAKI zetu, hii ni nchi yetu wote.

Kamatwa watu wetu , Kisa katiba mpya tena kwenye vikao vya ndani halikubaliki, police wanafanya hivi na wanajua wanafanya makosa kisheria,Hawa sio wenzetu tena wapo upande wanaojua

MAPENDEKEZO

Nashauri KWA Sasa chadema twende na MFUMO wa 1 by 3 nchi NZIMA ,nini namanisha hapa

MAANA YAKE
Màana ya 1by 3 ,nikwamba, nchi NZIMA pale wanapokamatwa watu wetu ,akiwa moja basi twende watatu tulale pale kwenye kituo Cha police alipo mwenzetu mpaka tuweke ndani au mwenzetu wamwachie

Hivyo hivyo wakiwa wawili ,watatu ,kumi n.k tunazidisha Mara tatu ,na KWA idadi hiyo basi watuweke ndani au kuwachia wenzetu,FULL STOP

Hii itangazwe ,na iwe wazi , kwamba Ndo MFUMO tunaenda nao KWA Sasa , maana Hawa Police hawakawii watu wameenda pale kuomba kuwekwa ndani tena KWA hiari yao alafu wakasema ,Hawa majambazi , na nimagaidi wamekuja kuiba mabunduki yao

MPANGO HUU UWE WAZI KWA KILA MTANZANIA ,NA DUNIA IJUE KWAMBA CHADEMA TZ SASA TUNAENDA NA MFUMO HUU

THANKS
Tatizo polisi wetu hawaheshimu haki za raia, watagawa kipigo cha mbwa koko labda na sisi raia tuamue kuwapa kichapo kama hamza
 
No sie tunaenda kulala pale , Basi maana si wanawataka Sana chadema, Sasa tujipele wakitaka kutua sawa ,vinginevyo waache kamata WATU wetu Kisa katiba
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom