CHADEMA Sasa Kuongoza Halmashauri zote zilizo chini yake kutumia ilani yake

jambo lakuungwa mkono sana maana tukindelea na hiki kivuli cha vyama vingi wakati ccm anajifanya dominant wa game kwakutumua katiba ya chama kimoja ambayo mpaka sasa mteule wa ccm amegoma kufanya maamuzi yakuwa na katiba mpya!!
 
CHADEMA kuongoza kwa Ilani ya chama ktk Halmashauri wanazoziongoza nadhani Kikatiba ni ngumu ktk utekelezaji wake.

Labda kama yatafanyika mabadiliko ndani ya Katiba.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
Ilani ya Chadema siijui na sijawahi kuiona wala kuisikia popote maana hata kipindi cha uchaguzi walikuwa wakinadi kuwa watu wachague Ukawa aliyewahi ona ilani ya Ukawa atuwekee hapa
 
Mbowe na Mzee wa Upako wanafanana aina ya Wafuasi walionao.

Mtendaji Mkuu wa Halmashauri ni Mkurugenzi wa Halmashauri ambae kateuliwa na Rais na kakabidhiwa Ilani ya CCM na Mafungu yote yanapita kwake Kazi ya Baraza la Madiwani ni kuidhinisha Bajeti si Malipo
pole sana sasa kinakuwewesesha nini tulia tuje na Ilani yetu
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
Ilani ya Chadema siijui na sijawahi kuiona wala kuisikia popote maana hata kipindi cha uchaguzi walikuwa wakinadi kuwa watu wachague Ukawa aliyewahi ona ilani ya Ukawa atuwekee hapa.Ukawa waliendesha kampeni za Ukawa bila kuwa na ilani yaani matapeli wa kutupwa
 
mimi nasubiri huo utekelezaji hasa DSM ambako meya wa hili jiji amepotelea sijui wapi mungu wangu....na sijui watatimiza vipi hiyo ilani chini ya mhe.makonda..
Meya wa Jiji unamlinganisha na mcheza show wa Dar.
 
Ilani ya Chadema siijui na sijawahi kuiona wala kuisikia popote maana hata kipindi cha uchaguzi walikuwa wakinadi kuwa watu wachague Ukawa aliyewahi ona ilani ya Ukawa atuwekee hapa.Ukawa waliendesha kampeni za Ukawa bila kuwa na ilani yaani matapeli wa kutupwa
Ipo kwenye tovuti ya CHADEMA, nenda kaisome.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamesema watatumia ilani yao kuongoza halmashauri zilizo chini yake kwani kutumia ya CCM ni kufifisha uhai wa chama
Na wasisahau kutumia vyanzo vyao vya mapato ikiwemo mkurugenzi wao, na mumtafutie mshahara wake, msisahau pia kutafuta majengo yenu ya serikali za majimbo
 
Back
Top Bottom