CHADEMA sasa KUINGIA GHARAMA ZA MISIBA NA MATIBABU YA WAHANGA WA MAANDAMANO

Polisi hawako kila mahali.Raia wamejaa kila kona .Hawawezi , mradi wa waslianzishe
 
nyinyi wacheni kutisha wakati wa kutishana umepitwa na wakati,kama ni wa kufanya kweli msilete ngalambe mbele ya vyombo vya dola ,au nyinyi mnaoleta za kuleta ndio wale mnaotumika katikaa kujipenyesha ndani ya chadema na kujifanya ndio wababe ,kumbe ndio nyie mnaowapigia simu polisi na kuwaelekeza.
unajidanganya wewe,unacheza na nguvu ya umma,sasa kama kweli wanataka kuamini haya maneno wapeleke polisi hiyo siku,wanajua hasira ya umma juu yao
 
Nyinyi wacheni kutisha wakati wa kutishana umepitwa na wakati,kama ni wa kufanya kweli msilete ngalambe mbele ya vyombo vya dola ,au nyinyi mnaoleta za kuleta ndio wale mnaotumika katikaa kujipenyesha ndani ya Chadema na kujifanya ndio wababe ,kumbe ndio nyie mnaowapigia simu polisi na kuwaelekeza.

Nafikiri message umeipata lakini
 
Polisi ndio wavunjaji wa amani hapa nchini.
Kweli kabisa kesho kutwa Mwema asitume vijana wake, watatkuwa wamepelekwa kwenye kafara
 
Polisi wato tafadhali kaeni pembeni,Nyie ni theruthi ya watanzania hakika hamuwezi kutudhibiti tukiamua.
 
Mmmmh,umenipa jambo la kutafakari,God forbid watu wasije kukasirika na kutaka kulipiza kwa polisi huko maskini,let it end in peace!
 
Kimsingi wananchi wantosha kulinda amani na si polisi wakadili na majambazi, wahamiaji haramu, na vibaka. sisi watuachie mambo yetu najua hakuna mwananchi atakayemkwaruza mwenzake hata kidogo.
 
Taharifa zako za kiintelijinsia naziunga mkono kwa 100% tunataka tukafanye mazishi ya wapiganaji wetu kwa amani na utulivu.
Nami natoa taarifa za kiintelejensia kuwa mwema watangazie polisi wako hata mmoja asitokee kwenye mazishi ya wahanga wa maandano ya amani,kwani hasira za wananchi zitakuwa juu ya askari wako,tunataka zoezi zima liende kwa amani chini ya watu wote wenye mapenzi mema,
siku nzote polisi ndio mmekuwa chanzo cha vurugu,sasa hatutaki maafa mengine wala umwagaji damu wa aina yoyote,waache hao askari wako wakae huko huko vituoni kwao.
Puuzia hizi taarifa za kiintelejensia na uone kitakachotokea
 
Hivi polisi watakuwa na courage yoyote kwenda kwenye msiba waliousababisha wenyewe? Kama watafanya hivyo watakuwa wamefanya dharau mbaya sana, hasira za wananchi zitakuwa juu yao!
 
Polisi watakuwepo kulinda amani na atae fanya fujo atakula mkong'oto, wa Kenya hawatoshi, sasa leteni na wa Ganda.

Inaonekana unahamu sana na damu ya watu wa Arusha. Kama vipi mwambie JK akapige watu wa Lugoba na Bumbuli kule kuna wajinga wanjinga wengi wako tayari kuuliwa kwa ajili yake na watu kama wewe!
 
Naunga mkono hoja, maaskari wasije kutuharibia.

Anyway, nataka kusema kuwa Chama cha mafisadi wanaweza kutuma mamluki. Nashauri CHADEMA kuwatumia KK Security au Kampuni binafsi za ulinzi ili angalau kusimamia utaratibu.

Pia tuweke utaratibu wazi mapema ili wananchi wengi washiriki.

Uwepo utaratibu wa Kuchangia uwanjani, na kuandika jina kama mtu anataka.

Mavazi labda iwe vitambaa vyeusi mikononi au mtakavyoshauri
 
Urasa nakushukuru kwa taarifa hii, police umewatahadharisha; wakipuzia juu yao.
 
taarifa za kiinteligensia zinaonesha kuwa makamba naye atakuja.........


Si
o makamba tu, Zomba (System at Work) nae pia nimepokea taarifa zake kuwa atakuwepo

Kazi yao kuwa itakuwa ni kuanzaisha ugomvi halafu itaonekana ni CHADEMA wakati ni kazi yao waliyotumwa.
 
Back
Top Bottom