CHADEMA sasa KUINGIA GHARAMA ZA MISIBA NA MATIBABU YA WAHANGA WA MAANDAMANO

Mbona hatukuelewi? Tunakushangaa kwa kushangaa CDM kama wangechanisha! Ukumbuke chama kinaendeshwa na michango ya wanachama. Sasa chama kuchangisha fedha shida iko wapi?

Achana naye huyo CCM wamezoea majambazi yanaiba kwenye mifuko ya hazina halafu wanagharamia kila kitu, ivyo hawajui ambo ya michango.
 
Hao CCM wamezoea kuchangisha fedha kwa ufisadi kama tunavyokamuliwa na DOWANS through TANESCO, ukiwa mwanachama wa CCM jihesabu wewe ni zuzu,mnafiki mkubwa mwizi mpumbafu na mjinga kabisa
 
Nami natoa taarifa za kiintelejensia kuwa mwema watangazie polisi wako hata mmoja asitokee kwenye mazishi ya wahanga wa maandano ya amani,kwani hasira za wananchi zitakuwa juu ya askari wako,tunataka zoezi zima liende kwa amani chini ya watu wote wenye mapenzi mema,
siku nzote polisi ndio mmekuwa chanzo cha vurugu,sasa hatutaki maafa mengine wala umwagaji damu wa aina yoyote,waache hao askari wako wakae huko huko vituoni kwao.
Puuzia hizi taarifa za kiintelejensia na uone kitakachotokea
 
Kiongozi gani wa dini kuongoza ibada?napendekeza wawepo wa madhehebu yote ni msiba wa kitaifa
 
Nami natoa taarifa za kiintelejensia kuwa mwema watangazie polisi wako hata mmoja asitokee kwenye mazishi ya wahanga wa maandano ya amani,kwani hasira za wananchi zitakuwa juu ya askari wako,tunataka zoezi zima liende kwa amani chini ya watu wote wenye mapenzi mema,
siku nzote polisi ndio mmekuwa chanzo cha vurugu,sasa hatutaki maafa mengine wala umwagaji damu wa aina yoyote,waache hao askari wako wakae huko huko vituoni kwao.
Puuzia hizi taarifa za kiintelejensia na uone kitakachotokea

Polisi watakuwepo kulinda amani na atae fanya fujo atakula mkong'oto, wa Kenya hawatoshi, sasa leteni na wa Ganda.
 
Mara ya kwanza, watu hawakujua kama police wangeleta noma hivyo watu walikua hawaja jipanga. Kesho ni full kuji cock, Mabeto, mapanga, sime, rungu, bisibisi, slasher, mawe, wembe. wakilogwa wakalianzisha..................
 
polisi watakuwepo kulinda amani na atae fanya fujo atakula mkong'oto, wa kenya hawatoshi, sasa leteni na wa ganda.
kila mtu anazake kweli! Na wewe ni kiumbe wa Mungu?, basi anaviumbe wengi sana.
 
Wakileta za kuleta watakiona kilicho mtoa nyoka pangoni hata na mabunduki yao
 
kibo! tena mwambie inteligensia yetu ina intelligence, ya kwao ilikuwa ni inteligensia bila intelligence. mwambie me, chonya of chilongo burry my self dead bodies without police
 
Ole wao wajaribu - watakiona kilichomtoa khanga manyoya! - nina hakika watakuwepo wakijifanya kulinda raia, na wengine watavaa kiraia, na magari ya maji ya upupu watayategeshea mbali - lakini nasema OLE WAO wajaribu kuingilia shughuli hii!!!!! NASEMA OLE WAO!!!!!
 
Polisi watakuwepo kulinda amani na atae fanya fujo atakula mkong'oto, wa Kenya hawatoshi, sasa leteni na wa Ganda.

Hatutaki kuwaona wananuka damu za watu wasio na hatia. Ole wao watie mguu wao hapo uwanjani. Safari hii tutajiandaa wakilianzisha watajuta.
 
Kiuhalisi mazishi haya yananikumbusha madhila yaliyokuwa yanawapata wapigania uhuru wa africa ya kusini kama yalivyoigizwa kwenye mkanda wa SERAFINA , Napongeza hekima na busara na utashi ulioonyeshwa na Chadema wa kuamua kuyafanya mazishi haya kuwa ya kitaifa na naomba media coverage 100% ili umma wote uone na shuhudie udhalimu huu, hali hii ni mbaya kuliko hata enzi za ukoloni .
 
Jamani nafikiri ingependeza sana kama mazishi haya yange pewa full media coverage,miongoni mwa vyombo hivyo iwe TBC kwani ni chombo kinachofanya kazi kwa pesa ya walipa kodi.ili watanzania wote waone unyama na udhalimu huu uliofanywa na serikali inayodai kuchaguliwa na watanzania ili iwauwe kwa mabunduki.
 
Nyinyi wacheni kutisha wakati wa kutishana umepitwa na wakati,kama ni wa kufanya kweli msilete ngalambe mbele ya vyombo vya dola ,au nyinyi mnaoleta za kuleta ndio wale mnaotumika katikaa kujipenyesha ndani ya Chadema na kujifanya ndio wababe ,kumbe ndio nyie mnaowapigia simu polisi na kuwaelekeza.
 
Back
Top Bottom