MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,194
Waswahili kuna msemo maarufu usemao SAFARI ni HATUA; hivyo nachukua fursa kukikumbusha CHADEMA kuwa ni muhimu sana kwao kujifikiri mara mbili kabla ya kufikiria nafasi ya URAIS badala yake wafanye yafuatayo:
1. Sehemu kubwa ya ruzuku itumike kufungua ofisi maeneo ya vijijini
2. Chama kiwe na taswira ya kinchi
3. Maandamano isiwe mbinu mojawapo ya kueneza chama
4. Kuwa na mtazamo wa kupata viti vingi katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2014
5. Uchaguzi mkuu 2015 kuweka nguvu nyingi katika udiwani na ubunge
6. Kutosimamisha mgombea Urais 2015
Nawakilisha kwenu!