Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,970
- 45,849
Kama kawaida yao, wazee wa mizoga katika ubora wao wa kudandia mizoga, wapo tayari kabisa kusajili kapi na kulipa cheo cha ukatibu mkuu.
Baada ya kukosa kabisa mtu mwenye uwezo na haiba za aliyewahi kua Rais wa mioyo yao, na guru wa siasa za Tanzania aliyewahi kuipa uhai saccos ya wanafamilia ya kaskazini, subiri kusikia katibu mkuu ambaye atatoka CCM.
Si ajabu kufanya hivyo, maana ni utamaduni wao, kwani hata uchaguzi mkuu wa 2015 CCM iliwaazima mgombea wa nafasi ya Urais, na wanaundeleza utamaduni wao kwa kupata katibu mkuu ambaye anadamu ya UCCM.
Ni jambo la kusubiri na kuona.