Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Dhumuni ya propaganda zozote dhidi ya mpinzani wako pamoja na "kumchafua" lazima kwa kiasi kikubwa yapasa "zikusafishe". Hapa Tanzania imekuwa kinyume, Mbowe bado ametapakaa "tope" na ameweka kinga watu wasitoe tope hilo.
"In the long run" CHADEMA bado wamebaki na mzigo mkubwa kuondoa "tope" hili. Ni ngumu kuisafisha taswira ya CHADEMA katika hili na itachukua miongo kadhaa kama bado sura zile zile zitabakia kileleni.
"Siasa ni sayansi", kisu kwenye Mfupa "kaaaaa"