CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Nasikia jana mlikuwa mnapewa lecture namna ya kupambana na machadema mitandaoni.. leo mnafukunyua tu nyuzi mlizoshindwa kuzijibu ili kupractice lecture
Sio jana Tokea 2016, Mbowe,Lema,Heche, Tundulisu na Robert Amsterdam wanatupa hadi mafunzo ya kijasusi ya mitandao
 
Lete hapa huo muongozo tuuone usiishie kupiga porojo

..kama huamini haina tatizo.

..lakini Polisi wetu hawatakiwa kuficha sura zao.

..wao sio majambazi, magaidi, au mamluki[askari wa kukodiwa] ambao hufanya kazi kwa kificho.
 
..kama huamini haina tatizo.

..lakini Polisi wetu hawatakiwa kuficha sura zao.

..wao sio majambazi, magaidi, au mamluki[askari wa kukodiwa] ambao hufanya kazi kwa kificho.
Na siwezi nikaamini uongo, kwa maana imani bila matendo hufa, leta hapa ushahidi ndo niamini.
 
Na siwezi nikaamini uongo, kwa maana imani bila matendo hufa, leta hapa ushahidi ndo niamini.
..Polisi wa Tz hawatakiwa kuficha sura zao wakati wakitekeleza majukumu yao.

..Majambazi, magaidi, na mamluki[askari wa kukodiwa] ndio huficha sura zao.
 
Hawa watu wa SGR waoga sana. Ila jamani Hawa viongozi wa juu inabidi wafanye ziara kwenye ngazi ya kijiji labda watagundua matatizo ya watanzania. Katika ngazi hizo hali si mbaya sana. Hakuna Maji, Zahanati na Vituo vya Afya, Shule za msingi mbovu, Sec hakuna, barabara mbovu mpaka inahuzunisha.

Hawa viongozi hasa RAIS, MAKAMU WA RAIS NA WAZIRI MKUU wafanye angalau ziara kwenye wilaya 5 kila mmoja kwa KANDA tena wafike mpaka kwenye vitongoji vyake vyote wajionee maisha wanayoishi Wanyonge wa hii Nchi wakiwa na DIARY ili kuandika watakayoyaona naamini itawasaidia sana kusaidia hawa watu maana hawa wawakilishi hawajali hawa watu.

Hali bado ni mbaya sana kwa kweli wanahitaji msaada wa haraka sana.

Bila ziara kwenye hayo maeneo hakuna kitakacho fanyika asilani.
 
Back
Top Bottom